Uchaguzi 2020 Wana Mbeya hatupo tayari kwa Tulia Ackson

Uchaguzi 2020 Wana Mbeya hatupo tayari kwa Tulia Ackson

Hakuna Cha Ushawishi mkuu. Au Unasimuliwa. Kelele za Magari kila uchao kwenye makazi ya Watu ndiko kukubalika.
Anajaribu Kutumia Nguvu kubwa naKugawa gawa Pesa kwa wanawake, lakini anajua fika hawezi Kupata Kura za uhalali.
Kuna maandiko kwenye vitabu vya dini husema "rushwa hupofusha macho"kwa mantiki hiyo pesa zake huenda zikampa ubunge kwa kishindo.
 
Wanachohitaji wana Mbeya ni maendeleo na sio hizo ngonjera, Mbeya ni jiji inabidi iwe na hadhi ya jiji kimiundo mbinu katika nyanja zote, kama tukiwa na MP wa CCM na maendeleo yakaja kuna haja gani kuendelea kumng'ang'ania day worker? Tuliambiwa maendeleo hayaji sababu ya upinzani basi tusome alama za nyakati kwa manufaa mapana ya Mbeya tuache ubinafsi.
 
Haitusumbui maana sasa ni kama mbwai na iwe mbwai
Mbai kwa upande wa chadema wanaweza ila upande wa Ccm wanakwama

Kwanza kukwama kunatokana na uwezo wa chadema kuwa wajuaji kuliko wasikilizaji

Pili chadema kuwa na hasira bila kuruhusu ukweli uwe wazi ili ajue nini kifanyike

Tatu ni watu walio aminishwa kuwa wanaonewa hata kama wanajua wamevunja sheria za nchi

Mbwai na isiwe mbwai

Ila mpumbavu mwonyeshe heshima na upendo ili ajifunze kwako
 
Wanachohitaji wana Mbeya ni maendeleo na sio hizo ngonjera, Mbeya ni jiji inabidi iwe na hadhi ya jiji kimiundo mbinu katika nyanja zote, kama tukiwa na MP wa CCM na maendeleo yakaja kuna haja gani kuendelea kumng'ang'ania day worker? Tuliambiwa maendeleo hayaji sababu ya upinzani basi tusome alama za nyakati kwa manufaa mapana ya Mbeya tuache ubinafsi.
fact
 
Wanambeya ni ww na ndugu zako Mimi Nitamchagua Dr Tulia Kuwa Mbunge Wangu 2020
 
Back
Top Bottom