Uchaguzi 2020 Wana Mbeya Tumekukataa Mh. Tulia

Bravo! Hiyo ndiyo democracy!
 
Hivi huyu Mwakanyamale yuko hai kweli ?
 
Tulia ametumia pesa nyingi sana kujitangaza mbeya.Lengo akubalike mwaka wa twenty twenty. Uku tulia hatukutaki
 
Huo ni upumbavu mtupu, hakuna maendeleo yanayo fanywa eti kwa ushawishi wa mtu fulani. Maendeleo hupangwa na kutekelezwa kwa bajeti. Kinyume cha hapo ni Rushwa na utapeli kwa wajinga. Kwani kama hizo shule zinahitaji ukarabati hazitakarabatiwa mpka huyo Betina awe mbunge? Nimesoma Iyunga na hapo Loleza kwa Mademu zetu napafahamu. Shule hizo zilikuwa zikikarabatiwa tangu wakati ule Mbunge akiwa Polisya Mwaiseje wa NCCR, akaja yule wa CCM nimemsahau koz huwa wanalala tuu bungeni na sasa Sugu.
Maendeleo yanakuja kwa kodi zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda wa fomu ukifika kachukue na wewe sio kumwanzishia mwenzio majungu mapema namna hii.
Ninyi ndio virusi kwenye chama, Mchana Huku Usiku kule.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubunge wa chumbani ameona haumtoshi sasa anatafuta wa jukwaani. Jinga kabisa.
 
mbeya mkimchagua huyo mama kuwa mbunge nitawadharau sana.
 
Watu mbona wana roho mbaya sana. Mtazamo wako JF unataka uwe wa jimbo zima. Tuache ujinga. Kokote kule kama unahisi unakubalika ukifika muda kachukue fomu na kujipima.
 
Kama mkitaka maendeleo mbeya nendeni na Tulia coz anaushawishi mkubwa kwenye serikali hii ya awamu ya Tano, ila kama no ushabiki basi zichangeni karata deny vintage.
Ikiwa ndio anajenga sasa hivi nyumba huko mbeya, Unadhani akipewa ataleta maendeleo gani? Huoni huo ujenzi ni geresha za uchaguzi hii inamaanisha anajali maslahi yake tu ya kutaka kuwa spika na si kupeleka maendeleo mbeya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi juzi kati nilikutana na jamaa zangu kutoka Geita walinishanganza kidogo. Tulipokuwa tunajadili masuala ya kitaifa wakasema kiu yao kubwa ni kushinda majimbo mawili yanayo shikiliwa na upinzani majimbo hata ni Arusha na Mbeya.

Japo kwa hivyo tunapomuona tulia akikimbia kimbia huku na kule nafikiri ndiyo jitihada zenyewe.

Nilichongundua safari hii ni kwamba wananchi wengi hawataki kelele na mtu ila wata washangaza wengi kipindi cha uchaguzi.

Mwanasiasa mwenye akili timamu asimame upande wa wananchi. Haijalishi ni nguvu gani itatumika lakini nauona ukombozi wa kweli ukifika mwaka huu 2020.
 
huyo ni mbunge wenu tu lazima mmumpende tu
 
Kama mkitaka maendeleo mbeya nendeni na Tulia coz anaushawishi mkubwa kwenye serikali hii ya awamu ya Tano, ila kama no ushabiki basi zichangeni karata deny vintage.
ACHA UKUDA WEWE AMESHAWISHI NINI HADI LEO HII KAMA SIYO UPUMBAVU NA UBABE ULIOTUKUKA NI BORA TULIA AKAWE MPISHI MKUU KULE UKULU KULIKO KUOMBA HATA UDIWANI WA KATA YOYOTE HAPA MBEYA MJINI HATA PALE ANAPOJENGA NYUMBA YAKE AKIOMBA UBALOZI WA NYUMBA 10 HAPATI USIJE NA POROJO ZA KIPUUZI KAMA HIZI KWA WATU WA MBEYA AMBAO WAPO LEVEL ZINGINE.
 
USHAURI KWA MH. TULIA
NADHANI AENDE KULE DODOMA AKAGOMBEE TENA HUU MWAKA UNA NJAA NA KULE DOM KAMA KAWA WATADONDOKEA MIKONONI MWA WALE FUNZA WAKUBWA WEUSI WENYE MAFUTA AINA YA UBWAGALA AKIENDAKULE NA HATA MAHINDI PISHI MOJA KILA FAMILIA NA KIBERITI NA CHUMVI YA MAWE UBUNGE ANACHUKUA BILA JASHO LAKINI KWA MBEYA MJINI NADHANI KAMA NCHI ITAINGIA VITANI BASI ITAANZIA MBEYA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…