Uchaguzi 2020 Wana Mbeya Tumekukataa Mh. Tulia

Huyu mama haijui Mbeya vizuri anataka kuaibika bure!! Namshauri walau aende Kigamboni kule anaweza kutoka mlisi.
Kigamboni atapenya wapi. Kule yupo Jericho nyerere, na ameandika kitabu jinsi ya kupata madarakani ya kisiasa
 
Hii nimeichota sehemu...

TULIA HATOSHI, NI KIRUSI KINACHOIGAWA CCM MBEYA

Mh. Tulia Ackson kazungukwa na watu wa ovyo. Kwanza ana haraka sana. Kitendo hiki kinawakera Mbeya tofauti na yeye na watu wake wanavyodhani.

Sawa anaweza kuwa mgeni kisiasa. Lakini hawezi kuwa mgeni wa hulka za wana Mbeya. Spidi yake inachefua kuliko kuvutia.

Amepania kubeba bendera ya CCM Mbeya mjini 2020. Lakini harakati zake zinapingana na ukweli halisi. CCM tukichanga karata vibaya 2020 tutasaga meno. Hili halihitaji mnajimu wa nyota.

Anataka kura za watu anaojitenga nao. Magari na ving'ora, misafara na mapikipiki ya nini Mbeya? Watu unaotaka wakupe kura zao hutaki wakukaribie. Unawaogopa wapiga kura wako?

Tulia hatakiwi hata kupandisha vioo vya gari akiwa Mbeya. Siasa ya Mbeya ni ngumu sana kwa sababu watu wanajielewa.

Hata askari anaowatumia hawalipwi posho. Na yeye hawapozi hata na maji ya kunywa. Utasema ni kazi yao kulinda viongozi. Lakini tambua pale anataka kuwawakilisha mpaka hao polisi.

Siasa hufanya kiongozi awe mtumwa wa wapiga kura. Tulia anataka wapiga kura wawe watumwa wake. Ni ngumu kumuuza 2020.

Tunajua anataka Uspika. Lakini Mbeya ya sasa inahitaji uwakilishi wa Mbunge mwenye mashiko. CCM tusimamishe mtu anayeuzika.

La sivyo hatuwezi kupambana na Chadema ya Mbeya yenye Sugu, kwa kumtumia Tulia. Tunajidanganya wana CCM, hilo litakuwa zoezi gumu kuliko lile la 2015.

Mh.Tulia ameigawa CCM. Kuna CCM 'Team Sugu' wa kimya kimya. Anamharibia hata Mh. Rais kwa kujinasibu kuwa kamtuma. Mbeya hawapendi kuburuzwa na hawataki mtu aliyetumwa, au tumesahau ya Bruno Mpangala?

Tulia hana muunganiko (connection) na Mbeya Jiji. Hata nyumba ya kuishi kaanza kujenga hivi sasa ili kuhalalisha achagulike. Tujue kwamba Mbeya sio wajinga. Hawawezi kuacha kumchagua Sugu, kwa sababu ya mgombea anayewaza Uspika. Tutachemka.

Lazima chama kiwe na watu wanaouzika. Wenye mashiko ndani ya Mbeya. Tukiwa vichwa ngumu kwa kushupaza shingo zetu. Sugu atarudi bungeni kwa kura nyingi zaidi kuliko rekodi yake ya 2015.

Ndimi mwana CCM,
Edwin Mwakanyamale,
Forest Mbeya.
Nakubaliana na wewe TULIA ACKSON anapoteza hela zake Mbeya kwa sababu zifuatazo:-
1. Kwanza ni mwongo kwa kuwadanganya wananchi kuwa ametumwa na Magufuli awe mbunge wa Mbeya. Anasema eti ndiye Spike ajaye baada ya Job Ndugai

2. Jamii ya Mbeya bado kukubali uwapo wa mbunge mwanamke kutokana na mfumo dume wa watu wa huku.

3. Mwenendo wa Tulia Ackson kama Naibu Spika unaonyesha kwamba yupo tayari kukandamiza demokrasia kwa kumfurahisha mkubwa aliyempa uteuzi. Watu wa Mbeya wako sensitive kwenye haki za binadamu na uhuru wa kujieleza kwa hiyo Tulia havai taswira halisi ya watu wa Mbeya.

4. Tulia ni mzaliwa wa Busokelo, ingependeza anakwenda kugombea huko Busokelo ili kama ana uchungu wa maendeleo basi apeleke kwa watu wa kwao. Huu siyo ukabila, kama unadhani ni ukabila jaribu wewe uliye mkazi wa Mbeya au Mbozi uende ukagombee Jimbo lolote lililopo Kyela au Rungwe, ndipo unajua kuwa Wanyakyusa ndiyo waliogundua ukabila Tanzania

5. Tulia Ackson anakuja na misaada ya Mamilioni ya Shilingi na kugawa kwa vikundi vya akina mama na vijana. Je amewahi kutoa majibu ya wanao mfadhili? Na je atawalipa nini hao wanao mfadhili. Kama ni hela zake, Je zinalingana na kipato chake? Hapa ni muhimu Bashiru Ally atupie macho kwa vile kufanya kampeni kabla ya muda rasmi wa kampeni ni kinyume cha utaratibu

USHAURI
Tulia Ackson, tafuta ushawishi hata wa kugawanya Busokelo au Kigamboni ukagombee huko. Hapa Mbeya tunapjua sisi, wapambe wako wanakumalizia hela tu kwa sababu hata wenyewe kura hawatakupigia

6.
 
Kama mkitaka maendeleo mbeya nendeni na Tulia coz anaushawishi mkubwa kwenye serikali hii ya awamu ya Tano, ila kama no ushabiki basi zichangeni karata deny vintage.

Mimi nilidhani maendeleo ni haki ya wananchi kutokana na kodi wanayolipa. Kumbe maendeleo yanapelekwa mahali kutokana na aina ya mtu aliyechaguliwa kuwakilisha? Noted
 
Nakubaliana na wewe TULIA ACKSON anapoteza hela zake Mbeya kwa sababu zifuatazo:-
1. Kwanza ni mwongo kwa kuwadanganya wananchi kuwa ametumwa na Magufuli awe mbunge wa Mbeya. Anasema eti ndiye Spike ajaye baada ya Job Ndugai
2. Jamii ya Mbeya bado kukubali uwapo wa mbunge mwanamke kutokana na mfumo dume wa watu wa huku.
3. Mwenendo wa Tulia Ackson kama Naibu Spika unaonyesha kwamba yupo tayari kukandamiza demokrasia kwa kumfurahisha mkubwa aliyempa uteuzi. Watu wa Mbeya wako sensitive kwenye haki za binadamu na uhuru wa kujieleza kwa hiyo Tulia havai taswira halisi ya watu wa Mbeya.
4. Tulia ni mzaliwa wa Busokelo, ingependeza anakwenda kugombea huko Busokelo ili kama ana uchungu wa maendeleo basi apeleke kwa watu wa kwao. Huu siyo ukabila, kama unadhani ni ukabila jaribu wewe uliye mkazi wa Mbeya au Mbozi uende ukagombee Jimbo lolote lililopo Kyela au Rungwe, ndipo unajua kuwa Wanyakyusa ndiyo waliogundua ukabila Tanzania
5. Tulia Ackson anakuja na misaada ya Mamilioni ya Shilingi na kugawa kwa vikundi vya akina mama na vijana. Je amewahi kutoa majibu ya wanao mfadhili? Na je atawalipa nini hao wanao mfadhili. Kama ni hela zake, Je zinalingana na kipato chake? Hapa ni muhimu Bashiru Ally atupie macho kwa vile kufanya kampeni kabla ya muda rasmi wa kampeni ni kinyume cha utaratibu
USHAURI
Tulia Ackson, tafuta ushawishi hata wa kugawanya Busokelo au Kigamboni ukagombee huko. Hapa Mbeya tunapjua sisi, wapambe wako wanakumalizia hela tu kwa sababu hata wenyewe kura hawatakupigia
6.
Bettina njoo huku uone ni jinsi gani utarimia meno kama rire rimchumba rako
 
Nawaamini wana Mbeya mtalinda kura usiku kucha kuhakikisha wahuni wa ccm hawafanyi uhuni wao.

Hii nimeichota sehemu...

TULIA HATOSHI, NI KIRUSI KINACHOIGAWA CCM MBEYA

Mh. Tulia Ackson kazungukwa na watu wa ovyo. Kwanza ana haraka sana. Kitendo hiki kinawakera Mbeya tofauti na yeye na watu wake wanavyodhani.

Sawa anaweza kuwa mgeni kisiasa. Lakini hawezi kuwa mgeni wa hulka za wana Mbeya. Spidi yake inachefua kuliko kuvutia.

Amepania kubeba bendera ya CCM Mbeya mjini 2020. Lakini harakati zake zinapingana na ukweli halisi. CCM tukichanga karata vibaya 2020 tutasaga meno. Hili halihitaji mnajimu wa nyota.

Anataka kura za watu anaojitenga nao. Magari na ving'ora, misafara na mapikipiki ya nini Mbeya? Watu unaotaka wakupe kura zao hutaki wakukaribie. Unawaogopa wapiga kura wako?

Tulia hatakiwi hata kupandisha vioo vya gari akiwa Mbeya. Siasa ya Mbeya ni ngumu sana kwa sababu watu wanajielewa.

Hata askari anaowatumia hawalipwi posho. Na yeye hawapozi hata na maji ya kunywa. Utasema ni kazi yao kulinda viongozi. Lakini tambua pale anataka kuwawakilisha mpaka hao polisi.

Siasa hufanya kiongozi awe mtumwa wa wapiga kura. Tulia anataka wapiga kura wawe watumwa wake. Ni ngumu kumuuza 2020.

Tunajua anataka Uspika. Lakini Mbeya ya sasa inahitaji uwakilishi wa Mbunge mwenye mashiko. CCM tusimamishe mtu anayeuzika.

La sivyo hatuwezi kupambana na Chadema ya Mbeya yenye Sugu, kwa kumtumia Tulia. Tunajidanganya wana CCM, hilo litakuwa zoezi gumu kuliko lile la 2015.

Mh.Tulia ameigawa CCM. Kuna CCM 'Team Sugu' wa kimya kimya. Anamharibia hata Mh. Rais kwa kujinasibu kuwa kamtuma. Mbeya hawapendi kuburuzwa na hawataki mtu aliyetumwa, au tumesahau ya Bruno Mpangala?

Tulia hana muunganiko (connection) na Mbeya Jiji. Hata nyumba ya kuishi kaanza kujenga hivi sasa ili kuhalalisha achagulike. Tujue kwamba Mbeya sio wajinga. Hawawezi kuacha kumchagua Sugu, kwa sababu ya mgombea anayewaza Uspika. Tutachemka.

Lazima chama kiwe na watu wanaouzika. Wenye mashiko ndani ya Mbeya. Tukiwa vichwa ngumu kwa kushupaza shingo zetu. Sugu atarudi bungeni kwa kura nyingi zaidi kuliko rekodi yake ya 2015.

Ndimi mwana CCM,
Edwin Mwakanyamale,
Forest Mbeya.
 
Mimi nilidhani maendeleo ni haki ya wananchi kutokana na kodi wanayolipa. Kumbe maendeleo yanapelekwa mahali kutokana na aina ya mtu aliyechaguliwa kuwakilisha? Noted
Utawala huu huminya kwa makusudi maendeleo jimbo la wapinzani na hata wakipeleka maendeleo hupeleka kwa mbinde sana na kidogo mno
 
Bettina njoo huku uone ni jinsi gani utarimia meno kama rire rimchumba rako
Mbona hamueleweki? Si huwa mnasema CCM kuwa inashinda kwa lazima? Sasa hiyo lazima inashindikana vp Mbeya? Sugu hana uwezo wa kushinda tena Mbeya. Tunataka maendeleo hatutaki blahblah. Km unabisha pita vijiweni hapa MB town usikilize.
 
Ameanza na kutuletea mauza uza ya kichawi hapo Jana
Hii nimeichota sehemu...

TULIA HATOSHI, NI KIRUSI KINACHOIGAWA CCM MBEYA

Mh. Tulia Ackson kazungukwa na watu wa ovyo. Kwanza ana haraka sana. Kitendo hiki kinawakera Mbeya tofauti na yeye na watu wake wanavyodhani.

Sawa anaweza kuwa mgeni kisiasa. Lakini hawezi kuwa mgeni wa hulka za wana Mbeya. Spidi yake inachefua kuliko kuvutia.

Amepania kubeba bendera ya CCM Mbeya mjini 2020. Lakini harakati zake zinapingana na ukweli halisi. CCM tukichanga karata vibaya 2020 tutasaga meno. Hili halihitaji mnajimu wa nyota.

Anataka kura za watu anaojitenga nao. Magari na ving'ora, misafara na mapikipiki ya nini Mbeya? Watu unaotaka wakupe kura zao hutaki wakukaribie. Unawaogopa wapiga kura wako?

Tulia hatakiwi hata kupandisha vioo vya gari akiwa Mbeya. Siasa ya Mbeya ni ngumu sana kwa sababu watu wanajielewa.

Hata askari anaowatumia hawalipwi posho. Na yeye hawapozi hata na maji ya kunywa. Utasema ni kazi yao kulinda viongozi. Lakini tambua pale anataka kuwawakilisha mpaka hao polisi.

Siasa hufanya kiongozi awe mtumwa wa wapiga kura. Tulia anataka wapiga kura wawe watumwa wake. Ni ngumu kumuuza 2020.

Tunajua anataka Uspika. Lakini Mbeya ya sasa inahitaji uwakilishi wa Mbunge mwenye mashiko. CCM tusimamishe mtu anayeuzika.

La sivyo hatuwezi kupambana na Chadema ya Mbeya yenye Sugu, kwa kumtumia Tulia. Tunajidanganya wana CCM, hilo litakuwa zoezi gumu kuliko lile la 2015.

Mh.Tulia ameigawa CCM. Kuna CCM 'Team Sugu' wa kimya kimya. Anamharibia hata Mh. Rais kwa kujinasibu kuwa kamtuma. Mbeya hawapendi kuburuzwa na hawataki mtu aliyetumwa, au tumesahau ya Bruno Mpangala?

Tulia hana muunganiko (connection) na Mbeya Jiji. Hata nyumba ya kuishi kaanza kujenga hivi sasa ili kuhalalisha achagulike. Tujue kwamba Mbeya sio wajinga. Hawawezi kuacha kumchagua Sugu, kwa sababu ya mgombea anayewaza Uspika. Tutachemka.

Lazima chama kiwe na watu wanaouzika. Wenye mashiko ndani ya Mbeya. Tukiwa vichwa ngumu kwa kushupaza shingo zetu. Sugu atarudi bungeni kwa kura nyingi zaidi kuliko rekodi yake ya 2015.

Ndimi mwana CCM,
Edwin Mwakanyamale,
Forest Mbeya.
tapatalk_1569129196473.jpeg
 
Huyu. Bidada analazimisha ubunge kwa nguvu hadi kutambikiaaa mpuunzii mnooo
 
Back
Top Bottom