Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,892
- 52,491
Hujajibu swaliKwani dada angu ukishakuwa na watoto hutamuitaji tena mumeo ?
Purpose ya ndoa yako itakuwa ni nini?2
Hujajibu swaliKwani dada angu ukishakuwa na watoto hutamuitaji tena mumeo ?
Kama ni hivo hakuna tabu maa'ke nilikuwa naimajini utamu naouhisi-gi nichomekapo ππbOlO kunako kei nikafikiri labda hufaidiKutia nnatia ndo mana nataka kuoa
ndoa ngapi zimevunjika tatizo likiwa ni kutopata mtoto ??Kwani mwanamke ukishazaa nae watoto wajibu wake unakuwa umeisha ndani ya ndoa ?
Itakuwa kujiepusha na uzinzi tu.Hujajibu swali
Purpose ya ndoa yako itakuwa ni nini?2
Wewe umewatolea mfano katika hoja yako ya msingi. Nilifikiri unajua sababu za kijamii na kiuchumi zinazowafanya wafanye hivyo....Kwanini wa marekani hawataki watoto ?
Binafsi sioni haja ya kuwa na mtoto.
Unafikiri zingekuwa na ufahamu halafu zikaamua kuacha kuzaa ungekuwa unakula macho yako..?Ni kweli ndizi zinazaa lakini hazina uwezo wa kuamua
So the wholepackage itakuwa ni kufanya mapenzi tu bila kubuild chochote?Itakuwa kujiepusha na uzinzi tu.
AbsolutelySo the wholepackage itakuwa ni kufanya mapenzi tu bila kubuild chochote?
Nadhani ni swala la umri.Absolutely
Na vipi kama nitakaemzaa atakuwa rude or crookUnafikiri zingekuwa na ufahamu halafu zikaamua kuacha kuzaa ungekuwa unakula macho yako..?
Unajuaje huyo utakaemzaa atalisaidia taifa kiasi gani..?
Vipi unafikiri hutakuja kujilaumu kwa haya maamuzi yako..?
Kwahiyo kaka wewe una watoto kwa sababu unataka wa kukuhudumia uzerni.Wewe umewatolea mfano katika hoja yako ya msingi. Nilifikiri unajua sababu za kijamii na kiuchumi zinazowafanya wafanye hivyo....
Kidokezo.....wenyewe kule wana homes na hospices. Wanaenda kuzeekea na kufia huko. Wewe ukija kuzeeka na kuumwa utauguzwa, kuangaliwa na kufia kwa nani (hata kama una pesa zako)?
Mara paaap una miaka 70 halafu stroke hii...na mfumo wetu huu......
Utakuwa umefeli wewe mzazi kimalezi!Na vipi kama nitakaemzaa atakuwa rude or crook
I am 29 years oldNadhani ni swala la umri.
Unahisi nina ugonjwa wa akili ?Kamuone dr wa magonjwa ya akil