Wana-MMU hebu niambieni mimi ni mwanaume wa ajabu?

Wana-MMU hebu niambieni mimi ni mwanaume wa ajabu?

Kila kitu kinawezekana na hakuna jipya chini ya jua,wapo wengi wenye maamuzi kama yako hata huku Africa....nafikiri ni kawaida

Tafuta wa kufanana na wewe,hasa mgumba ndio utaenjoy
Asante kwa kuonesha uelewa. Japo mwanamke mgumba hajulikani kwa kuangaliwa usoni.
 
Si kitu kibaya kama inavyodhaniwa ila nakushauri uoe mwanamke mgumba na wala si ambaye hataki kuzaa.

Wanawake wanaongozwa na mood mkuu anaweza akaamka hana nia ya kuzaa mara kaona katoto ka jirani kazuri mawazo yamebadilika anataka kuzaa .
Kwa mtindo huu unaweza kutegewa mimba .

Cha kufanya tafuta yule ambaye hana uwezo huo japo itakuwa ngumu kidogo ila fanya hivyo .
 
Unajua ni kwa nini Wamarekani huwa hawataki watoto au unaiga tu? Unajua ni kwa nini hata wakizaa ni katoto kamoja tu au tuwili?

Unajua ni kwa nini sisi kuwa na watoto ni muhimu (sana)?
Sasa si ndo useme nikwanini ili kuelimisha wengine . Unauliza Uliza tu vi silly question. Kuna watu mnajikutaga ma intelligentsia flani ivi hahahaha
 
maoni yangu ni hivi. Akili yako haikutoshi kama una mdogo wako azima.....bila shaka nimeeleweka
 
Si kitu kibaya kama inavyodhaniwa ila nakushauri uoe mwanamke mgumba na wala si ambaye hataki kuzaa.

Wanawake wanaongozwa na mood mkuu anaweza akaamka hana nia ya kuzaa mara kaona katoto ka jirani kazuri mawazo yamebadilika anataka kuzaa .
Kwa mtindo huu unaweza kutegewa mimba .

Cha kufanya tafuta yule ambaye hana uwezo huo japo itakuwa ngumu kidogo ila fanya hivyo .
Asante sana kwa ushauri wako. Japo kupata mwanamke mgumba itabidi nijenge urafiki na daktari fulani.
 
Kwahiyo kaka wewe una watoto kwa sababu unataka wa kukuhudumia uzerni.
Soma vizuri comment yangu uielewe...nakuja kukupa muktadha wa Wamarekani na wa kwetu katika upana wake.

Mimi nina katoto kamoja tu na nimeshatosha....
 
Upadri sio Escaping room..
Sio sehemu unayoweza kwenda kisa unashindwa kuwa na familia au huwezi hudumia watoto. Huwezi kuwa padri kisa huwezi zalisha mtoto hivyo bora uwe padri.
Wanaenda upadri ambao ni watimilifu wa kimwili, kihisia za mapenzi na nguvu kuzalisha. Tena unapimwa kabisa kama upo mzima kwanza huko chini.
Btw, Wito ndio muhimu..la sivyo wagumba wengi wangekua ni mapadri
Kwani jamaa ni mgumba?
 
Soma vizuri comment yangu uielewe...nakuja kukupa muktadha wa Wamarekani na wa kwetu katika upana wake.

Mimi nina katoto kamoja tu na nimeshatosha....
Ulichokisema wewe ni kwamba wale wenzetu kwao kuna huduma za wazee zinatolewa sehemu/nyumba maalumu.

Na mie ndo nikakuuliza ina maana wewe ulizaa kwa lengo hilo ?

Upate huduma za uzeeni ?
 
Sasa si ndo useme nikwanini ili kuelimisha wengine . Unauliza Uliza tu vi silly question. Kuna watu mnajikutaga ma intelligentsia flani ivi hahahaha
Vi silly questions kwako lakini kwa watu tunaoelewa tunaelewa umuhimu wake. Socrates hakuwa mjinga kuuliza viswali kwanza katika kutafuta ukweli. Viswali hivi vinasaidia sana kujua mtu unayejadiliana naye ni mtu wa aina gani. Yaweza kuwa ni wale watu unakazana kutoa hoja halafu yeye anakuja kukujibu tu kwendraaa !!!

Yeye katolea mfano wake Marekani na Ulaya. Nilitegemea kuwa anajua sababu halisi ndo maana katolea mfano; na ndo sababu nikauliza hivyo "visilly questions"
 
Kwanini ? Kwanini unahisi kuwa na mtoto ni lazima ?
sio lazma! sasa hayo maelezo unaenda kumweleza nani familia au binti. kuwa makini usitutie aibu wanaume wenzio: wewe ukiona hivyo kwamba hutaki mtoto oa bibi miaka 50.
 
Katika uumbaj wa mungu huwa hakosei...

Kuna vichocheo automaticaly vinatengenezwa na mwili ambavyo vinakufanya upende uzao...yaan tumeumbwa na ndomana tuna via vya uzaz kwamba ..u must produce...

So ukiona mtu anaenda kinyume na nature ujue. Ana sabab physical or mental inayomfanya awe hvyo...

So mtoa mada usitudanganye hapa .lazima una sabab...hii ni scientific

Ni sawa mwanaume uwe hupend kufanya mapenz na mwanamke...lazima uwe na sabab..ni vitu scientific
 
Back
Top Bottom