Wana-MMU hebu niambieni mimi ni mwanaume wa ajabu?

Kutia nnatia ndo mana nataka kuoa
Kama ni hivo hakuna tabu maa'ke nilikuwa naimajini utamu naouhisi-gi nichomekapo ππbOlO kunako kei nikafikiri labda hufaidi

Bas sawa ndugu
 
Usipende kuiga Kila kitu ukisikiacho kipo ulaya nk. Wewe Kama hukujaliwa kua na mtoto hutakua nae hata ufanyeje! Na Kama imekusudiwa uwe na mtoto hata iweje utakua nae. Suala la kuzaa Mara nyingi mwanadamu sio mwamuzi wa mwisho.
Kama huyo mwamuzi akikuamulia utakacho utaifanikisha.
 
Kwanini wa marekani hawataki watoto ?

Binafsi sioni haja ya kuwa na mtoto.
Wewe umewatolea mfano katika hoja yako ya msingi. Nilifikiri unajua sababu za kijamii na kiuchumi zinazowafanya wafanye hivyo....

Kidokezo.....wenyewe kule wana homes na hospices. Wanaenda kuzeekea na kufia huko. Wewe ukija kuzeeka na kuumwa utauguzwa, kuangaliwa na kufia kwa nani (hata kama una pesa zako)?

Mara paaap una miaka 70 halafu stroke hii...na mfumo wetu huu......
 
Ni kweli ndizi zinazaa lakini hazina uwezo wa kuamua
Unafikiri zingekuwa na ufahamu halafu zikaamua kuacha kuzaa ungekuwa unakula macho yako..?

Unajuaje huyo utakaemzaa atalisaidia taifa kiasi gani..?
Vipi unafikiri hutakuja kujilaumu kwa haya maamuzi yako..?
 
Unafikiri zingekuwa na ufahamu halafu zikaamua kuacha kuzaa ungekuwa unakula macho yako..?

Unajuaje huyo utakaemzaa atalisaidia taifa kiasi gani..?
Vipi unafikiri hutakuja kujilaumu kwa haya maamuzi yako..?
Na vipi kama nitakaemzaa atakuwa rude or crook
 
Kwahiyo kaka wewe una watoto kwa sababu unataka wa kukuhudumia uzerni.
 
Wanawake wakishazaa tu drama ndio zinaanza hapo, yaani ndio anaona ashakukamata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…