Wana MMU kuna ID humu naitafuta, nikiipata natangaza ndoa rasmi na vikao vyote vitafanyika humu

Wana MMU kuna ID humu naitafuta, nikiipata natangaza ndoa rasmi na vikao vyote vitafanyika humu

mama Deborah nisamehe bure kuna Mtu kasema wewe ni CCP Engineer

Can you judge me from my selfie?

1589630279590.png
 
Kama sio lara1 basi huyo hana madhara. Huyu alikuwa ni mchambaji, humjui ila anakichamba mpaka hasira.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Hiki kikosi kama nakijua vile wamo humu jf Lazima huyu mwenye shela atakuwa Jael siku ya harusi yake akirushua ua litaangukia kwa Depal na wapambe akina amu hawa wanasaka sana ndoa humu
Mtoa mada msitiri mmoja wapo


Na wewe njoo tuyajenge
 
Back
Top Bottom