Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiongozwa na mchawi lazima uwe mwanga tu.Hawa ndala fc wanasahau kuwa MO ni mtoto wa kishua lakini mwenye brain, anajua kila anachokifanya, anaiona fursa kubwa mbeleni kwa yeye kuwekeza simba kipindi hiki, wao waendelee kulumbana na mzee Akilimali kwasababu ndio brain yao wanayoitegemea.
Sidhani kama mchakato mzima upo kama ulivyo predict hapa, ninachofahamu ni kuwa kila kitu kitategemea makubaliano ya awali au mkataba alioingia Kagere wakati anatoka Gor Mahia na kutua simba, huo ndio utakaotoa muongozo wa namna gani mambo yanatakiwa kwenda na si vinginevyo.Sidhani kama simba watakuwa wajinga kwanza wakimuuza halafu pesa zigawanywe mara tatu ni wazi simba watapata faida ya milioni 30 kama meneja anamtafutia timu mchezaji wake kwanini apate pesa sawa na klabu na mchezaji wakati yeye anatakiwa apate asilimia yake kupitia kwa mchezaji