Wana Msimbazi wenzangu Kagere anaweza kuondoka simba muda wowote kama mipango ikienda sawia.

Wana Msimbazi wenzangu Kagere anaweza kuondoka simba muda wowote kama mipango ikienda sawia.

Hawa ndala fc wanasahau kuwa MO ni mtoto wa kishua lakini mwenye brain, anajua kila anachokifanya, anaiona fursa kubwa mbeleni kwa yeye kuwekeza simba kipindi hiki, wao waendelee kulumbana na mzee Akilimali kwasababu ndio brain yao wanayoitegemea.
Ukiongozwa na mchawi lazima uwe mwanga tu.
 
Mkuu unachoshwa hpa na Akili Mali, ww unajua unabadilishana hoja na Gt kumbe ni Akili Mali
 
Sidhani kama simba watakuwa wajinga kwanza wakimuuza halafu pesa zigawanywe mara tatu ni wazi simba watapata faida ya milioni 30 kama meneja anamtafutia timu mchezaji wake kwanini apate pesa sawa na klabu na mchezaji wakati yeye anatakiwa apate asilimia yake kupitia kwa mchezaji
 
Mkuu unachoshwa hpa na Akili Mali, ww unajua unabadilishana hoja na Gt kumbe ni Akili Mali
Mkuu sitachoka kuwapa darsa watani wangu, nipo nao bega kwa bega mpaka waseme yeshee.
 
Sidhani kama simba watakuwa wajinga kwanza wakimuuza halafu pesa zigawanywe mara tatu ni wazi simba watapata faida ya milioni 30 kama meneja anamtafutia timu mchezaji wake kwanini apate pesa sawa na klabu na mchezaji wakati yeye anatakiwa apate asilimia yake kupitia kwa mchezaji
Sidhani kama mchakato mzima upo kama ulivyo predict hapa, ninachofahamu ni kuwa kila kitu kitategemea makubaliano ya awali au mkataba alioingia Kagere wakati anatoka Gor Mahia na kutua simba, huo ndio utakaotoa muongozo wa namna gani mambo yanatakiwa kwenda na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom