[emoji12] [emoji12] hatar sanaHuu sasa usela nnya,washkaji wakija homiz mnaanza kuparamia friji kama na kukomba mazagazaga bila hata huruma,mnadelute tu majuice,bites na kichafua chafua mazingira,tuoneane huruma bwana,kila mtu yupo katika utafutaji hakuna Don hapa, mbaya zaidi mkija na mademu zenu ndio mnaacha uchakavu kabisa,mnachanua tu miguu kwenye kochi kama mpo Leba..
Tumechokaaaa
Kwel mkuuHuu sasa usela nnya,washkaji wakija homiz mnaanza kuparamia friji kama na kukomba mazagazaga bila hata huruma,mnadelute tu majuice,bites na kichafua chafua mazingira,tuoneane huruma bwana,kila mtu yupo katika utafutaji hakuna Don hapa, mbaya zaidi mkija na mademu zenu ndio mnaacha uchakavu kabisa,mnachanua tu miguu kwenye kochi kama mpo Leba..
Tumechokaaaa
Acha uchoyo tatizo mijitu ya mbeya michoyo kinoma
watag basiMpo hata hapa
Acha uchoyo tatizo mijitu ya mbeya michoyo kinoma