Ikinda
Member
- Jan 13, 2013
- 62
- 7
Jaman inaskitisha sana na inauma sana tangia nimefika saut niliambia kuna serikali ya wanafunzi lakin cjawahi kumjua hata kiongozi moja zaidi ya cr.naskia mara kuna rais,waziri mkuu nk wako wapi?.Kinachoniuma wanafunzi zaidi ya mia 4 hawajapewa mkopo wasichana wanajiuza na wengine wamefukuzwa na wenyewe nyumba walikopanga,Mtihan trh 28jan,chakula cha shinda kweli mtu atafanya mtihan hajala?.Viongonzi achen malumbano waghulikieni wenzenu wanakufa na njaa.Ofisi muda wote imefunga inawashugulikia wakinanan?.BODI YA MIKOPO INAMAANA HAMSKIKI KILIO CHA WANAFUNZI SAUT.