Wana saut tumeliwa tena kwa mara nyingine na tuliowaamini:

Wana saut tumeliwa tena kwa mara nyingine na tuliowaamini:

Jaman inaskitisha sana na inauma sana tangia nimefika saut niliambia kuna serikali ya wanafunzi lakin cjawahi kumjua hata kiongozi moja zaidi ya cr.naskia mara kuna rais,waziri mkuu nk wako wapi?.Kinachoniuma wanafunzi zaidi ya mia 4 hawajapewa mkopo wasichana wanajiuza na wengine wamefukuzwa na wenyewe nyumba walikopanga,Mtihan trh 28jan,chakula cha shinda kweli mtu atafanya mtihan hajala?.Viongonzi achen malumbano waghulikieni wenzenu wanakufa na njaa.Ofisi muda wote imefunga inawashugulikia wakinanan?.BODI YA MIKOPO INAMAANA HAMSKIKI KILIO CHA WANAFUNZI SAUT.
 
hivi bavicha na serikali ya wanafunzi vina uhusiano gani?,sijaona mantiki hapo tenganisheni elimu na mambo ya siasa hicho chuo sio cha chadema wala ccm ni cha watanzania wenye nia ya kutoa ujinga vichwani mwao
Ndugu yangu mimi sikushangai lakini naomba utambue kwamba vyuo vikuu huwezi kuvitenganisha na siasa viwe vya binafsi au umma, University ni sehemu za wasomi na watu waliokomaa wanaojiandaa kwenda kuchukua majukumu ya taifa lao, Siasa za vyuoni au maarufu kwa kimombo College/University politics ni sehemu ya utamaduni wa vyuo vikuu kote duniani ebu angalia role ya UDSM students politics na mijadara yao katika kupigania ukombozi wa Afrika miaka ya 60 na 70, wanasisa wengi unaowajua wenye rekodi nzuri watakuambia politics wameanzia college, na hata sheria inayoanzisha vyuo ya mwaka 2005 ianzitaka taasisi hizo kuruhusu siasa kwa mujibu wa sheria.
 
Jaman inaskitisha sana na inauma sana tangia nimefika saut niliambia kuna serikali ya wanafunzi lakin cjawahi kumjua hata kiongozi moja zaidi ya cr.naskia mara kuna rais,waziri mkuu nk wako wapi?.Kinachoniuma wanafunzi zaidi ya mia 4 hawajapewa mkopo wasichana wanajiuza na wengine wamefukuzwa na wenyewe nyumba walikopanga,Mtihan trh 28jan,chakula cha shinda kweli mtu atafanya mtihan hajala?.Viongonzi achen malumbano waghulikieni wenzenu wanakufa na njaa.Ofisi muda wote imefunga inawashugulikia wakinanan?.BODI YA MIKOPO INAMAANA HAMSKIKI KILIO CHA WANAFUNZI SAUT.
Pole sana dada yangu, Nashindwa hata niseme nini lakini kwakweli tunawaangusha kimsingi, inaniuma sana eti saivi kila mtu ukimgusa anadai yuko busy na kilichomleta anajiandaa na mtihani jan 28, sasa sijui wenzetu mtaishije ni balaa.
 
baraza gan huru na la watu wenye uwezo kama lililokuwa la mataba
alipigania ofisi na tayari zilipatikana akatoka zikikarabatiwa
akawa na serikari isiyo ya kidini,kikabila,kifaculty na kitabaka, yenye mchanganyiko wa rika zote
akajenga viwanja vyote vya michezo,
akawaleta wasanii kuburudisha ktk bonfaya na galanaiti
akafanya kongamano kubwa la afrika mashariki la kwanza tanzania,afrika mashariki
akapigania muda wa kutosha kupumzika kati ya semista na semista, krisimas na mwaka mpya,pasaka na sikukuu zingine
akaeka mbao za matangazo
akaweka mfumo wa kutaarifu kila kinachoendelea ktk serikari, chuo na nje
akaleta semina ya ukimwi
akasimamia upatikanaji wa basi la chuo,ujenzi wa zahanati mpya
akawapa fursa sawa mawazili wote kwa kazi,safari na maslahi,
akashirikisha wanafunzi na abunge katika uongozi
akafanya university baraza kwa mara ya kwanza
alikuwa na mawazir wachapa kazi kama kadutu,mafuru,shekha,madaraka,abdul,salum,loimush, na,anatory,yared wengi
faasco ikaboreshwa kwa kuongezwa hamasa
 
Ndugu yangu mimi sikushangai lakini naomba utambue kwamba vyuo vikuu huwezi kuvitenganisha na siasa viwe vya binafsi au umma, University ni sehemu za wasomi na watu waliokomaa wanaojiandaa kwenda kuchukua majukumu ya taifa lao, Siasa za vyuoni au maarufu kwa kimombo College/University politics ni sehemu ya utamaduni wa vyuo vikuu kote duniani ebu angalia role ya UDSM students politics na mijadara yao katika kupigania ukombozi wa Afrika miaka ya 60 na 70, wanasisa wengi unaowajua wenye rekodi nzuri watakuambia politics wameanzia college, na hata sheria inayoanzisha vyuo ya mwaka 2005 ianzitaka taasisi hizo kuruhusu siasa kwa mujibu wa sheria.
kwaio kumbe chuo huwa hatuendi kupata elimu ila tunaenda kujifunza siasa?,ndo maana yake kwa mantiki hiyo
 
Sautso is an extension of saut managment, and not an independent board, hivyo usitegemee lolote kutoka uongozi wa wanafunzi wa chuo hicho, uongozi wake ni tofauti sana na uongozi wa vyuo vingine
 
Hayo pia watayafanya viongozi wakuu wa Chadema pindi watakapo pewa hii inchi.
 
Back
Top Bottom