Wana saut tumeliwa tena kwa mara nyingine na tuliowaamini:

Omona Wanyu

Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
51
Reaction score
6
Malisa Godlisten Rais wa Serikali ya WanafunziSAUTSO Chuo kikuu cha St Augustine umetudharirisha mpaka tunaona aibu sasa na vuguvugu la Chadema, tena tuliingia kwa mbwembwe kali kuwa tutakuwa wakombozi wa watu, waliotuchagua kwa kura nyingi richa ya kuwepo nguvu kubwa ya viongozi waliotangulia hasa Rais Bwana Cosmas Mataba na Anna Mushi, Spika wa Bunge Bw Maro Pius, na aliekuwa Waziri mkuu Bw Leonard Mafuru, tukamchagua kijana huyu aliedaiwa machachari akitokea Baraza la vijana la Chadema yani BAVICHA kwa kishindo cha zaidi ya asilimia 75% licha ya hira za Mataba na Tume yake ya Uchaguzi, tukashinda uchaguzi kwa mbwembwe kabisa tukimtupilia mbali mgombea aliefadhiriwa kwa gharama kubwa na CCM Bwana Antony na Mgombea mwenza Bibie Alice, tuliingia huku wanafunzi wakiwa na matumaini makubwa ya kuona mabadiriko kufuatia manung’uniko ya serikari ilio tangulia ya Bwana Mataba, Maro na Mafuru kutuhumiwa kwa ufisadi, ubadhirifu Ngono na matumizi mabaya ya ofisi na kupeana madaraka ya SAUTSO (Maro na Mataba wanadaiwa kuongoza serikali hiyo ya 2011/2012 kwa ubia wa makubaliano maalum…. Source kinasa sauti cha siri kilichomrekodi Bwana Maro kwa siri na vijana wa CHADEMA nyumbani kwake Nganza). Tuliingia tukiwalaumu wenzetu waliotutangulia lakini kwa mtazamo wa haraka hakika wao na sisi wana unafuu mkubwa wa kukumbukwa, hakuna kilichofanyika wala kubadilika, Ahadi zote tulizo ahidi mpaka wakati huu tunapoelekea kufanya uchaguzi tena hakuna dalili kuwa tutafanya chochote,
Tumeshindwa kabisa kutekeleza ahadi zifuatazo:-
1. Tuliahidi kujenga kutuo cha polisi katika jamii hii ya watu zaidi ya 26,000 ili kupambana na vitendo vya ubakaji wa dada zetu katika maeneo tofauti ya vuinga vya chuo hiki tumeshindwa.
2. Tuliahidi kuhamia kwenye ofisi mpya za SAUTSO ili kuongeza ufanisi wa shughuri zetu mpaka sasa hivi haifahamiki mradi huo umeishia wapi.
3. Tuliahidi kupambana na matatizo ya mikopo kwa wanafunzi lakini hakika hivi sasa tuna matatizo makubwa katika idara ya mikopo kuliko hata wakati wa Mataba, mikopo inachelewa, majina yanachanganyika, na mpaka hivi sasa kuna watu hawajaona mkopo since waje mwezi September.
4. Tuliahidi kuanzisha utaratibu wa kutunza kumbukumbu za kudumu lakini hilo limeshindikana.
5. Tuliahidi kurekebisha miundo mbinu ambayo sio rafiki kwa wenzetu wenye changamoto ya viungo sijui tumeishia wapi.
6. Bunge limekuwa genge la malumbano, migawanyiko, makundi ya urais ujao, na mijadara ya miradi isiyotekelezeka,
7. Umeme madarasani bado na viongeza sauti bado ni kero.
8. Unyanyasaji wa kimapenzi umekithiri hasa kwa viongozi wa kike pale SAUTSO.
9. Kuna serikali ya siri ya Bw Tungaraza ndani ya serikali ya Bw Malisa,
10. Migawanyiko iliyotokana na maslahi binafsi na uroho wa fedha umezidi.
11. Ubadhirifu wa pesa umeongezeka na pesa zinaishia kwenye mikono ya mabosi wachache wa SAUTSO.
12. Bwana Malisa mwenyewe anaongoza kwa matumizi mabaya ya fedha za wanafunzi, amesafiri zaidi kwa Ndege hata zaidi ya Bwana Mataba na Serikali yake, hakai ofisini, hatekelezi majukumu ya SAUTSO kwa wakati, wanafuzi wanalaumu kuwa muda mwingi pamefungwa, na wasaidizi wake wana kauri mbaya hasa idara ya mikopo, Malisa yuko busy facebook mara sijui naenda Lunch, nimepoteza simu, mara sijui najiandaa kupanda ndege, mara sijui natoka wapi naenda wapi je hiyo ndio spirit ya wana BAVICHA.
13. Tuliahidi Basi la SAUTSO mradi umeishia hewani bila maelezo.
14. Funga kazi ni kitendo cha aibu cha maandalizi ya michezo ya Vyuo vya SAUT kule Morogoro hali ilikuwa ni ya aibu, michezo mibovu, hakukuwa na motisha, zawadi hovyo, ugomvi, mazingira magumu, nilibahatika kupata taarifa kuhusu michezo ya aina hiyo ambayo ilifanyika Mtwara wakati wa Bw Mataba, yani ni mara Elfu kumi Tamasha la Mtwara, kulikuwa na msisimko, watu wengi, zawadi nzuri, malazi safi, chakula kingi, matibabu, michezo mingi, na Ratiba ya kueleweka, yani kilichofanyika Morogoro hakikuwa tofauti na Kombe la mbuzi kwenye shule Fulani za kata.
15. Chini ya Uongozi wa Malisa na wenzake Umoja wa vyuo vya SAUT Umekuwa na picha mbaya, pesa zilitafunwa, watu wakapigana, zawadi zikaibiwa, makombe yakachanganyikana, mgeni rasmi kwa aibu kubwa akapigwa na maganda ya ndizi, mayai viza na kondomu zilizotumika ebu pata picha hali ingekuwa nihiyo kule Mtwara ambapo mgeni rasmi alikuwa ni VC KITIMA mwenyewe na wakuu wengine wa SAUT Tanzania nzima.
Alietuponza mpaka hapa ni mambo ni mengi ila TUNGARAZA ametuponza pia kwa kujaribu kuingilia kwa siri kila jambo, Vijana wa BAVICHA tuliohusika katika harakati za kukuweka madarakani tumeishiwa na imani kabisa tunahitaji mabadiriko ya vijana wajao katika nafasi hizi tulijitoa kwa moyo na maisha yetu mpaka hata kufikia hatua ya kuweka masomo yetu hatarini kwa kupambana na viongozi waliotangulia Bw Mataba na wenzie kufanikisha hili ila tumekatishwa tamaa,
TUMECHOKA NEXT TIME BAVICHA TUNATAKA MABADIRIKO TUNAIDHARIRISHA CHADEMA KWAKWELI
 
Malisa Godlisten Rais wa Serikali ya WanafunziSAUTSO Chuo kikuu cha St Augustine umetudharirisha mpaka tunaona aibu sasa na vuguvugu la Chadema, tena tuliingia kwa mbwembwe kali kuwa tutakuwa wakombozi wa watu, waliotuchagua kwa kura nyingi richa ya kuwepo nguvu kubwa ya viongozi waliotangulia hasa Rais Bwana Cosmas Mataba na Anna Mushi, Spika wa Bunge Bw Maro Pius, na aliekuwa Waziri mkuu Bw Leonard Mafuru, tukamchagua kijana huyu aliedaiwa machachari akitokea Baraza la vijana la Chadema yani BAVICHA kwa kishindo cha zaidi ya asilimia 75% licha ya hira za Mataba na Tume yake ya Uchaguzi, tukashinda uchaguzi kwa mbwembwe kabisa tukimtupilia mbali mgombea aliefadhiriwa kwa gharama kubwa na CCM Bwana Antony na Mgombea mwenza Bibie Alice, tuliingia huku wanafunzi wakiwa na matumaini makubwa ya kuona mabadiriko kufuatia manung'uniko ya serikari ilio tangulia ya Bwana Mataba, Maro na Mafuru kutuhumiwa kwa ufisadi, ubadhirifu Ngono na matumizi mabaya ya ofisi na kupeana madaraka ya SAUTSO (Maro na Mataba wanadaiwa kuongoza serikali hiyo ya 2011/2012 kwa ubia wa makubaliano maalum…. Source kinasa sauti cha siri kilichomrekodi Bwana Maro kwa siri na vijana wa CHADEMA nyumbani kwake Nganza). Tuliingia tukiwalaumu wenzetu waliotutangulia lakini kwa mtazamo wa haraka hakika wao na sisi wana unafuu mkubwa wa kukumbukwa, hakuna kilichofanyika wala kubadilika, Ahadi zote tulizo ahidi mpaka wakati huu tunapoelekea kufanya uchaguzi tena hakuna dalili kuwa tutafanya chochote,

Ndugu yangu nimemfahamu Malisa akiwa katibu mwenezi wa Chadema SAUT, sijajua hasa baada ya kuingia madarakani ana act vipi, lakini kwa mtu anayeifahamu SAUT ahadi za namna hiyo eti, tutanunua Basi, Tutarekebisha miundombinu nk. kwa uongozi upi wa chuo? Panga pangua SAUTSO haina mandate yoyote ile, ipo kwa sababu tu ni matwaka ya TCU. Kumbuka mwaka jana VC kwenye kikao chake na wanafunzi alikataa kabisa uwepo wa kituo cha polisi (NILIKUWEPO) hivyo unategemea Malisa angeweza kumshawishi, alikataa pia kuongeza majengo, na hapa namnukuu "ni bora uniambie unataka Mwl. hata japan nitamfuata lakin sio majengo, hata nje utasomea) maneno hayo ninayakumbuka kwani yaliniuma sana!

Halafu kumbuka kabisa aliyekuwa anatarajiwa kuwa Rais alikuwa TUNGARAZA, wanafunzi wa BAED walikuwa wanamtumaini yeye, kumbuka mwaka 2010-2011 akiwa mwaka wa kwanza ndiye aliyepigania wanafunzi ambao walikuwa wakizungushwa na bodi ya mikopo, pamoja na serikali ya wanafunzi kwa wakati ule, aliweza kwa kiasi kikubwa kwenda Dar, kwa kuchangiwa na wanafunzi kufuatilia jambo hilo na akafanikiwa toka hapo akawa popular, lakini mwaka jana kwa njama za Dean of students wakisaidiana, Mataba (rais mstaafu) na Alex kwa maslahi yao walihakikisha wanamuundia zengwe ikiwa na kuibuka na tuhuma 11 na ilimanula apoteze chuo!

Kimsingi, SAUTSO haina uwezo huo wa kutekeleza ahadi hizo, ila kama kashindwa kutekeleza yaliyondani ya uwezo wake hilo tulijadili.
 
Lakini kwanini watu wameshindwa kuona tofauti na kuiona Serikali ya Malisa ni bora mara mia ile ya Mataba? Mbona tuliahidi Stand Mpya vitu vinavyohitaji initiative kidogo imeshindikana, sasa inamaana Tungaraza alikuwa ni bora kuliko Malisa!? kama alikuwa na moyo wa kutumikia umma kwanini kitu hakitekelezwi mpaka upande wake ndani ya serikali ukubali, kwa uzuri naufahamu mchakato mzima wa nini kilichotokea mpaka kumpiga chini TUNGARAZA maana nilikuwa kamanda wa siri katika michakato kadhaa kuanguka kwa Tungaraza ni ugomvi binafsi kati ya MARO na TUNGARAZA mwenyewe tangu walipotafautiana kwenye mgawanyo wa madaraka kwenye serikali ya MATABA, Tungaraza alinyimwa uwaziri wa Mikopo na MATABA kwa shinikizo la Maro na akaunda bifu kuanzia hapo.
 
Hali huwa ni hii hii katika siasa watu kuahidi mambo lukuki na kushindwa kuyatekeleza na wakati unakuja wanatakiwa wajibu kwanini wameshindwa wanaleta siasa poleni vijana.
 
Ndugu yangu nimemfahamu Malisa akiwa katibu mwenezi wa Chadema SAUT, sijajua hasa baada ya kuingia madarakani ana act vipi, lakini kwa mtu anayeifahamu SAUT ahadi za namna hiyo eti, tutanunua Basi, Tutarekebisha miundombinu nk. kwa uongozi upi wa chuo? Panga pangua SAUTSO haina mandate yoyote ile, ipo kwa sababu tu ni matwaka ya TCU. Kumbuka mwaka jana VC kwenye kikao chake na wanafunzi alikataa kabisa uwepo wa kituo cha polisi (NILIKUWEPO) hivyo unategemea Malisa angeweza kumshawishi, alikataa pia kuongeza majengo, na hapa namnukuu "ni bora uniambie unataka Mwl. hata japan nitamfuata lakin sio majengo, hata nje utasomea) maneno hayo ninayakumbuka kwani yaliniuma sana!

Halafu kumbuka kabisa aliyekuwa anatarajiwa kuwa Rais alikuwa TUNGARAZA, wanafunzi wa BAED walikuwa wanamtumaini yeye, kumbuka mwaka 2010-2011 akiwa mwaka wa kwanza ndiye aliyepigania wanafunzi ambao walikuwa wakizungushwa na bodi ya mikopo, pamoja na serikali ya wanafunzi kwa wakati ule, aliweza kwa kiasi kikubwa kwenda Dar, kwa kuchangiwa na wanafunzi kufuatilia jambo hilo na akafanikiwa toka hapo akawa popular, lakini mwaka jana kwa njama za Dean of students wakisaidiana, Mataba (rais mstaafu) na Alex kwa maslahi yao walihakikisha wanamuundia zengwe ikiwa na kuibuka na tuhuma 11 na ilimanula apoteze chuo!

Kimsingi, SAUTSO haina uwezo huo wa kutekeleza ahadi hizo, ila kama kashindwa kutekeleza yaliyondani ya uwezo wake hilo tulijadili.
Kumbuka what goes around comes around kama vijana waliahidi lazima wawe answerable, nakumbuka walivyoluwa busy kuwatupia mawe wenzao waliotangulia kwa tuhuma za ubadhirifu na Ngono.
 
nimesoma saut enzi za uongonzi wa Dotto, shida zilikuwepo lkn kwa upande wa mikopo hakukuwa na shida sana kwani alijitahidi sana kushughulikia hayo maswala kwa kadri ya uwezo wake.
kwa jinsi ninavyoijua saut na uongozi wake, kununua gari la chuo sidhani km itawezekana, labda ujenzi wa kituo cha polisi unaweza kufanikiwa kwaajili ya matatizo ya uharifu yanayowapata wanachuo.
 
mashindano Morogoro yalikua hovyo kabisa! zawadi zilizoahidiwa hazikutolewa, na kupelekea kutokea kwa vurugu baada ya fainali ya mpira wa miguu baada ya washindi kupewa zawadi ndogo(pesa) tofauti na ahadi ilivyosema! ugomvi ulikuwa mkubwa watu wakivutana mashati huku washindi wakisusa kuchukua kombe! mpaka tunaondoka kombe halikujulikana liko wapi! ilikua ni aibu ukizingatia sisi ni wasomi alafu tunashindwa kufanya mambo yetu kisomi!
 
Mimi kwa kweli mleta mada umenisikitisha !! kauli yako unaonesha kwamba na wewe umo ndani ya hiyo serikali kama kiongozi. swali langu ni je wewe umefanya nini? na kama umefanya ukashindwa kutimiza malengo kwa sababu fulani fulani kwa nini usijiuzuru?
 
Duh! :shock: Kumbe huu uchu wa madaraka tunaouona kwa viongozi wengi serikalini unaanzia vyuoni na kwingineko!
Kweli bado kazi ipo kwa Tz na Africa kwa ujumla kupata viongozi wenye uzalendo wakutumika na siyo kutumikiwa!

Lakini kwanini watu wameshindwa kuona tofauti na kuiona Serikali ya Malisa ni bora mara mia ile ya Mataba? Mbona tuliahidi Stand Mpya vitu vinavyohitaji initiative kidogo imeshindikana, sasa inamaana Tungaraza alikuwa ni bora kuliko Malisa!? kama alikuwa na moyo wa kutumikia umma kwanini kitu hakitekelezwi mpaka upande wake ndani ya serikali ukubali, kwa uzuri naufahamu mchakato mzima wa nini kilichotokea mpaka kumpiga chini TUNGARAZA maana nilikuwa kamanda wa siri katika michakato kadhaa kuanguka kwa Tungaraza ni ugomvi binafsi kati ya MARO na TUNGARAZA mwenyewe tangu walipotafautiana kwenye mgawanyo wa madaraka kwenye serikali ya MATABA, Tungaraza alinyimwa uwaziri wa Mikopo na MATABA kwa shinikizo la Maro na akaunda bifu kuanzia hapo.
 
Watoto zetu wanasema hawajapewa mkopo tangu waanze mwaka wa masomo mpaka leo nyie mnaleta malumbano pumbafu ebu dealini na mkopo wa wenetu
 
nimesoma saut enzi za uongonzi wa Dotto, shida zilikuwepo lkn kwa upande wa mikopo hakukuwa na shida sana kwani alijitahidi sana kushughulikia hayo maswala kwa kadri ya uwezo wake.
kwa jinsi ninavyoijua saut na uongozi wake, kununua gari la chuo sidhani km itawezekana, labda ujenzi wa kituo cha polisi unaweza kufanikiwa kwaajili ya matatizo ya uharifu yanayowapata wanachuo.
Yani Braza watu hawana imani na sisi wanatuona wauza sura tu, hatuna agenda ya kiubunifu kuonyesha japo la kukumbukwa na wanafunzi wenzetu.

Watoto zetu wanasema hawajapewa mkopo tangu waanze mwaka wa masomo mpaka leo nyie mnaleta malumbano pumbafu ebu dealini na mkopo wa wenetu
Sasa tutadili vp!? wakati saivi ni bora liende liwalo na liwe muda uishe wachukuwe wanasiasa wengine, kwanza kwenda bodi penyewe hadi pachimbike nani aende! basi tu!
 
Duh! :shock: Kumbe huu uchu wa madaraka tunaouona kwa viongozi wengi serikalini unaanzia vyuoni na kwingineko!
Kweli bado kazi ipo kwa Tz na Africa kwa ujumla kupata viongozi wenye uzalendo wakutumika na siyo kutumikiwa!
Yani eti mtu akinyimwa mfupa anakimbilia upinzani na ku-sabotage waliopo madarakani.
 
Mimi kwa kweli mleta mada umenisikitisha !! kauli yako unaonesha kwamba na wewe umo ndani ya hiyo serikali kama kiongozi. swali langu ni je wewe umefanya nini? na kama umefanya ukashindwa kutimiza malengo kwa sababu fulani fulani kwa nini usijiuzuru?
Yani naona aibu hata kujiuzuru maana nilikuwa kinara wa mapambano ya kuingiza serikali hii madarakani, ngoja niwemo tu mpaka mwisho, alafu ukizingatia effect yangu ni ndogo kwenye serikali yenyewe heri hata ningekuwa Waziri mkuu.
 
hivi bavicha na serikali ya wanafunzi vina uhusiano gani?,sijaona mantiki hapo tenganisheni elimu na mambo ya siasa hicho chuo sio cha chadema wala ccm ni cha watanzania wenye nia ya kutoa ujinga vichwani mwao
 
tangu nimeanza kufuatilia huu uzi nimekukuta wewe mwenye upeo ulikamilika wengi wamejadiri kitu kilicho double na jambo jingine mbaaaaali kabisa sa sijajua kama mleta maada anatafuta harufu ili maada yake ipate wachangiaji wengi kwa kuihusisha na BAVICHA
 
tatizo hawa watoto wanaingia kwenye ongozi kwa kufuata upepo wanadhani uongozi sawa na kula chakula kuwa kila mtu anaweza kula matokeo yake baaada ya kuongoza wanaanza mipasho sijui malisa mara tungaraza nini sasa wakati kuna wanafunzi zaidi ya mia 4 tunasikia hawajapata mkopo mpaka sasa na hawajui hatma ya masomo yao wao baada ya kujadili hili wanaanza bavicha rubish kabisa alafu mnajiita wasomi
 
Yani Braza watu hawana imani na sisi wanatuona wauza sura tu, hatuna agenda ya kiubunifu kuonyesha japo la kukumbukwa na wanafunzi wenzetu.
kaka nitake radhi mimi ni sister ila si wa kanisa,namaanisha ni mdada.
 
Back
Top Bottom