Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,395
Naona ni kama umeniandalia maelezo chungu nzima, sitakuvurugia hii fursa adimu na ya heshima kupindukia, ya kunielimisha. Acha niseme kwamba sijui. [emoji1]
Jifunze kusoma kwanza alafu ukishamaliza, lamba lolo.sasa kama hujui unabishabisha nini?..nenda kakate vitunguu huko
watu wanakufa njaa wewe unaleta mambo ya kombe la shirikisho,mikenya bana!Full time
Gor Mahia 1
Petro de Luanda 0
Tunabanana humu hadi mtoto azaliwe tujue wa nani.
Simba kule Dar hakukaliki wanavyobeza mashabiki wa Yanga.
Go google msee.. unataka utafuniwe!Naona ni kama umeniandalia maelezo chungu nzima, sitakuvurugia hii fursa adimu na ya heshima kupindukia, ya kunielimisha. Acha niseme kwamba sijui. [emoji1]
somaJombaa kabla uanze kuwapa wakenya lecture kuhusu michezo, hebu tuletee ranking za FIFA tujionee nafasi za Kenya na Tanzania duniani. Alafu hapo tunaongea kuhusu soka tu. Ukimaliza cheki kuhusu riadha kwa IAAF, rankings za raga kwa IRB, kwenye mpira wa wavu pia na ukiwa na muda umalizie kwenye Hockey na Cricket.
Kumbe ulikuwa unajaribi kunitishia na maswali maandas ili usijibu hoja yangu? Tz bado sana kwenye michezo.