Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,395
Naona ni kama umeniandalia maelezo chungu nzima, sitakuvurugia hii fursa adimu na ya heshima kupindukia, ya kunielimisha. Acha niseme kwamba sijui. [emoji1]
sasa kama hujui unabishabisha nini?..nenda kakate vitunguu huko