Wana Simba mliokua mnabeza, haya Gor Mahia yaibuka mshindi

Wana Simba mliokua mnabeza, haya Gor Mahia yaibuka mshindi

Full time
Gor Mahia 1
Petro de Luanda 0

Tunabanana humu hadi mtoto azaliwe tujue wa nani.
Simba kule Dar hakukaliki wanavyobeza mashabiki wa Yanga.
watu wanakufa njaa wewe unaleta mambo ya kombe la shirikisho,mikenya bana!
 
Jombaa kabla uanze kuwapa wakenya lecture kuhusu michezo, hebu tuletee ranking za FIFA tujionee nafasi za Kenya na Tanzania duniani. Alafu hapo tunaongea kuhusu soka tu. Ukimaliza cheki kuhusu riadha kwa IAAF, rankings za raga kwa IRB, kwenye mpira wa wavu pia na ukiwa na muda umalizie kwenye Hockey na Cricket.
soma
Screenshot_2019-03-19-10-50-03.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom