Wana Simba SC mliokaribu na Beki Mohammed Hussein Tshabalala nisaidieni Kuniulizia hili Swali langu Kwake tafafhali

Uongo mkubwa sana
Sasa kama unasema simba walipokuwa wakishambuliwa walikuwa wana make front 3 nyuma, mahesabu yanakugomea?

Sawa kapombe au zimbwe mmojawapo ndio anatengeza utatu wa watu watatu nyuma kivipi?

Zimbwe, na mabeki wa kati wawili wakiwa kati kati halafu zimbwe akaacha upande wake unasema ni technics ..

Kwahiyo ndo kushoto watu wakawa wanapita tu sababu zimbwe alishindwa Ku mark upande wake na kuingia kati?

Nakupinga zimbwe alizidiwa na jamaa basi halafu alikuwa anaingia kati na kuacha upande wake ..
 
Ndiyo tabu ya kukalili hivi jana uliona kazi beki ya beki ya vita Djuma shabani? Sasa Mo alikuwa hajui amkabe yupi kati ya winga kalenda au beki shabani ndiyo maana ule upande Alizidiwa sana
 
Sio hizo tu boss mechi nyingi anapitika kirahisi sana upande wake.
 
Katika hao ( hawa ) Wachambuzi Uchwara na Wewe unajitoa? Pumbavu!!!!
 
Hayuko vizuri. Hata yale magoli ya Azam yalipitia kwake. Hata ukiyarudia kuayaangalia utaona. Yaani Nado anadrive anamuangalia tu kwa macho wala hakujihangaisha kumziba wala nini. Kuna kipindi anatembea kabisa. Kifupi amechoka.
 
We mwenyewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine

Hawa wachumbuzi uchwara wanasumbua sana
 
Huyo beki mbili wa SHABAN JUMA WA VITA subiri aje DAR uone kama atapanda Kwa fujo
 
Kwani ni usimsifie Djuma shaban kwa umahiri wake wa kudribble mipira na kumpita Shabalala ?.ila maisha ni kuchagua you either be in hatred or critic side or Love side.
 
Huwa unaangalia mpira kwa sababu ya betting huwezi kuelewa.
 
Hayuko vizuri. Hata yale magoli ya Azam yalipitia kwake. Hata ukiyarudia kuayaangalia utaona. Yaani Nado anadrive anamuangalia tu kwa macho wala hakujihangaisha kumziba wala nini. Kuna kipindi anatembea kabisa. Kifupi amechoka.
Beki yeyote akiwekwa kwenye two against one lazima apitwe tu.

Wale Vita kulia kwao walikuwa strong sana ukilinganisha na kushoto kwao.
 
Huyo beki mbili wa SHABAN JUMA WA VITA subiri aje DAR uone kama atapanda Kwa fujo
Hata game yetu na Vita hapa Dar es Salaam huyo huyo Djuma Shabani alikuwa anashambulia sana.

Sema alikuwa na kazi kubwa ya kumkaba Okwi hivyo yeye na Kasadi Kazengu walikuwa wanakazi pia ya kumkaba Okwi kama alivyofanya juzi Luis
 
Kiwango cha shabalala kwenye mechi za kimataifa hua ni dhaifu mda wote mkuu, nakumbuka hata kipindi kile tunacheza na nkana kuna kijana alimsumbua sana zimbwe,

Binafsi hua natamani Mbaga aanze kuliko huyo Zimbwe.
 
Hayuko vizuri. Hata yale magoli ya Azam yalipitia kwake. Hata ukiyarudia kuayaangalia utaona. Yaani Nado anadrive anamuangalia tu kwa macho wala hakujihangaisha kumziba wala nini. Kuna kipindi anatembea kabisa. Kifupi amechoka.
Yale magoli uwezi kumlaumu Zimbwe, Lile lilikua tatizo la kimbinu, labda ka wewe unaangalia tu mpira bila kujua ni mbinu gani zinatumika
 
Coment yako niliiona na ukiirudia utaona maoni yangu kuna watu wanapenda majina ya wachezaji bila kuangalia uwezo wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…