Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Uongo mkubwa sanaHiyo ni game plan hata Vita na wao sehemu waliyopanga kusukma mashambulizi yao ni huko huko kulia kwao kutokana na uwepo wa Djuma Shaban na Mbuyi.
Kama uliangalia mpira kwa jicho la kitaalamu Tshabalala hakuzidiwa sana.
Kuhusu yeye kuingia ndani angalia vizuri game plan yao walikuwa wanapanda upande mmoja kisha Midfielder wana advance hivyo lazima full back mmoja arudi kutengeneza back 3 hata alipopanda Mohamed Hussein Kapombe alikuwa anafanya hivyo.
Suala la kushambuliwa sana ni Vita walikuwa strong sana kulia na simba walikuwa wanatumia kupanda zaidi kupitia kulia kuliko kushoto ndiyo maana Vita walikuwa wanapata space za kukimbia kupitia kushoto.
Sasa kama unasema simba walipokuwa wakishambuliwa walikuwa wana make front 3 nyuma, mahesabu yanakugomea?
Sawa kapombe au zimbwe mmojawapo ndio anatengeza utatu wa watu watatu nyuma kivipi?
Zimbwe, na mabeki wa kati wawili wakiwa kati kati halafu zimbwe akaacha upande wake unasema ni technics ..
Kwahiyo ndo kushoto watu wakawa wanapita tu sababu zimbwe alishindwa Ku mark upande wake na kuingia kati?
Nakupinga zimbwe alizidiwa na jamaa basi halafu alikuwa anaingia kati na kuacha upande wake ..