Wana Simba SC mliokaribu na Beki Mohammed Hussein Tshabalala nisaidieni Kuniulizia hili Swali langu Kwake tafafhali

Wana Simba SC mliokaribu na Beki Mohammed Hussein Tshabalala nisaidieni Kuniulizia hili Swali langu Kwake tafafhali

Hiyo ni game plan hata Vita na wao sehemu waliyopanga kusukma mashambulizi yao ni huko huko kulia kwao kutokana na uwepo wa Djuma Shaban na Mbuyi.

Kama uliangalia mpira kwa jicho la kitaalamu Tshabalala hakuzidiwa sana.

Kuhusu yeye kuingia ndani angalia vizuri game plan yao walikuwa wanapanda upande mmoja kisha Midfielder wana advance hivyo lazima full back mmoja arudi kutengeneza back 3 hata alipopanda Mohamed Hussein Kapombe alikuwa anafanya hivyo.

Suala la kushambuliwa sana ni Vita walikuwa strong sana kulia na simba walikuwa wanatumia kupanda zaidi kupitia kulia kuliko kushoto ndiyo maana Vita walikuwa wanapata space za kukimbia kupitia kushoto.
Uongo mkubwa sana
Sasa kama unasema simba walipokuwa wakishambuliwa walikuwa wana make front 3 nyuma, mahesabu yanakugomea?

Sawa kapombe au zimbwe mmojawapo ndio anatengeza utatu wa watu watatu nyuma kivipi?

Zimbwe, na mabeki wa kati wawili wakiwa kati kati halafu zimbwe akaacha upande wake unasema ni technics ..

Kwahiyo ndo kushoto watu wakawa wanapita tu sababu zimbwe alishindwa Ku mark upande wake na kuingia kati?

Nakupinga zimbwe alizidiwa na jamaa basi halafu alikuwa anaingia kati na kuacha upande wake ..
 
Kiwango chake cha Uchezaji kwa Siku za karibuni si tu Kinashuka bali Kinaporomoka vibaya mno hadi naanza Kujiuliza Maswali mengi na kupatwa na wasiwasi.

Tshabalala sasa amekuwa Mzito Uwanjani, hakabi kama Kawaida yake, hasa Kasi yake ile, anapitika Kiurahisi sana na Washambuliaji lakini pia hata tu Body Language yake inaonyesha ana Jambo linamsumbua.

Na Kinachonishangaza zaidi aliponyang'anywa tu Unahodha kwa sababu ambazo hatukupewa Kiwango chake kilikuwa Juu ila aliporejeshewa tu Kiwango chake kimeanza Kudorora.

Kwa mfano tu kwa Mechi ya jana isingekuwa Juhudi za Luis Miqussoine ( Mchezaji aliyejitoa Kuifia Simba SC ) Beki Tshabalala angetufungisha Simba SC kwani ndiyo aliyekuwa Uchochoro wa AS Vita Club.

Hongereni Simba SC ila namalizia kwa Kuuliza Beki wangu Fundi Mohammed Hussein Tshabalala amekumbwa na tatizo gani?

Ndiyo tabu ya kukalili hivi jana uliona kazi beki ya beki ya vita Djuma shabani? Sasa Mo alikuwa hajui amkabe yupi kati ya winga kalenda au beki shabani ndiyo maana ule upande Alizidiwa sana
 
Sio hizo tu boss mechi nyingi anapitika kirahisi sana upande wake.
Hujui Mpira na kamwe hutoujua hivyo tupishe tunaoujua tuujadili na tulijadili kwa marefu na mapana hili la Beki wetu Mohammed Hussein Tshabalala Zimbwe Jr tafadhali.

Rejea kutizama Kiumakini Mechi ya Simba SC dhidi ya Dodoma FC kisha ile ya Azam FC na hasa ya Jana dhidi ya AS Vita Club ukimaliza nataka unipe Critical Observation yako hasa ya Kiufundi juu ya performance yake Tshabalala.
 
Achanaa na Simba, sisi tuna Jambo letu na Tshabalala!! Utakuja kulijua baadaye!! Watu walimponda hata Bwalya, Sasa hivi wameshona midomo!! Mchezaji hupitia vipindi na vipindi! Kocha wake anamwelewa na anaamini mchango
wake, vinginevyo angekuwa anamweka benchi!! Tunamwamini kocha kuliko hawa wachambuzi uchwara wa bongo!!
Katika hao ( hawa ) Wachambuzi Uchwara na Wewe unajitoa? Pumbavu!!!!
 
Hayuko vizuri. Hata yale magoli ya Azam yalipitia kwake. Hata ukiyarudia kuayaangalia utaona. Yaani Nado anadrive anamuangalia tu kwa macho wala hakujihangaisha kumziba wala nini. Kuna kipindi anatembea kabisa. Kifupi amechoka.
 
Kuna Mijitu ni Wapuuzi humu hadi Mnaboa. Hivi performance ya Tshabalala imeanza Kushuka jana? Winga wa Azam FC Idi Nado alikuwa akipita wapi Simba SC ilipocheza na Azam FC? Goli lake alilifunga akitokea wapi na akikabwa Kizembe na nani?

Tafadhali nahitaji Kujadiliana na Watu wanaojua Mpira hasa na wenye Jicho la Ufundi na siyo Wapuuzi tupu. Mnanipotezea tu muda wangu na Kuniboa pia.
We mwenyewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine

Hawa wachumbuzi uchwara wanasumbua sana
 
Huyo beki mbili wa SHABAN JUMA WA VITA subiri aje DAR uone kama atapanda Kwa fujo
 
Kiwango chake cha Uchezaji kwa Siku za karibuni si tu Kinashuka bali Kinaporomoka vibaya mno hadi naanza Kujiuliza Maswali mengi na kupatwa na wasiwasi.

Tshabalala sasa amekuwa Mzito Uwanjani, hakabi kama Kawaida yake, hasa Kasi yake ile, anapitika Kiurahisi sana na Washambuliaji lakini pia hata tu Body Language yake inaonyesha ana Jambo linamsumbua.

Na Kinachonishangaza zaidi aliponyang'anywa tu Unahodha kwa sababu ambazo hatukupewa Kiwango chake kilikuwa Juu ila aliporejeshewa tu Kiwango chake kimeanza Kudorora.

Kwa mfano tu kwa Mechi ya jana isingekuwa Juhudi za Luis Miqussoine ( Mchezaji aliyejitoa Kuifia Simba SC ) Beki Tshabalala angetufungisha Simba SC kwani ndiyo aliyekuwa Uchochoro wa AS Vita Club.

Hongereni Simba SC ila namalizia kwa Kuuliza Beki wangu Fundi Mohammed Hussein Tshabalala amekumbwa na tatizo gani?
Kwani ni usimsifie Djuma shaban kwa umahiri wake wa kudribble mipira na kumpita Shabalala ?.ila maisha ni kuchagua you either be in hatred or critic side or Love side.
 
Uongo mkubwa sana
Sasa kama unasema simba walipokuwa wakishambuliwa walikuwa wana make front 3 nyuma, mahesabu yanakugomea?

Sawa kapombe au zimbwe mmojawapo ndio anatengeza utatu wa watu watatu nyuma kivipi?

Zimbwe, na mabeki wa kati wawili wakiwa kati kati halafu zimbwe akaacha upande wake unasema ni technics ..

Kwahiyo ndo kushoto watu wakawa wanapita tu sababu zimbwe alishindwa Ku mark upande wake na kuingia kati?

Nakupinga zimbwe alizidiwa na jamaa basi halafu alikuwa anaingia kati na kuacha upande wake ..
Huwa unaangalia mpira kwa sababu ya betting huwezi kuelewa.
 
Hayuko vizuri. Hata yale magoli ya Azam yalipitia kwake. Hata ukiyarudia kuayaangalia utaona. Yaani Nado anadrive anamuangalia tu kwa macho wala hakujihangaisha kumziba wala nini. Kuna kipindi anatembea kabisa. Kifupi amechoka.
Beki yeyote akiwekwa kwenye two against one lazima apitwe tu.

Wale Vita kulia kwao walikuwa strong sana ukilinganisha na kushoto kwao.
 
Huyo beki mbili wa SHABAN JUMA WA VITA subiri aje DAR uone kama atapanda Kwa fujo
Hata game yetu na Vita hapa Dar es Salaam huyo huyo Djuma Shabani alikuwa anashambulia sana.

Sema alikuwa na kazi kubwa ya kumkaba Okwi hivyo yeye na Kasadi Kazengu walikuwa wanakazi pia ya kumkaba Okwi kama alivyofanya juzi Luis
 
Kiwango cha shabalala kwenye mechi za kimataifa hua ni dhaifu mda wote mkuu, nakumbuka hata kipindi kile tunacheza na nkana kuna kijana alimsumbua sana zimbwe,

Binafsi hua natamani Mbaga aanze kuliko huyo Zimbwe.
 
Hayuko vizuri. Hata yale magoli ya Azam yalipitia kwake. Hata ukiyarudia kuayaangalia utaona. Yaani Nado anadrive anamuangalia tu kwa macho wala hakujihangaisha kumziba wala nini. Kuna kipindi anatembea kabisa. Kifupi amechoka.
Yale magoli uwezi kumlaumu Zimbwe, Lile lilikua tatizo la kimbinu, labda ka wewe unaangalia tu mpira bila kujua ni mbinu gani zinatumika
 
Yaaan mechi dhid ya Azam nilicomment hiv hiv kalalamikia Benchi la Ufundi kwanini Tshabalala na Ubovu alionao sasa anapewa kitambaa cha Unahodha??? Nikaishia kukejeriwa na waiojua mpira mwisho wa Siku akachomesha Simba ikapoteza Pointi mbili. Jana ndio kabisaaaa anamsindikiza adui mpaka kwenye 18 yaaani jamani tuliocheza mpira tunajua huyu Bw mdogo kiwango kimedrop vibaya. Apewe Gadiel atuokoe vinginevyo mechi zijazo tutaanza kubeba mabango ya kutaka awekwe kando.
Coment yako niliiona na ukiirudia utaona maoni yangu kuna watu wanapenda majina ya wachezaji bila kuangalia uwezo wao
 
Back
Top Bottom