Wana Simba SC mliokaribu na Beki Mohammed Hussein Tshabalala nisaidieni Kuniulizia hili Swali langu Kwake tafafhali

Kwa Kukusaidia tu manake hujui ulichokiandika ni kwamba performance ya Tshabalala haijaanza Kushuka Jana ila kuanzia Mechi yetu na Dodoma FC Mkoani Dodoma na hasa ile dhidi ya Azam FC. au Simba SC na Azam FC walichezea Uganini hapo Kibarazani Kwako na siyo Benjamin Mkapa Stadium? Mpaka nimekuja na huu Uzi dhidi yake Beki Tshabalala jua kuna tatizo nimeliona la Kiufundi na Kiuchezaji dhidi yake na nashukuru wapo Watu ( Wadau ) hapa tena wenye Jicho la Kimpira na Kiufundi wamenielewa vyema tu.
Goli zote mbili za Azam zilipitia kwake.. Kiwango chake kimeshuka sana inahitajika Gadiel aanze kupewa mechi ili Tshabalala asilemae
 
Tshabalala ana mganga mzuri tu ila kiuwezo
yuko chini sana,hata ukiwasikia jana watangazaji wa azam Tv walikua wanarudia wazi kwamba kule kwa Tshabalala ndo pamegeuzwa njia
Hilo nakubaliana na wewe nilishangaa hata super cup Gadiel Michael hakupewa nafasi wakati hakuwa hata majeruhi na mbaya zaidi karudishiwa unahodha wakati umemshinda
 
Kweli kabisa shabalala kiwango hakiko vizuri... nadhani ndio maana hata kwenye kikosi kilichokuwa CHAN hakuitwa....anapitika kirahisi ..na akishapitwa anakata tamaa....na kuwaachia wenzie ndio wakabe...yeye anakimbilia kwenye box...na kuweka mikono yake nyuma ya mgongo...ili asishikiswe penati....shukrani ziende kwa Konde boy...alimsaidia Sana... lakini Gadiel Michael si yupo...ndio muda wa kuchukua namba Sasa.... Vita wameishauona huo udhaifu...mechi ya marudio ndio wataanza nao.
 
Mleta mada usisahau kusifia kiwango bora kabisa cha beki namba 2 wa As Vita Djuma Shabani

Huyu jamaa kwenye michuano ya CHAN aliwapeleka puta sana mabeki wa Libya mpaka Congo ikapata goli dakika za lala salama

Hvyo kiuwezo kamzidi mbali Tshabalala, na kwenye mpira team work ndio kila kitu,, ndo maana Miquissone ilimlazimu awe anashuka chini kumuongezea nguvu Tshabalala

Cha msingi tu ni kumkumbusha Tshabalala kwamba hao ndio aina ya mabeki au winger atakaokutana nao ktk hii michuano, sio wale aliowazoea wa Mwadui au Ihefu ambao hata kutuliza mpira hawajui,,, hvyo Tshabalala aongeze umakini zaidi
 
Sio huko tu,mfano hai umetolewa game ya azam
 
Tatizo la Shabalala halikuanza mechi ya jana hata mechi mbili zilizopita tatizo hilo lilikuwepo na sasa watu wamefunguka macho kwanini kocha wa stars alimwacha
 
Mechi ya ugenini hiyo subiri Taifa,utamjua shabalala
Mtoa mada bado hajajua strenght ya Zimbwe ipo wap, siku zote Zimbwe ni mzuri kwenye kushambulia na sio kukaba, ndo maana mechi za ugenini ambazo approach tunayokwenda ni kukaba huwa anapwaya ila ukija kwa Mkapa ambapo huwa tunashambulia ndo unaona balaa la Zimbwe. Yote kwa yote, kwangu mm jamaa anabaki kuwa best left back kwasabab ana sifa nyingi ambazo mchezaji anatakiwa kuwa nazo kama utulivu, control, matumizi ya akili badala ya nguvu. Hayo mapunguf mengine ni madogo tu ambayo kila mchezaji anayo.
 
Sifa ya kwanza ya beki ni kukaba swala la kushambulia ni sifa za ziada ndio maana kuna beki na washambuliaji
 
Yaaan mechi dhid ya Azam nilicomment hiv hiv kalalamikia Benchi la Ufundi kwanini Tshabalala na Ubovu alionao sasa anapewa kitambaa cha Unahodha??? Nikaishia kukejeriwa na waiojua mpira mwisho wa Siku akachomesha Simba ikapoteza Pointi mbili. Jana ndio kabisaaaa anamsindikiza adui mpaka kwenye 18 yaaani jamani tuliocheza mpira tunajua huyu Bw mdogo kiwango kimedrop vibaya. Apewe Gadiel atuokoe vinginevyo mechi zijazo tutaanza kubeba mabango ya kutaka awekwe kando.
 
Mtoa mada bado hajajua strenght ya Zimbwe ipo wap, siku zote Zimbwe ni mzuri kwenye kushambulia na sio kukaba, ndo maana mechi za ugenini ambazo approach tunayokwenda ni kukaba huwa anapwaya ila ukija kwa Mkapa ambapo huwa tunashambulia ndo unaona balaa la Zimbwe. Yote kwa yote, kwangu mm jamaa anabaki kuwa best left back kwasabab ana sifa nyingi ambazo mchezaji anatakiwa kuwa nazo kama utulivu, control, matumizi ya akili badala ya nguvu. Hayo mapunguf mengine ni madogo tu ambayo kila mchezaji anayo.
Matumizi ya akili badala ya nguvu?

Zimbwe huyu huyu? Dah
 
Yaaan mechi dhid ya Azam nilicomment hiv hiv kalalamikia Benchi la Ufundi kwanini Tshabalala na Ubovu alionao sasa anapewa kitambaa cha Unahodha??? Nikaishia kukejeriwa na waiojua mpira mwisho wa Siku akachomesha Simba ikapoteza Pointi mbili. Jana ndio kabisaaaa anamsindikiza adui mpaka kwenye 18 yaaani jamani tuliocheza mpira tunajua huyu Bw mdogo kiwango kimedrop vibaya. Apewe Gadiel atuokoe vinginevyo mechi zijazo tutaanza kubeba mabango ya kutaka awekwe kando.
Mlivyo wachawi na gadiel kampiga kipapai
 
Kuna Mijitu ni Wapuuzi humu hadi Mnaboa. Hivi performance ya Tshabalala imeanza Kushuka jana? Winga wa Azam FC Idi Nado alikuwa akipita wapi Simba SC ilipocheza na Azam FC? Goli lake alilifunga akitokea wapi na akikabwa Kizembe na nani?

Tafadhali nahitaji Kujadiliana na Watu wanaojua Mpira hasa na wenye Jicho la Ufundi na siyo Wapuuzi tupu. Mnanipotezea tu muda wangu na Kuniboa pia.
Kabla ya Idi Nado Lyanga alimpita akawa anamsindikiza, goli la Idi Nado badala ya kukaba alirudi Nyuma akampa nqfasi Nado kupiga mpira bila kukabwa lakini kabla ya magoli yote hayo wakati mpira umesimama Manula alimwita akampa maelekezo inaonekana hakuyashika
 
Kwa Kukusaidia tu manake hujui ulichokiandika ni kwamba performance ya Tshabalala haijaanza Kushuka Jana ila kuanzia Mechi yetu na Dodoma FC Mkoani Dodoma na hasa ile dhidi ya Azam FC. au Simba SC na Azam FC walichezea Uganini hapo Kibarazani Kwako na siyo Benjamin Mkapa Stadium? Mpaka nimekuja na huu Uzi dhidi yake Beki Tshabalala jua kuna tatizo nimeliona la Kiufundi na Kiuchezaji dhidi yake na nashukuru wapo Watu ( Wadau ) hapa tena wenye Jicho la Kimpira na Kiufundi wamenielewa vyema tu.
Achanaa na Simba, sisi tuna Jambo letu na Tshabalala!! Utakuja kulijua baadaye!! Watu walimponda hata Bwalya, Sasa hivi wameshona midomo!! Mchezaji hupitia vipindi na vipindi! Kocha wake anamwelewa na anaamini mchango
wake, vinginevyo angekuwa anamweka benchi!! Tunamwamini kocha kuliko hawa wachambuzi uchwara wa bongo!!
 
Hilo nakubaliana na wewe nilishangaa hata super cup Gadiel Michael hakupewa nafasi wakati hakuwa hata majeruhi na mbaya zaidi karudishiwa unahodha wakati umemshinda
Wewe na kocha anayewapa mazoezi na mafundisho kila siku, Nani anayejua form ya mchezaji kwa wakati husika?
 
Hili la Luis kufuta makosa mengi ya Mohamwd Hussein watu wengi hawakuliona.. Luis jana alijitoa kweli kweli.
Ukiwa hujui mpira ni rahis sana kumnyooshea kidole mchezaji.
 
Sikushangaa kocha wa taifa alipomwacha Shabalala, shabalala ana sifa kubwa ya kushambulia ila ana madhaifu makubwa matatu.
Udhaifu wake wa kwanza akikutana na winga mwenye speed anapitika kirahisi tuliona mechi na Dodoma jiji,bAzam na mechi ya jana kama sio Luis kumzibia makosa tungefungwa goli nyingi kupitia kwake.
Tatizo lake la pili ni marking kwani mara nyingi anaingia upande wa beki ya kati badala ya kukaa pembeni kukaba winga hii ilisababisha mashambulizi mengi yapitie kwake.
Tatizo la tatu akipata mpira hatoi pasi kwa haraka lazima aremberemve mpira na anapitoa pasi anamwacha mtu ambaye hajakabwa anampa pasi mtu ambaye amezungukwa na maadui kwa kifupi anapenda kutoa pasi chonganishi.
Waliompa kitambaa cua unahodha walikosea sana kwani sio kiongozi mzuri uwanjani na pia haongei na kama ukiangalia mechi za Simba mara nyingi utaona Manura anaongea kwa kumwelekeza rakini hajirekebishi
Hiyo ni game plan hata Vita na wao sehemu waliyopanga kusukma mashambulizi yao ni huko huko kulia kwao kutokana na uwepo wa Djuma Shaban na Mbuyi.

Kama uliangalia mpira kwa jicho la kitaalamu Tshabalala hakuzidiwa sana.

Kuhusu yeye kuingia ndani angalia vizuri game plan yao walikuwa wanapanda upande mmoja kisha Midfielder wana advance hivyo lazima full back mmoja arudi kutengeneza back 3 hata alipopanda Mohamed Hussein Kapombe alikuwa anafanya hivyo.

Suala la kushambuliwa sana ni Vita walikuwa strong sana kulia na simba walikuwa wanatumia kupanda zaidi kupitia kulia kuliko kushoto ndiyo maana Vita walikuwa wanapata space za kukimbia kupitia kushoto.
 
Hilo nakubaliana na wewe nilishangaa hata super cup Gadiel Michael hakupewa nafasi wakati hakuwa hata majeruhi na mbaya zaidi karudishiwa unahodha wakati umemshinda
Mohamed Hussein unahodha umemshinda tangu lini ?
 
Back
Top Bottom