GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tumeshawachoka sasa, yaani kila Simba SC ikifanya vibaya (ikifungwa) ili kutuzuga wapenzi (mashabiki) haraka sana kesho yake (kama hii leo) mnakuja na Press Conference (Mkutano na Waandishi wa Habari).
Kama kweli Simba SC huwa mnakuwa na taarifa (jambo) muhimu kwetu mashabiki ni kwanini huwa hamlitoi/hamtujuzi kabla ya mechi na badala yake huwa mnatupa pale tu timu ikiwa imepata matokeo mabaya na mashabiki kuwa na lawama/malalamiko dhidi yenu uongozi na timu?
Kwahiyo wenyewe mnajiona wajanja na mna akili sana kwa leo hii kuja na hii 'Press Conference' yenu ili kutuzuga, kushusha presha yetu na kututia moyo baada ya jana Simba SC kupoteza mechi dhidi ya Azam FC, huku timu ikionyesha kiwango kidogo cha uchezaji na Kocha Mgunda akituonyesha dhahiri kuwa Simba SC ni mfupa mgumu kwake na hana uwezo wa kuifundisha kama ambavyo mnatulazimisha kuamini na kuwaamini?
Mnaboa na mnatuboa sana tu, sawa?