eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
- Thread starter
-
- #181
Tamasha la simba day, milioni 500 viingilioNa kwa Africa tumeongoza ata mashabiki wa Mazembe na Mamelodi wakasome.
Kuna hisa asilimia 51 za wanachama umeshanunua au unajiita mwanachama tu, kumbuka sasa hivi sio elfu 2 tena kwa mwaka
Shekhe naona unaamka now..well wacha nikujibu kulingana na unavyorusha shutuma..Hivi wewe unajua kama kununua jezi tu ni moja ya chanzo cha mapato kutoka kwa fans!! Achilia mbali fans kujaa uwanjani, hata ulaya pesa huwa inarudi kwa kuuza jezi za team achilia mbali vitega uchumi vingine
Well..tazama game zinazoendelea uhuru now utajua namaanisha nini..achilia mbali meci zote za ligi zinazochezwa haa Dar..watu wakizidi sana 5000..watu hao ukizidisha kwa viingilio vyao unaishia kushika tama tuuu..Ukweli lazima tuseme mzee na sio kujidhalilisha...wengi hapa sisi ni mashabiki maandazi,,kutia ndani wewe piaWangapi hawana kadi na uwanjani wanaenda? Acha kujidhalilisha
Mantiki yangu iko wazi,,ndugu hamasa ya mashabiki inamchango katika timu kufanya vema uwanjani...hata kama tusingeifunga Uganda..nakuhakikishia ile mechi ingeeisha hata kwa sare na sio Tanzania Kufungwa...We una matatizo wewe, hivi unafikiri kama Uganda angekuwa anahitaji point sisi tungeshinda ile match pamoja na nyomi la watu!?
Sisi tunatoa mawazo, kwa jinsi tunavyowaona wakicheza uwanjani, mambo ya mwalimu hatumwingilii yeye atatoa na ya kwake maana yeye anajua zaidi kuliko sisiNdugu acha ushabiki maandazi..watachunjwa kwa kuzingatia report ya mwalimu ama watachujwa kwa kuzingatia hisia za kishabiki kama zako,,maana waliko kwenye bodi nako ni mashabiki kama wewe
Sasa kama unalijua hilo, hutaki iendelee kufanya vizuri kwa sisi kutoa maoni yetu hapa ili team izidi kuboreshwa kwa kununua wachezaji wakali zaidi ya waliopo?kwani hadi Dk Hii haujui kwa nini mechi za mikoni watu wanajazana vile???
ok nakusaidia..wanajazana kwanza kwa kuwa timu inafanya vizuri..pili wanajazana kwa kuwa wanataka kuwaona wachezaji ambao wanaifanya timu ifanye vizuri..laiti kama timu ingekuwa kama Yanga ..nakuhakikishia hakuna ambaye angekuwa na mzuka na kuina timu ikicheza...
Hahahah milioni 500? you know nothing bro....okey wacha nikubaliane na takwimu zako..je unadhani Milioni 500 zinatosha katika kuiandaa timu kwa kiwango cha kucheza mechi moja tu na Al Ahly?Tamasha la simba day, milioni 500 viingilio
Match na nkana Milioni 500 viingilio
Match na jay soura Milioni 500 viingilio
Match na aly ahaly Milioni 400 viingilio
Match na As vita Million 400 viingilio
Match na tp mazembe million 350 viingilio
Acha kudharau fans wa simba wewe chura unayejiita simba acha tuijadili team yetu
Acha ujinga mkuu uwezo huo bado hana kwa kuwa anamiliki hisa asilimia 49 tu kwenye clubleo hii akiamua kuibadili jina timu..kwa kuwa anapesa ataitisha mkutano wa kikatiba ,pesa itatumika atabadili jina..rangi na jezi kabisa ...uzuri tushukuru hawezi kwa kuwa ni mwenzetu ila akiamua akasema nataka Simba iitwe Juvetus of Africa anaweza tuuu
Kuacha ni lazima tutabaki na wanne kwa waliopo sasaSimba hadi sasa imefikia ukomo wa kusajiri wachezaji wa njee..so timu ikitaka kusajiri pro ni lazima waachwe wengine kama kina kwasi..
Pesa ipi mkuu kama hisa za wanachama zikianza kuuzwa ina maana wataizidi ile ya MO aliyowekeza itaenda hadi bilioni 25 na zaidipesa inaongea,,japo kisheria bin haki haiwezekani
nadhani mchango wetu mkubwa na wa maana sana,,sio kukosoa wa kupendekeza maana hata tukiambiwa kwa umoja wetu tuchange pesa ya kumnunua tu TUYISENGE na kumlipa mshahara hatuweziii..nasema hatuwezii..ukitaka kuamini tazama YANGA ..wanakusanyana tsh ngapi ngapi kwa siku?? haifiki hata milioni moja kwa siku..ni hiyo ni Tanzania nzima wanachanga..Sasa kama unalijua hilo, hutaki iendelee kufanya vizuri kwa sisi kutoa maoni yetu hapa ili team izidi kuboreshwa kwa kununua wachezaji wakali zaidi ya waliopo?
Hata ulaya viwanja havijai mkuu, ukiacha England pekee kwingine kote viwanja havijai. Chunguza kwa makinipoint less ..shame on you..ingekuwa hivyo Old traford ,anfiled ,zisingekuwa vinajaa...jamani si mnaona aina ya wanaojiita mashabiki tulio nao...yani anawaza na kuwazua ujinga tuuu..hapo ndipo akili yako ilipoishia,,yani kweli kisa eti timu iko dar..mashabiki wanaiona kila siku hivyo hamu inapungua,,kweli we juha aiseee....ndio maana nasema kwa ushabiki wa namna hii uliokuwa nao wewe iwe Yanga au Simba mashabiki tuitafakari sana...kwa mantiki hiyo unataka timu mechi zote 38 iwe inacheza miko tofauti tofauti ili watu wawe na hamu ya kuiona ..kudadadeki
Mzee lolote linawezekana kwa mwenye pesa..hata ikibidi kuvunja sheria inawezekana..sijasema kuwa MO anaweza kufanya tuu..ila anaweza kufanya akitumia rupia kwenye uzia...Pesa ipi mkuu kama hisa za wanachama zikianza kuuzwa ina maana wataizidi ile ya MO aliyowekeza itaenda hadi bilioni 25 na zaidi
sijakataa na sinamaana viwanja vijae pomoni...ila naamanisha uwepo wa mshabiki wa kutosha wenye uchungu na mapenzi kwa timu yao..kwa jinsi watanzania tunavyofahamika kwa kupenda soka..ni ajabu uwanja wa mashabiki 20000 unashindwa kujaa..ama basi hata nusu yake..Hata ulaya viwanja havijai mkuu, ukiacha England pekee kwingine kote viwanja havijai. Chunguza kwa makini
Sawa naelewa utaratibu bado,Ngoja nikujibu kulingana na unavyohoji...Hisa bado hazijaanza kuuzwa mzee ,,kinachofanyika now kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Simba ni uhakiki wa wanachama ..kujua kwanza sisi tuliopo ni wangapi tunalipa na tunastahili kuendelea kuwa wanachama..then litakuja zoezi la pili ..
ambapo wasiokuwa na kadi ndio wataanzia rasmi katika mchakato huo wa hisa..yani unajiunga uanchama na hisa unanunua hapo hapo..kumbuka Klabu inahitaji wanachama 50,000 tu na sio zaidi
Bei ya jezi ya simba origino kwa sasa ni elfu 25 ambayo Mimi nimeinunuaShekhe naona unaamka now..well wacha nikujibu kulingana na unavyorusha shutuma..
Mashabiki wananunua jezii..je ni wangapi kati yao wananunua jezi orijino za klabu? ni wangapi wanatoa taarifa polisi ama kwa uongozi kuwa kuna mahali panauzwa jezi feki?..mwaka jana Simba Iliuza jezi za Milioni 280 na kitu...hizi ni kutokana na wale wachache walionunua Jezi rasmi..
Leo hii mtu ukimwambia nunua jezi orijino kwaliti ya kawaida kwa tsh 2500o hataki anataka feki ya tsh 10000 au 15000..bado tunasafari ndefu sana..kweli wananunua jezi lakini nyingi feki...
Tusiwalaumu sana kwa kuwa, huwezi kujua, we game inachezwa siku za kazi unategemea uwanja ujae?Well..tazama game zinazoendelea uhuru now utajua namaanisha nini..achilia mbali meci zote za ligi zinazochezwa haa Dar..watu wakizidi sana 5000..watu hao ukizidisha kwa viingilio vyao unaishia kushika tama tuuu..Ukweli lazima tuseme mzee na sio kujidhalilisha...wengi hapa sisi ni mashabiki maandazi,,kutia ndani wewe pia
Sawa lakini wasingeshinda match ile kama Uganda angekuwa anatafuta pointMantiki yangu iko wazi,,ndugu hamasa ya mashabiki inamchango katika timu kufanya vema uwanjani...hata kama tusingeifunga Uganda..nakuhakikishia ile mechi ingeeisha hata kwa sare na sio Tanzania Kufungwa...
Mashabiki wananguvu uwanjani..endapo watatimiza wajibu wao na sio mashbiki wa kibongo ambao wanakuja uwanjani kutalii tu
Nilichotaka kukuonyesha ni kwamba fans tuna michango yetu katika teamHahahah milioni 500? you know nothing bro....okey wacha nikubaliane na takwimu zako..je unadhani Milioni 500 zinatosha katika kuiandaa timu kwa kiwango cha kucheza mechi moja tu na Al Ahly?
maana kuna gharama za Camp?usafiri wa ndani?posho na motisha?gharama za match nakadhalika?..na nikuibie siri tu Match ambayo Simba Iliingiza mapato juu ya milioni 350 ni dhidi ya Nkana tu...narudia dhidi ya Nkana Tuu..
the rest hazikuingiza juu ya milioni 250..ili mechii ingize pesa nyingi lazima viingilio viwe vya juu siyo..mechi zilizofuata zote kiingilio kilikuwa cha chini 4000 hadi 2000 ulingana na match...na wanaolipa viingilio hivyo wako wengi lakini kiwango kidogo
ukweli mchungu mzee,,,sisi ni mashabiki maandazi..hatuna uwezo wa kuzisaidia timu zetu so tusiwe wapangaji wa nini kifanyike au kuzungumza sana hatuna msaada kwa klabu zetu