Wana Simba SC tutaje wachezaji tunaoona hawatufai msimu ujao

Wana Simba SC tutaje wachezaji tunaoona hawatufai msimu ujao

Na kwa Africa tumeongoza ata mashabiki wa Mazembe na Mamelodi wakasome.
Tamasha la simba day, milioni 500 viingilio

Match na nkana Milioni 500 viingilio

Match na jay soura Milioni 500 viingilio

Match na aly ahaly Milioni 400 viingilio

Match na As vita Million 400 viingilio

Match na tp mazembe million 350 viingilio

Acha kudharau fans wa simba wewe chura unayejiita simba acha tuijadili team yetu
 
Kuna hisa asilimia 51 za wanachama umeshanunua au unajiita mwanachama tu, kumbuka sasa hivi sio elfu 2 tena kwa mwaka

Ngoja nikujibu kulingana na unavyohoji...Hisa bado hazijaanza kuuzwa mzee ,,kinachofanyika now kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Simba ni uhakiki wa wanachama ..kujua kwanza sisi tuliopo ni wangapi tunalipa na tunastahili kuendelea kuwa wanachama..then litakuja zoezi la pili ..

ambapo wasiokuwa na kadi ndio wataanzia rasmi katika mchakato huo wa hisa..yani unajiunga uanchama na hisa unanunua hapo hapo..kumbuka Klabu inahitaji wanachama 50,000 tu na sio zaidi
 
Hivi wewe unajua kama kununua jezi tu ni moja ya chanzo cha mapato kutoka kwa fans!! Achilia mbali fans kujaa uwanjani, hata ulaya pesa huwa inarudi kwa kuuza jezi za team achilia mbali vitega uchumi vingine
Shekhe naona unaamka now..well wacha nikujibu kulingana na unavyorusha shutuma..

Mashabiki wananunua jezii..je ni wangapi kati yao wananunua jezi orijino za klabu? ni wangapi wanatoa taarifa polisi ama kwa uongozi kuwa kuna mahali panauzwa jezi feki?..mwaka jana Simba Iliuza jezi za Milioni 280 na kitu...hizi ni kutokana na wale wachache walionunua Jezi rasmi..

Leo hii mtu ukimwambia nunua jezi orijino kwaliti ya kawaida kwa tsh 2500o hataki anataka feki ya tsh 10000 au 15000..bado tunasafari ndefu sana..kweli wananunua jezi lakini nyingi feki...
 
Wangapi hawana kadi na uwanjani wanaenda? Acha kujidhalilisha
Well..tazama game zinazoendelea uhuru now utajua namaanisha nini..achilia mbali meci zote za ligi zinazochezwa haa Dar..watu wakizidi sana 5000..watu hao ukizidisha kwa viingilio vyao unaishia kushika tama tuuu..Ukweli lazima tuseme mzee na sio kujidhalilisha...wengi hapa sisi ni mashabiki maandazi,,kutia ndani wewe pia
 
We una matatizo wewe, hivi unafikiri kama Uganda angekuwa anahitaji point sisi tungeshinda ile match pamoja na nyomi la watu!?
Mantiki yangu iko wazi,,ndugu hamasa ya mashabiki inamchango katika timu kufanya vema uwanjani...hata kama tusingeifunga Uganda..nakuhakikishia ile mechi ingeeisha hata kwa sare na sio Tanzania Kufungwa...

Mashabiki wananguvu uwanjani..endapo watatimiza wajibu wao na sio mashbiki wa kibongo ambao wanakuja uwanjani kutalii tu
 
Ndugu acha ushabiki maandazi..watachunjwa kwa kuzingatia report ya mwalimu ama watachujwa kwa kuzingatia hisia za kishabiki kama zako,,maana waliko kwenye bodi nako ni mashabiki kama wewe
Sisi tunatoa mawazo, kwa jinsi tunavyowaona wakicheza uwanjani, mambo ya mwalimu hatumwingilii yeye atatoa na ya kwake maana yeye anajua zaidi kuliko sisi

Haya ni maoni yetu na wala sio sheria
 
kwani hadi Dk Hii haujui kwa nini mechi za mikoni watu wanajazana vile???

ok nakusaidia..wanajazana kwanza kwa kuwa timu inafanya vizuri..pili wanajazana kwa kuwa wanataka kuwaona wachezaji ambao wanaifanya timu ifanye vizuri..laiti kama timu ingekuwa kama Yanga ..nakuhakikishia hakuna ambaye angekuwa na mzuka na kuina timu ikicheza...
Sasa kama unalijua hilo, hutaki iendelee kufanya vizuri kwa sisi kutoa maoni yetu hapa ili team izidi kuboreshwa kwa kununua wachezaji wakali zaidi ya waliopo?
 
Tamasha la simba day, milioni 500 viingilio

Match na nkana Milioni 500 viingilio

Match na jay soura Milioni 500 viingilio

Match na aly ahaly Milioni 400 viingilio

Match na As vita Million 400 viingilio

Match na tp mazembe million 350 viingilio

Acha kudharau fans wa simba wewe chura unayejiita simba acha tuijadili team yetu
Hahahah milioni 500? you know nothing bro....okey wacha nikubaliane na takwimu zako..je unadhani Milioni 500 zinatosha katika kuiandaa timu kwa kiwango cha kucheza mechi moja tu na Al Ahly?

maana kuna gharama za Camp?usafiri wa ndani?posho na motisha?gharama za match nakadhalika?..na nikuibie siri tu Match ambayo Simba Iliingiza mapato juu ya milioni 350 ni dhidi ya Nkana tu...narudia dhidi ya Nkana Tuu..

the rest hazikuingiza juu ya milioni 250..ili mechii ingize pesa nyingi lazima viingilio viwe vya juu siyo..mechi zilizofuata zote kiingilio kilikuwa cha chini 4000 hadi 2000 ulingana na match...na wanaolipa viingilio hivyo wako wengi lakini kiwango kidogo

ukweli mchungu mzee,,,sisi ni mashabiki maandazi..hatuna uwezo wa kuzisaidia timu zetu so tusiwe wapangaji wa nini kifanyike au kuzungumza sana hatuna msaada kwa klabu zetu
 
leo hii akiamua kuibadili jina timu..kwa kuwa anapesa ataitisha mkutano wa kikatiba ,pesa itatumika atabadili jina..rangi na jezi kabisa ...uzuri tushukuru hawezi kwa kuwa ni mwenzetu ila akiamua akasema nataka Simba iitwe Juvetus of Africa anaweza tuuu
Acha ujinga mkuu uwezo huo bado hana kwa kuwa anamiliki hisa asilimia 49 tu kwenye club

Asilimia zilizobaki ambazo ni hisa asilimia 51 ziko kwa wanachama bado. Ambazo nazo zitakuja kuuzwa kwa wanachama wa simba sc
 
Simba hadi sasa imefikia ukomo wa kusajiri wachezaji wa njee..so timu ikitaka kusajiri pro ni lazima waachwe wengine kama kina kwasi..
Kuacha ni lazima tutabaki na wanne kwa waliopo sasa
 
Sasa kama unalijua hilo, hutaki iendelee kufanya vizuri kwa sisi kutoa maoni yetu hapa ili team izidi kuboreshwa kwa kununua wachezaji wakali zaidi ya waliopo?
nadhani mchango wetu mkubwa na wa maana sana,,sio kukosoa wa kupendekeza maana hata tukiambiwa kwa umoja wetu tuchange pesa ya kumnunua tu TUYISENGE na kumlipa mshahara hatuweziii..nasema hatuwezii..ukitaka kuamini tazama YANGA ..wanakusanyana tsh ngapi ngapi kwa siku?? haifiki hata milioni moja kwa siku..ni hiyo ni Tanzania nzima wanachanga..

Sisi tuwaachie wachache wenye pesa kina MO Dewji na Manji wasajili kulingan ana pesa zao.(na mara nyingi sajili zao zinakuwa ni free market players ndio maana Simba tulishindwa kumsajili MAKUSU pamoja na kuwa kocha alimtaka).

Sisi tujikite kwenye VIBE ..uwanjani..tujitokeze kwa wingi viwanjani tushangilie DK ZOTE 90 matokeo yatapatikana kwa juhudi zetu za kushangilia na kuwatia hamasa wachezaji ...ila tukiendelea kuangalia mpira kwenye magazeti na tv katu na kataa sisi kujiita mashabiki au wanachama..sisi ni mashabiki maandazi
 
point less ..shame on you..ingekuwa hivyo Old traford ,anfiled ,zisingekuwa vinajaa...jamani si mnaona aina ya wanaojiita mashabiki tulio nao...yani anawaza na kuwazua ujinga tuuu..hapo ndipo akili yako ilipoishia,,yani kweli kisa eti timu iko dar..mashabiki wanaiona kila siku hivyo hamu inapungua,,kweli we juha aiseee....ndio maana nasema kwa ushabiki wa namna hii uliokuwa nao wewe iwe Yanga au Simba mashabiki tuitafakari sana...kwa mantiki hiyo unataka timu mechi zote 38 iwe inacheza miko tofauti tofauti ili watu wawe na hamu ya kuiona ..kudadadeki
Hata ulaya viwanja havijai mkuu, ukiacha England pekee kwingine kote viwanja havijai. Chunguza kwa makini
 
Pesa ipi mkuu kama hisa za wanachama zikianza kuuzwa ina maana wataizidi ile ya MO aliyowekeza itaenda hadi bilioni 25 na zaidi
Mzee lolote linawezekana kwa mwenye pesa..hata ikibidi kuvunja sheria inawezekana..sijasema kuwa MO anaweza kufanya tuu..ila anaweza kufanya akitumia rupia kwenye uzia...

Ila kama tu hivi kadi 12000 kwa mwaka na watu hawaoni umuhimu vipi ikiwa kadi 400,000 pamoja hisa je itawezekana kwa aina ya mashabiki tulionao?
 
Hata ulaya viwanja havijai mkuu, ukiacha England pekee kwingine kote viwanja havijai. Chunguza kwa makini
sijakataa na sinamaana viwanja vijae pomoni...ila naamanisha uwepo wa mshabiki wa kutosha wenye uchungu na mapenzi kwa timu yao..kwa jinsi watanzania tunavyofahamika kwa kupenda soka..ni ajabu uwanja wa mashabiki 20000 unashindwa kujaa..ama basi hata nusu yake..

maana mechi zote za uhuru Simba tulizocheza..mashabiki wakizidi sana labda 2000 hadi 3000 na hao pia ni wengi sana..

uwanja wa watu 60000 kuingiza watu 15000 hatuwezi..tunangoja mechi na waarabu ama Mazembe ndio tuje tena kwa kukumushwa na Kina manara..yani kama sio Manara game zote za Simba zingekuwa zinagingiza watu wa kawaida mnno..kubali au katakaa ila ndio ukweli..

sisi mashabiki maandazi mzee
 
Ngoja nikujibu kulingana na unavyohoji...Hisa bado hazijaanza kuuzwa mzee ,,kinachofanyika now kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Simba ni uhakiki wa wanachama ..kujua kwanza sisi tuliopo ni wangapi tunalipa na tunastahili kuendelea kuwa wanachama..then litakuja zoezi la pili ..

ambapo wasiokuwa na kadi ndio wataanzia rasmi katika mchakato huo wa hisa..yani unajiunga uanchama na hisa unanunua hapo hapo..kumbuka Klabu inahitaji wanachama 50,000 tu na sio zaidi
Sawa naelewa utaratibu bado,

Cha msingi ujiandae kununua hisa kwa laki tano sio unajisifia elfu 2 tu
 
Shekhe naona unaamka now..well wacha nikujibu kulingana na unavyorusha shutuma..

Mashabiki wananunua jezii..je ni wangapi kati yao wananunua jezi orijino za klabu? ni wangapi wanatoa taarifa polisi ama kwa uongozi kuwa kuna mahali panauzwa jezi feki?..mwaka jana Simba Iliuza jezi za Milioni 280 na kitu...hizi ni kutokana na wale wachache walionunua Jezi rasmi..

Leo hii mtu ukimwambia nunua jezi orijino kwaliti ya kawaida kwa tsh 2500o hataki anataka feki ya tsh 10000 au 15000..bado tunasafari ndefu sana..kweli wananunua jezi lakini nyingi feki...
Bei ya jezi ya simba origino kwa sasa ni elfu 25 ambayo Mimi nimeinunua

Juzi hapa walizishusha wakati team ikicheza clabu bingwa afrika tu na haikuwa chini ya elfu 20,000

Jezi fake kwa sasa simba wanajitahidi kudili nazo kwa kuwa jezi original INA alama maalumu kuweza kuitambua tofauti na fake
 
Well..tazama game zinazoendelea uhuru now utajua namaanisha nini..achilia mbali meci zote za ligi zinazochezwa haa Dar..watu wakizidi sana 5000..watu hao ukizidisha kwa viingilio vyao unaishia kushika tama tuuu..Ukweli lazima tuseme mzee na sio kujidhalilisha...wengi hapa sisi ni mashabiki maandazi,,kutia ndani wewe pia
Tusiwalaumu sana kwa kuwa, huwezi kujua, we game inachezwa siku za kazi unategemea uwanja ujae?
 
Mantiki yangu iko wazi,,ndugu hamasa ya mashabiki inamchango katika timu kufanya vema uwanjani...hata kama tusingeifunga Uganda..nakuhakikishia ile mechi ingeeisha hata kwa sare na sio Tanzania Kufungwa...

Mashabiki wananguvu uwanjani..endapo watatimiza wajibu wao na sio mashbiki wa kibongo ambao wanakuja uwanjani kutalii tu
Sawa lakini wasingeshinda match ile kama Uganda angekuwa anatafuta point
 
Hahahah milioni 500? you know nothing bro....okey wacha nikubaliane na takwimu zako..je unadhani Milioni 500 zinatosha katika kuiandaa timu kwa kiwango cha kucheza mechi moja tu na Al Ahly?

maana kuna gharama za Camp?usafiri wa ndani?posho na motisha?gharama za match nakadhalika?..na nikuibie siri tu Match ambayo Simba Iliingiza mapato juu ya milioni 350 ni dhidi ya Nkana tu...narudia dhidi ya Nkana Tuu..

the rest hazikuingiza juu ya milioni 250..ili mechii ingize pesa nyingi lazima viingilio viwe vya juu siyo..mechi zilizofuata zote kiingilio kilikuwa cha chini 4000 hadi 2000 ulingana na match...na wanaolipa viingilio hivyo wako wengi lakini kiwango kidogo

ukweli mchungu mzee,,,sisi ni mashabiki maandazi..hatuna uwezo wa kuzisaidia timu zetu so tusiwe wapangaji wa nini kifanyike au kuzungumza sana hatuna msaada kwa klabu zetu
Nilichotaka kukuonyesha ni kwamba fans tuna michango yetu katika team
 
Back
Top Bottom