eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
- Thread starter
-
- #201
Kocha hajawahi kusema anamtaka makusu mzee kwa sababu bado hajatoa ripoti yake ya msimu huu na ya msimu ujaonadhani mchango wetu mkubwa na wa maana sana,,sio kukosoa wa kupendekeza maana hata tukiambiwa kwa umoja wetu tuchange pesa ya kumnunua tu TUYISENGE na kumlipa mshahara hatuweziii..nasema hatuwezii..ukitaka kuamini tazama YANGA ..wanakusanyana tsh ngapi ngapi kwa siku?? haifiki hata milioni moja kwa siku..ni hiyo ni Tanzania nzima wanachanga..
Sisi tuwaachie wachache wenye pesa kina MO Dewji na Manji wasajili kulingan ana pesa zao.(na mara nyingi sajili zao zinakuwa ni free market players ndio maana Simba tulishindwa kumsajili MAKUSU pamoja na kuwa kocha alimtaka).
Sisi tujikite kwenye VIBE ..uwanjani..tujitokeze kwa wingi viwanjani tushangilie DK ZOTE 90 matokeo yatapatikana kwa juhudi zetu za kushangilia na kuwatia hamasa wachezaji ...ila tukiendelea kuangalia mpira kwenye magazeti na tv katu na kataa sisi kujiita mashabiki au wanachama..sisi ni mashabiki maandazi
Lakini pia simba kusajili mchezaji wa bilioni bado sana
Angalao kwa sasa tunaweza kusajili wa Milioni 500 au 600