Wana Simba SC tutaje wachezaji tunaoona hawatufai msimu ujao

nadhani mchango wetu mkubwa na wa maana sana,,sio kukosoa wa kupendekeza maana hata tukiambiwa kwa umoja wetu tuchange pesa ya kumnunua tu TUYISENGE na kumlipa mshahara hatuweziii..nasema hatuwezii..ukitaka kuamini tazama YANGA ..wanakusanyana tsh ngapi ngapi kwa siku?? haifiki hata milioni moja kwa siku..ni hiyo ni Tanzania nzima wanachanga..

Sisi tuwaachie wachache wenye pesa kina MO Dewji na Manji wasajili kulingan ana pesa zao.(na mara nyingi sajili zao zinakuwa ni free market players ndio maana Simba tulishindwa kumsajili MAKUSU pamoja na kuwa kocha alimtaka).

Sisi tujikite kwenye VIBE ..uwanjani..tujitokeze kwa wingi viwanjani tushangilie DK ZOTE 90 matokeo yatapatikana kwa juhudi zetu za kushangilia na kuwatia hamasa wachezaji ...ila tukiendelea kuangalia mpira kwenye magazeti na tv katu na kataa sisi kujiita mashabiki au wanachama..sisi ni mashabiki maandazi
Kocha hajawahi kusema anamtaka makusu mzee kwa sababu bado hajatoa ripoti yake ya msimu huu na ya msimu ujao

Lakini pia simba kusajili mchezaji wa bilioni bado sana

Angalao kwa sasa tunaweza kusajili wa Milioni 500 au 600
 
Mzee lolote linawezekana kwa mwenye pesa..hata ikibidi kuvunja sheria inawezekana..sijasema kuwa MO anaweza kufanya tuu..ila anaweza kufanya akitumia rupia kwenye uzia...

Ila kama tu hivi kadi 12000 kwa mwaka na watu hawaoni umuhimu vipi ikiwa kadi 400,000 pamoja hisa je itawezekana kwa aina ya mashabiki tulionao?
Hisa ni biashara mkuu sio kama tulivyokuwa tunatoa 2000 halafu basi

Nikito laki tano Mimi na kununua hisa moja maana yake inaenda kuzalisha kwa kuwa club imeingia mfumo wa biashara mwaka ukifika inaangaliwa faida iliyoingia na kila MTU anagawiwa kulingana na alivyonunua hisa. Kama hakuna faida basi wote tunakosa na kusubiri mwaka mwingine. Hiyo ndio maana ya hisa kama hujui

Hata ile ya MO imewekwa maalum kibiashara na kila mwaka itazaliza billion 3 na zaidi
 
Bei ya jezi ya simba origino kwa sasa ni elfu 25 ambayo Mimi nimeinunua

Juzi hapa walizishusha wakati team ikicheza clabu bingwa afrika tu na haikuwa chini ya elfu 20,000

Jezi fake kwa sasa simba wanajitahidi kudili nazo kwa kuwa jezi original INA alama maalumu kuweza kuitambua tofauti na fake
Nakufungua macho ..ndugu..hizo jezi zenye kialama cha Simba ni orijino lakini low quality ..jezi OG zile wanazovaa wachezaji ni tsh 70000 nenda kwa kassim pale ukaulizie..so bado sana kwa upande huo.ni vile tu klabu inajitahid kuendana na aina ya mashabiki walio nao
 
Tusiwalaumu sana kwa kuwa, huwezi kujua, we game inachezwa siku za kazi unategemea uwanja ujae?
kweli..ila inamaana inashindika kweli kuja watu 5000..kama kweli kuna hao wanaojiita mashabiki lialia?tena kiingilio 2000-3000?
 
Sawa lakini wasingeshinda match ile kama Uganda angekuwa anatafuta point
Ndugu..wasingeshinda ila sare wangepata ..maana wachezaji unaona kabisa walijihisi wanadeni la kulipa kwa mashabiki na nchi kwa ujumla...hali ile ya wachezaji wangekuwa nayo wachezaji wa Simba kwenye game na Mazembe ..Mazembe angetoka mbona
 
Nakufungua macho ..ndugu..hizo jezi zenye kialama cha Simba ni orijino lakini low quality ..jezi OG zile wanazovaa wachezaji ni tsh 70000 nenda kwa kassim pale ukaulizie..so bado sana kwa upande huo.ni vile tu klabu inajitahid kuendana na aina ya mashabiki walio nao
Ndio ni lazima kwa sababu watu wetu bado ni maskini huwezi kumwambia akanunue jezi kwa elfu 70 ni lazima club itengeneze za bei rahisi kama elfu 15,000, 20,000, na elfu 25,000
 
Kocha hajawahi kusema anamtaka makusu mzee kwa sababu bado hajatoa ripoti yake ya msimu huu na ya msimu ujao

Lakini pia simba kusajili mchezaji wa bilioni bado sana

Angalao kwa sasa tunaweza kusajili wa Milioni 500 au 600
Simba hatujafikia uwezo wa kusajili mchezaji kwa Milioni 500 hadi 600..bado kabisa maana hiyo pesa ndio inalipa mishahara kwa wachezaji mastaa watano tulio nao pale klabuni..hatuna uwezo huoo ndugu..uwezo wetu kwa sasa ni kwenye mishahara ..kiukweli kwa hali iliyopo tunaweza tukamlipa mchezaji hadi milioni 20 kwa mwezi
 
Nilichotaka kukuonyesha ni kwamba fans tuna michango yetu katika team
ipo ile ya kwenye magroup ya whatsap ya kuchangisha pesa za motisha..ila kiuhalisia bado kabisa..bado..maana hata hiyo kujaa uwanjani na kusababsha mapato ya milioni 300 ni mpaka Manara hatushtue kuwa kuna match,...kama sio jitihada zake watu wangekuwa wengi wa kiasi sio kufurika vile
 
Simba hatujafikia uwezo wa kusajili mchezaji kwa Milioni 500 hadi 600..bado kabisa maana hiyo pesa ndio inalipa mishahara kwa wachezaji mastaa watano tulio nao pale klabuni..hatuna uwezo huoo ndugu..uwezo wetu kwa sasa ni kwenye mishahara ..kiukweli kwa hali iliyopo tunaweza tukamlipa mchezaji hadi milioni 20 kwa mwezi
Ndugu hizo ni chini ya kapet

Zaidi ya billions 5 zimetengwa kwa ajili ya usajili tu msimu ujao

Zitarudije ni lazima team ifike finally za ligi ya mabingwa msimu ujao

Na ili ifike ni lazima tununue wachezaji wa Milioni 500
 
Sio chini ya Kapeti mzee..bajeti ya timu kwa msimu huu unaiosha ni bilioni 6 na inawezekana zikawa hazijatimia ,,kwa maana katika upatikanaji wake na matumizi..hapo ondoa pesa za CAF ambazo zinakuja kwa awamu...

Kweli ili twende mbele kimafanikio ni lazima tutumie ..lakini inafaa vipi ukawanunua kina MAKUSU..TUYISENGE ..na wengine then wakaja hapa kucheza kwenye uwanja usiokuwa na hamasa ya mashabiki?

nadhani...inawezekana klabu ikanunua ..lakini kufikia mafaniko yanayokusudiwa..kama mashabiki tutaendelea kuja uwanjani kutalii kama tulivyofanya kwenye mechi za msimu huu..tutaishia hatua za makundi tuu,,trust me..

hata juzi,,Liverpool walimtoa BARCELONA lakini kilichowapa moyo na morali wachezaji siyo tu ahadi za pesa walizoahidiwa ila pia makelele ya anfiled yalikuwa na nguvu yake..Barcelona wakajiona wako wapweke..akili zao zikawa hazijatulia matokeo wakafa 4-0

Mfano rahsi..sisi pale Congo tuliongoza goli 1-0..baada ya hapo wakaongo wakazidisha kelele..wachezaji wetu wakijikuta wanazomewa uwanja mzima ..manula kule nyuma ya goli anazomewa ..akipanga beki zake sauti yake haifiki kwa walengwa kwa kuwa uwanja mzima ua kelele.matokeo tukalala 4-1
 
Mi sizungumzii bajeti ya club nazungumzi pesa za kusajili msimu ujao

Bajeti ya club msimu huu najua tuliambiwa kwenye mkutano ni billion 6
 
Tunaona as vita wanacheza na uwanja haujai itakuwa bongo?

Kwanza bongo tumewazidi
 
Asa hiyo pesa itatoka vipi bila kuwa kwenye bajeti mzee..simba ya sasa sio ile ya pesa za usajili zinakusanywa ovyo ovyo toka kwa watu..mwisho wanakuja kulipwa na riba juu..now pesa inatafutwa ..aidha kwa kukopwa toka kwenye taasisi za kibenki ama katika mapato ya timu..

ukisema hiyo pesa inatoka katika bilioni 20 za mo..jiesabie kwa aina ya lgi tuliyonayo na mfumo wa soka la Tanzania..hiyo bilioni 20 haitachukua misimu miwili mbele itakuwa imeshaisha..
 
sawa uwanja haukujaa lakini VIBE lake uliliona sio..VIBE lilianzia nnje ya uwanja hadi ndani ya uwanja..sio watanzania hatuwezi hiloo..zaidi ya vigoma ambavyo hata havisikiki uwanja mzima...
 
Tatizo lako nazungumza na MTU asiyejua biashara

Subiri bajeti ya club ya msimu ujao

Hii ya msimu huu unaoisha achana nayo

Ya MO haiwezi kutumika kwa sababu bado haijazalisha kitu, mwaka haujaisha bado, ndio izalishe faida ya billion 3.5
 
Ndio hulka yetu hiyo sisi tunasubiri chenga, kanzu, magoli basi, ndio tushangilie
 
Tatizo lako nazungumza na MTU asiyejua biashara

Subiri bajeti ya club ya msimu ujao

Hii ya msimu huu unaoisha achana nayo

Ya MO haiwezi kutumika kwa sababu bado haijazalisha kitu, mwaka haujaisha bado, ndio izalishe faida ya billion 3.5
Hata kama ya MO ndugu,,kwa namna ya mpira wa TZ ulivyo hiyo B.20 inaweza kuisha bila faida yeyote ile..
 
Back
Top Bottom