Mchezaji. StatusKwa taarifa zilizopo ni kwamba club ya Simba SC inajiandaa kutumia kiasi cha zaidi ya billions TANO kwa ajili ya kutikisa katika usajili wa Africa msimu ujao
Je ni wachezaji gani tuwape mkono wa kwa heri msimu ujao na kwanini
Mimi naanza
Zana
Salamba
Mo, Ibrahim
Juko
Bukaba
Dida
Mzamiru
Mbonde
Hawa hawastahili kuchezea Simba ya maendeleo msimu ujao
Ongezea na wewe unaoona hawafai
Lakini pia kuna wanaotakiwa kukaa bench maana viwango vyao kwa sasa haviridhishi kwa sasa na msimu ujao bench litawahusu
Zimbwe Jr
Wawa
Kotei
Mlipili
Erasto
Wakimataifa wanaotakiwa kubaki
Kagere
Okwi
Chama
Niyonzima
Wengine watuachie team yetu
Huu ni mtazamo wangu
View attachment 1094171View attachment 1094173
Mbonde na salamba nafikiri Ni uchawi umetumika kutoka kwa wachezaji wenzaoSimba ni sehemu salama ya kuua vipaji vya wachezaji! Daah yaan jembe kama Mbonde ndio lishapotea! Kwasi, Mo, Salamba, Mlipili ..........Then mbabaishaji kama Manula eti anacheza!
Simba tunajaza uwanja mzee..unaandika kwa hasira na kuita watu majitu..Mashabiki wa soka Tanzania ndio upeo wetu aisee..hapo watu wanatoa mapemdekezo as if wanachangiaga pesa za usajili..unakuta jitu lipo hapa na hata kuchangia timu kwa kuingia uwanjani haliwezi..Nazi kutoa mapendekezo..unakuta hata wengine hawanunui jezi orijino hawanunui..
Alafu hizi ni story za abunuasi aisee..kocha ndie mwenye wachezaji ...atatoa mapendekzo yatafanyiwa kazi...
Mnajaza uwanja...??? Mbona now mmeisusa timu kwenye mechi zinazoendelea pale Uhuru stadium ?? Mnajaza uwanha hadi msikie timu kubwa inakuja kucheza??Simba tunajaza uwanja mzee..unaandika kwa hasira na kuita watu majitu..
Unajua watu mnaongea sijui kwa kujua mnachoongea ama ni bendera fuata upepo..nataka nikuulize kitu kama kweli wewe ni mfuatiliaji wa timu...umeshawahi kuona lini toka omog hadi aussems mchezaji Kotei akawa benchi??Wakuachwa: Zana,. Kwasi, juuko, bukaba, mbonde, mzamiru, mo Ibrahim, ndemla, salamba, mkude, kotei, Simba kwa Sasa imeyumba Sana kwenye eneo la kiungo,. Kotei na akina mkude wamefeli kabisa.
Hilo linakushangaza nini?Changia baba
Changia baba
Mzee Mimi sio kama nyie baadhi yenu hapa hata hamuichangii timu yenu..katika orodha ya wanchama 1000 wa kwanza wa SSC Mimi nipo..kadi yangu ya uanachama nalipia kila mwaka ..na sidaiwi mpka miaka mitano mbele...shame on you shabiki maandaziKachangie timu yako huko... Unawashwa nn?
Unajua watu mnaongea sijui kwa kujua mnachoongea ama ni bendera fuata upepo..nataka nikuulize kitu kama kweli wewe ni mfuatiliaji wa timu...umeshawahi kuona lini toka omog hadi aussems mchezaji Kotei akawa benchi??
Nyie ndio watu msiojua mpira kulaleki ..mnataja wachezaji wa kanzu na tobo uwanjani..mnataka wachezaji wa kurembaremba...
Chama ni. Mzuri ila kotei ni mzuri zaidi...nikiambia nichague yupi wa kumuacha namuacha chama..japo naye ni mzuri kwenye kushambulia..Ila timu ikiwa inashambuliwa ni mzigo...
Tafakari.
[Kotei ni mzuri lakini uwezo wake wa kukaa na mpira na kupandisha timu ni si wa kiwango Cha mchezaji wa nje..
angekuwa ni mchezaji wa ndani sawa ...lakini ni wa kimataifa...kukaa bechi sio tatizo ..inategemea na aina ya wachezaji waliopo kwenye timu. Hata wawa huwa akai bechi lakini Kuna watu wanaona hafai...mwisho wa siku huu ni mtazamo tu.
We umetumwa eBocco hatufai
Huyu atakuwa yangaMchezaji bora msimu jana.. msimu huu ana goli 14... Anafaa bado
Sasa kama tunajenga nyumba 1 kwanini tugombanie fito mkuu?...Mzee Mimi sio kama nyie baadhi yenu hapa hata hamuichangii timu yenu..katika orodha ya wanchama 1000 wa kwanza wa SSC Mimi nipo..kadi yangu ya uanachama nalipia kila mwaka ..na sidaiwi mpka miaka mitano mbele...shame on you shabiki maandazi
Unasema..lakini sio vema sana kuanzisha mada hizi wakati hata pesa tu ya posho watu hawatoi..wanaishia kulalamikia viongozi timu inapokuwa mzigo...Sasa kama tunajenga nyumba 1 kwanini tugombanie fito mkuu?...
Mkude, Ndemla, Kotei na Mzamiru huwezi kuwaacha mkuu... utafikiri tunasajili wageni 15+ kumabe mwisho ni 10 TuWakuachwa: Zana,. Kwasi, juuko, bukaba, mbonde, mzamiru, mo Ibrahim, ndemla, salamba, mkude, kotei, Simba kwa Sasa imeyumba Sana kwenye eneo la kiungo,. Kotei na akina mkude wamefeli kabisa.
Misumari lazima iwepo mkuu.. soka ni ajiraMbonde na salamba nafikiri Ni uchawi umetumika kutoka kwa wachezaji wenzao
We una akili kweli,?? Yaani Mlipili na Erasto wakae bench? Huoni kweli balaa lao pale nyuma?? Hapana..Kwa taarifa zilizopo ni kwamba club ya Simba SC inajiandaa kutumia kiasi cha zaidi ya billions TANO kwa ajili ya kutikisa katika usajili wa Africa msimu ujao
Je ni wachezaji gani tuwape mkono wa kwa heri msimu ujao na kwanini
Mimi naanza
Zana
Salamba
Mo, Ibrahim
Juko
Bukaba
Dida
Mzamiru
Mbonde
Hawa hawastahili kuchezea Simba ya maendeleo msimu ujao
Ongezea na wewe unaoona hawafai
Lakini pia kuna wanaotakiwa kukaa bench maana viwango vyao kwa sasa haviridhishi kwa sasa na msimu ujao bench litawahusu
Zimbwe Jr
Wawa
Kotei
Mlipili
Erasto
Wakimataifa wanaotakiwa kubaki
Kagere
Okwi
Chama
Niyonzima
Wengine watuachie team yetu
Huu ni mtazamo wangu
View attachment 1094171View attachment 1094173
Chama na Kotei wote kwa nafasi zao wanastahili kubaki mkuu.Unajua watu mnaongea sijui kwa kujua mnachoongea ama ni bendera fuata upepo..nataka nikuulize kitu kama kweli wewe ni mfuatiliaji wa timu...umeshawahi kuona lini toka omog hadi aussems mchezaji Kotei akawa benchi??
Nyie ndio watu msiojua mpira kulaleki ..mnataja wachezaji wa kanzu na tobo uwanjani..mnataka wachezaji wa kurembaremba...
Chama ni. Mzuri ila kotei ni mzuri zaidi...nikiambia nichague yupi wa kumuacha namuacha chama..japo naye ni mzuri kwenye kushambulia..Ila timu ikiwa inashambuliwa ni mzigo...
Tafakari.
SimbA sio ombaomba pungu1 weBora ww umewaelimisha maana wengi naona kale kajina ka Rage kamewapendeza sana
Bocco hatufai