Wana Simba SC tutaje wachezaji tunaoona hawatufai msimu ujao

Wakuachwa: Zana,. Kwasi, juuko, bukaba, mbonde, mzamiru, mo Ibrahim, ndemla, salamba, mkude, kotei, Simba kwa Sasa imeyumba Sana kwenye eneo la kiungo,. Kotei na akina mkude wamefeli kabisa.
 
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba club ya Simba SC inajiandaa kutumia kiasi cha zaidi ya billions TANO kwa ajili ya kutikisa katika usajili wa Africa msimu ujao

Je ni wachezaji gani tuwape mkono wa kwa heri msimu ujao na kwanini

Mimi naanza

Zana
Salamba
Mo, Ibrahim
Juko
Bukaba
Dida
Mzamiru
Mbonde

Hawa hawastahili kuchezea Simba ya maendeleo msimu ujao

Ongezea na wewe unaoona hawafai

Lakini pia kuna wanaotakiwa kukaa bench maana viwango vyao kwa sasa haviridhishi kwa sasa na msimu ujao bench litawahusu

Zimbwe Jr
Wawa
Kotei
Mlipili
Erasto

Wakimataifa wanaotakiwa kubaki

Kagere
Okwi
Chama
Niyonzima

Wengine watuachie team yetu

Huu ni mtazamo wangu

View attachment 1094171View attachment 1094173
Mchezaji. Status
Salamba. ............ mkopo
Mo ibra. ................ Aachwe
Ndemla. ................. Mkopo
Wawa ........................Aachwe
. Zana .............. Kwa heri
Kwasi ....... Kwa heri
Gyan. ................ Kwa heri
 
Mashabiki wa soka Tanzania ndio upeo wetu aisee..hapo watu wanatoa mapemdekezo as if wanachangiaga pesa za usajili..unakuta jitu lipo hapa na hata kuchangia timu kwa kuingia uwanjani haliwezi..Nazi kutoa mapendekezo..unakuta hata wengine hawanunui jezi orijino hawanunui..

Alafu hizi ni story za abunuasi aisee..kocha ndie mwenye wachezaji ...atatoa mapendekzo yatafanyiwa kazi...
Simba tunajaza uwanja mzee..unaandika kwa hasira na kuita watu majitu..
 
LENGO NI KUVURUGA TIMU NA KUUA ARI YA WACHEZAJI AU KUTOA USHAURI? wewe ni nani KOCHA WA TIMU GANI DUNIANIA NA AFRIKA? PUMBUAVU MWISHO JANGWANI
 
Simba tunajaza uwanja mzee..unaandika kwa hasira na kuita watu majitu..
Mnajaza uwanja...??? Mbona now mmeisusa timu kwenye mechi zinazoendelea pale Uhuru stadium ?? Mnajaza uwanha hadi msikie timu kubwa inakuja kucheza??

Mnajaza uwanja hadi mkumbushwe wajibu wenu kwenda uwanjani na manara??

Au mnajaza uwanja hadi msikie kiingilio kiwe buku mbili..shame on you Tanzania football fans ..

Mnataka makubwa lakini kwa kutegemea wachache ...huu in ujuha....
 
Wakuachwa: Zana,. Kwasi, juuko, bukaba, mbonde, mzamiru, mo Ibrahim, ndemla, salamba, mkude, kotei, Simba kwa Sasa imeyumba Sana kwenye eneo la kiungo,. Kotei na akina mkude wamefeli kabisa.
Unajua watu mnaongea sijui kwa kujua mnachoongea ama ni bendera fuata upepo..nataka nikuulize kitu kama kweli wewe ni mfuatiliaji wa timu...umeshawahi kuona lini toka omog hadi aussems mchezaji Kotei akawa benchi??

Nyie ndio watu msiojua mpira kulaleki ..mnataja wachezaji wa kanzu na tobo uwanjani..mnataka wachezaji wa kurembaremba...

Chama ni. Mzuri ila kotei ni mzuri zaidi...nikiambia nichague yupi wa kumuacha namuacha chama..japo naye ni mzuri kwenye kushambulia..Ila timu ikiwa inashambuliwa ni mzigo...

Tafakari.
 
[Kotei ni mzuri lakini uwezo wake wa kukaa na mpira na kupandisha timu ni si wa kiwango Cha mchezaji wa nje..
angekuwa ni mchezaji wa ndani sawa ...lakini ni wa kimataifa...kukaa bechi sio tatizo ..inategemea na aina ya wachezaji waliopo kwenye timu. Hata wawa huwa akai bechi lakini Kuna watu wanaona hafai...mwisho wa siku huu ni mtazamo tu.
 
Mzee Mimi sio kama nyie baadhi yenu hapa hata hamuichangii timu yenu..katika orodha ya wanchama 1000 wa kwanza wa SSC Mimi nipo..kadi yangu ya uanachama nalipia kila mwaka ..na sidaiwi mpka miaka mitano mbele...shame on you shabiki maandazi
Sasa kama tunajenga nyumba 1 kwanini tugombanie fito mkuu?...
 
Unasema..lakini sio vema sana kuanzisha mada hizi wakati hata pesa tu ya posho watu hawatoi..wanaishia kulalamikia viongozi timu inapokuwa mzigo...

Ukitaka kuamini hili..jitafakari wewe kwa mwaka huu mchango ulioutoa SSC unatosha kufanya lipi??
 
Wakuachwa: Zana,. Kwasi, juuko, bukaba, mbonde, mzamiru, mo Ibrahim, ndemla, salamba, mkude, kotei, Simba kwa Sasa imeyumba Sana kwenye eneo la kiungo,. Kotei na akina mkude wamefeli kabisa.
Mkude, Ndemla, Kotei na Mzamiru huwezi kuwaacha mkuu... utafikiri tunasajili wageni 15+ kumabe mwisho ni 10 Tu
 
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba club ya Simba SC inajiandaa kutumia kiasi cha zaidi ya billions TANO kwa ajili ya kutikisa katika usajili wa Africa msimu ujao

Je ni wachezaji gani tuwape mkono wa kwa heri msimu ujao na kwanini

Mimi naanza

Zana
Salamba
Mo, Ibrahim
Juko
Bukaba
Dida
Mzamiru
Mbonde

Hawa hawastahili kuchezea Simba ya maendeleo msimu ujao

Ongezea na wewe unaoona hawafai

Lakini pia kuna wanaotakiwa kukaa bench maana viwango vyao kwa sasa haviridhishi kwa sasa na msimu ujao bench litawahusu

Zimbwe Jr
Wawa
Kotei
Mlipili
Erasto

Wakimataifa wanaotakiwa kubaki

Kagere
Okwi
Chama
Niyonzima

Wengine watuachie team yetu

Huu ni mtazamo wangu

View attachment 1094171View attachment 1094173
We una akili kweli,?? Yaani Mlipili na Erasto wakae bench? Huoni kweli balaa lao pale nyuma?? Hapana..
 
Unajua watu mnaongea sijui kwa kujua mnachoongea ama ni bendera fuata upepo..nataka nikuulize kitu kama kweli wewe ni mfuatiliaji wa timu...umeshawahi kuona lini toka omog hadi aussems mchezaji Kotei akawa benchi??
Nyie ndio watu msiojua mpira kulaleki ..mnataja wachezaji wa kanzu na tobo uwanjani..mnataka wachezaji wa kurembaremba...
Chama ni. Mzuri ila kotei ni mzuri zaidi...nikiambia nichague yupi wa kumuacha namuacha chama..japo naye ni mzuri kwenye kushambulia..Ila timu ikiwa inashambuliwa ni mzigo...
Tafakari.
Chama na Kotei wote kwa nafasi zao wanastahili kubaki mkuu.
 
Back
Top Bottom