Wana Simba SC tutaje wachezaji tunaoona hawatufai msimu ujao

Wana Simba SC tutaje wachezaji tunaoona hawatufai msimu ujao

Unasema..lakini sio vema sana kuanzisha mada hizi wakati hata pesa tu ya posho watu hawatoi..wanaishia kulalamikia viongozi timu inapokuwa mzigo...
Ukitaka kuamini hili..jitafakari wewe kwa mwaka huu mchango ulioutoa SSC unatosha kufanya lipi??
Tafsri yako washabiki hatuna mchango wowote kwenye timu sio!?
Halafu kama mshabiki unawezaje kunizuia kutoa maoni yangu juu ya timu yangu.. Tatizo unajidharau wewe unadharau na wote.
 
Mnajaza uwanja...??? Mbona now mmeisusa timu kwenye mechi zinazoendelea pale Uhuru stadium ?? Mnajaza uwanha hadi msikie timu kubwa inakuja kucheza??

Mnajaza uwanja hadi mkumbushwe wajibu wenu kwenda uwanjani na manara??

Au mnajaza uwanja hadi msikie kiingilio kiwe buku mbili..shame on you Tanzania football fans ..

Mnataka makubwa lakini kwa kutegemea wachache ...huu in ujuha....
Akili moja acha upimbi hali ya hewa ya masika imekuwa kikwazo kwa washabiki kwenda uwanjan ukilinganisha na miundmbinu yetu duni
 
Unasema..lakini sio vema sana kuanzisha mada hizi wakati hata pesa tu ya posho watu hawatoi..wanaishia kulalamikia viongozi timu inapokuwa mzigo...

Ukitaka kuamini hili..jitafakari wewe kwa mwaka huu mchango ulioutoa SSC unatosha kufanya lipi??
Peleka kifusi kule vyura wamejaa
 
We una akili kweli,?? Yaani Mlipili na Erasto wakae bench? Huoni kweli balaa lao pale nyuma?? Hapana..
Hilo litawezekana kama kuna ingizo jipya la ukweli.. tofauti na hapo sio Rahisi.
 
Akili moja acha upimbi hali ya hewa ya masika imekuwa kikwazo kwa washabiki kwenda uwanjan ukilinganisha na miundmbinu yetu duni
Poor fans..kwani hii imeanza Leo tuuu..hali hii iko kote sio simba ..wala yanga..mashabiki wa Tanzania ni maamuma kwenye SOKA..wanachojua timu ishinde..ila hawataki kufanikisha huo ushindi..zaidi sana mtaenda kuloga ili timu ishinde..

Ligi kuu uingereza..pamoja na kwamba inachezwa kulekule uingereza ..tazama viwanja vyao..unakuta wadau wamejaza viwanja ..tena kwa kulipia..hii IPO kwa timu zote 20 tena bila kuchagua match za kuangalia..akina sie eti hadi tuone tp mazembe wanakuja au tupunguziwe kiingilio au tuombweombwe na akina manara ndio twende viwanjani...

Shame ..shame..shame..on you..

Alafu unakuja hapa unaandika nataka simba imsajili sijui nani hukoo..OK ikisamsajili alafu iweje...ndio utakuja uwanjani?? Ndio utanunua jezi orijino ..au utapeleka pale SSC mchango wako wa posho za wachezaji??
 
Mzee Mimi sio kama nyie baadhi yenu hapa hata hamuichangii timu yenu..katika orodha ya wanchama 1000 wa kwanza wa SSC Mimi nipo..kadi yangu ya uanachama nalipia kila mwaka ..na sidaiwi mpka miaka mitano mbele...shame on you shabiki maandazi
Sasa wewe kulipia kadi kunakufanya utukane kila mtu hapa Jf?
 
Mnajaza uwanja...??? Mbona now mmeisusa timu kwenye mechi zinazoendelea pale Uhuru stadium ?? Mnajaza uwanha hadi msikie timu kubwa inakuja kucheza??

Mnajaza uwanja hadi mkumbushwe wajibu wenu kwenda uwanjani na manara??

Au mnajaza uwanja hadi msikie kiingilio kiwe buku mbili..shame on you Tanzania football fans ..

Mnataka makubwa lakini kwa kutegemea wachache ...huu in ujuha..e..
Hahaah mkuu bora simba wanajaza uwanja wakisikia kiingilio buku nne..Yanga wanajaza uwanja wakisikia kiingilio bure 😂 😂😂😂😂😂
 
Sasa wewe kulipia kadi kunakufanya utukane kila mtu hapa Jf?
Shekhe penye ukweli lazima tuseme..wewe kama shabiki umeshawahi kuichangia vipi timu yako hadi ufikie hatua ya kupendekeza majina ya kusajili na kuachwa? maana hauna tofauti na mtu asiyejielewa..unataka usivyovifanyia kazi..

wenzetu ulaya huko mtu ni shabiki ananunua tiketi kila mechi si chini ya 50000 na ananunua jezi rasmi za klabu yake kama sehemu ya kuipa sapoti timu..akienda uwanjani anashangilia mwanzo mwishooo..

nyie kulaleki mkienda uwanjani mnaishia kukaa kimya kama midomo inawanuka..

ifikie aibu muone aibu mashabiki wa soka tanzania..
 
Hahaah mkuu bora simba wanajaza uwanja wakisikia kiingilio buku nne..Yanga wanajaza uwanja wakisikia kiingilio bure 😂 😂😂😂😂😂
maviii...wote hao ni ndugu mmoja....mbona saizi kiingilio kwenye ligi buku tatu na uwanja unakuwa na mashabiki mia mbili tu...sio simba wala yanga,,mashabiki wa soka nchini tujitathimini kama kweli tunapenda huu mchezo au la
 
Tafsri yako washabiki hatuna mchango wowote kwenye timu sio!?
Halafu kama mshabiki unawezaje kunizuia kutoa maoni yangu juu ya timu yangu.. Tatizo unajidharau wewe unadharau na wote.
Mashabiki wa soka nchini hawajawahi kuwa na msaada hata siku moja zaidi ya unafiki na ushirikina..yesi..msaada wao ni huo pamoja na kuzomea wachezaji uwanjani...au kuwatukana...

hatujawahi kwa namna yeyote ile kuzisaidia klabu zetu kuondokana na hali ilizokuwa nazo...na ndio maana kuna siku nikasema hata huyu Mo Dewji naye ni wale wale..tu..tutaishia kushinda shinda mechi hivi hivi kwa hila hila lakini hatawekeza kwenye msingi wa soka..

yeye kama ulivyo wewe na mimi tunapenda timu ishinde tuu..basi,,timu ikishinda tunarukaruka tuanenda kulala..siku zinapoita..hakuna cha uwanja wa bunju wa sijui ngekewa gani...

Yule atafanya kulingana na mashabiki wanzavyotaka au kuhisi ..atasajili wachezaji wa Yanga..Azam..na timu zingine hapa Afrika Mashariki tena kwa free transfer ... sio kununua...

akishakizi kiui yetu hiyo na yeye kama ilivyo sisi atakaa asubiri miujiza ya uwanjani..matokeo yake tutakuwa tunaishia hatua hiziz za group stage kila mwaka..

maana mashabiki wamelala,,yeye tajiri amelala,,wachezaji wa kiafrika mashariki nao wamelala hakuna wa kuwaamsha..

Hivi ndugu unajua ile mechi na Mazembe tulikuwa tunauwezo wa kushinda hapa Home kama tu wachezaji,mashabiki na Tajiri wangejizatiti?

Matokeo yake,,unayajua...michezaji ilikuwa mizito uwanjani...mashabiki nao kama kawaida yetu tunangoja goli au kanzu ndio tushangilie,,baada ya hapo kimyaaa uwanja mzima...tajiri naye hivyo hivyo game kaitazamia kwenye kideo,,unategemea nini?

Tazama kule Congo tulichokipata...laiti time yetu ingekuwa walau kama Horoya ya Guinea ile..nakuhakikishia tungefika mbali..
 
Poor fans..kwani hii imeanza Leo tuuu..hali hii iko kote sio simba ..wala yanga..mashabiki wa Tanzania ni maamuma kwenye SOKA..wanachojua timu ishinde..ila hawataki kufanikisha huo ushindi..zaidi sana mtaenda kuloga ili timu ishinde..
Ligi kuu uingereza..pamoja na kwamba inachezwa kulekule uingereza ..tazama viwanja vyao..unakuta wadau wamejaza viwanja ..tena kwa kulipia..hii IPO kwa timu zote 20 tena bila kuchagua match za kuangalia..akina sie eti hadi tuone tp mazembe wanakuja au tupunguziwe kiingilio au tuombweombwe na akina manara ndio twende viwanjani...
Shame ..shame..shame..on you..
Alafu unakuja hapa unaandika nataka simba imsajili sijui nani hukoo..OK ikisamsajili alafu iweje...ndio utakuja uwanjani??
Mkuu pia ukumbuke Simba ndio inaongoza kuingiza mapato ya mlangoni toka msimu jana, na huu itaongoza pia.
Halafu sio lazima kila mechi tujae uwanjani kama Ulaya.. hapa ni bongo hatujafika level ya Ulaya.
 
Hatuwezi kuendelea kuota kuwasajili kina Kombole sijui na wengineo kama wewe mshabiki hauichangii timu yako aidha moja kwa moja au kwa njia nyingine..kama wewe ni shabiki wa namna hii heri tu ujiunge nami tukae kimya tungoje wenye pesa wafanye watakavyoo kulingana na uwezo wa pesa zao..

maana nina uhakika gharama za usajili wa Kagere,Niyonzima,Wawa ,Dida hazijarudi hata nusu yake tu..zaidi ya timu kuendelea kutoa pesa kuwahudumia...
 
maviii...wote hao ni ndugu mmoja....mbona saizi kiingilio kwenye ligi buku tatu na uwanja unakuwa na mashabiki mia mbili tu...sio simba wala yanga,,mashabiki wa soka nchini tujitathimini kama kweli tunapenda huu mchezo au la
We iongelee timu yako ya yanga ya sisi simba hayakuhusu mkuu....hakuna timu Africa inayojaza uwanja mechi zote...sasa unataka simba afanye maajabu gani yaliyozishinda timu zote africa ajaze uwanja kila siku na mechi zenyewe hizi anacheza kila baada ya siku mbili hapa dar huko mikoani umeona nyomi lake.ligi ya mabingwa africa CAF simba ndo timu pekee africa iliyokuwa inajaza uwanja kuliko zote....huu ni mwanzo tu subirini mtapata tabu sana
 
Mkuu pia ukumbuke Simba ndio inaongoza kuingiza mapato ya mlangoni toka msimu jana, na huu itaongoza pia.
Halafu sio lazima kila mechi tujae uwanjani kama Ulaya.. hapa ni bongo hatujafika level ya Ulaya.
Shekhe acha ushamba basi ndugu yangu...Mapato yenyewe milioni 300? unajua gharama za kuendesha timu mzee? bajeti ya Klabu yako ya Simba kwa mwaka huu ukitoa pesa za CAF ni Bilioni 6 kama sikosei..Vyanzo vyake kwa mujibu wa mkutano wa juzi ni Mdhamini ambaye ni Sportspes...na mikopo toka kwa watu na taasisi mbali mbali..

Yani hata hiyo get collection imewekwa mwisho kabisa kama vyanzo vya mapato vya klabu..kuiandaa timu hadi unaona wachezaji wanafika uwanjani pale si chini ya Milioni 50 kwa mechi moja kwa mechi za Dar..wewe unaleta hesabu za alinacha hapa..

Tuacheni ushabiki maandazi wazeee..pamoja ni kweli ligi yetu haina kitu wala hailipi kama zingine lakini mashabiki tukiplay part yetu vizuri mbona mamabo yanaenda mzee..tena kwa msimu huu ndio ungekuwa msimu wa kuichangia zaidi timu yetu,,lakini ona mechi ambazo mashabiki wamejitahidi kuvuka 25000 ni mechi mbili tu Simba na Yanga na Yanga na Simba..

kwa mfumo wa msimu huu timu mwenyeji anachuku mapato yote..so ni mechi moja tu ndio pengine timu wamejitahidi kurudisha gharama za maandalizi..mechi nyingie zote Hasara..

Walau tungekuwa tunajitahidi kwenye mechi zote za dar wadau tunajitokeza tuwanajaza dimba lile ,,tukipungua watu 35000 au 400000 huko hapo ungekuwa unangea ponit mzee
 
Back
Top Bottom