Tafsri yako washabiki hatuna mchango wowote kwenye timu sio!?
Halafu kama mshabiki unawezaje kunizuia kutoa maoni yangu juu ya timu yangu.. Tatizo unajidharau wewe unadharau na wote.
Mashabiki wa soka nchini hawajawahi kuwa na msaada hata siku moja zaidi ya unafiki na ushirikina..yesi..msaada wao ni huo pamoja na kuzomea wachezaji uwanjani...au kuwatukana...
hatujawahi kwa namna yeyote ile kuzisaidia klabu zetu kuondokana na hali ilizokuwa nazo...na ndio maana kuna siku nikasema hata huyu Mo Dewji naye ni wale wale..tu..tutaishia kushinda shinda mechi hivi hivi kwa hila hila lakini hatawekeza kwenye msingi wa soka..
yeye kama ulivyo wewe na mimi tunapenda timu ishinde tuu..basi,,timu ikishinda tunarukaruka tuanenda kulala..siku zinapoita..hakuna cha uwanja wa bunju wa sijui ngekewa gani...
Yule atafanya kulingana na mashabiki wanzavyotaka au kuhisi ..atasajili wachezaji wa Yanga..Azam..na timu zingine hapa Afrika Mashariki tena kwa free transfer ... sio kununua...
akishakizi kiui yetu hiyo na yeye kama ilivyo sisi atakaa asubiri miujiza ya uwanjani..matokeo yake tutakuwa tunaishia hatua hiziz za group stage kila mwaka..
maana mashabiki wamelala,,yeye tajiri amelala,,wachezaji wa kiafrika mashariki nao wamelala hakuna wa kuwaamsha..
Hivi ndugu unajua ile mechi na Mazembe tulikuwa tunauwezo wa kushinda hapa Home kama tu wachezaji,mashabiki na Tajiri wangejizatiti?
Matokeo yake,,unayajua...michezaji ilikuwa mizito uwanjani...mashabiki nao kama kawaida yetu tunangoja goli au kanzu ndio tushangilie,,baada ya hapo kimyaaa uwanja mzima...tajiri naye hivyo hivyo game kaitazamia kwenye kideo,,unategemea nini?
Tazama kule Congo tulichokipata...laiti time yetu ingekuwa walau kama Horoya ya Guinea ile..nakuhakikishia tungefika mbali..