Professionals wabaki Chama, Kagere, Okwi, Niyonzima na Gyan. Ila Wawa, Juuko, Zana, Kotei na Kwasi waondoke. Tulete professionals watano tu, Striker 1 aliyewazidi kiwango akina Kagere lakini siyo Tuyisenge wala Chirwa, defensive midfielder moja mrefu aliyemzidi kiwango Mkude, center backs wawili full back right moja kusaidiana na Kapombe. Gyan asogezwe mbele. Locals wapunguzwe Dida, Bukaba, Mbonde, Mo Ibra. Mkopo atolewe Salamba. Locals wapya Ajib, Gadiel, Kabunda, Kakolanya na Maembe. Mkopo kurejeshwa Marcel Kaheza. Gadiel agombee namba na Shabalala, Kakolanya apambane na Manula.