Wana Simba SC tutaje wachezaji tunaoona hawatufai msimu ujao

Uchawi ungekuwa ndio soka Yanga msingetoka kapa msimu uliopita
Kati Ya Yanga na Simba hujui nyie ndiyo wataalamu wa ndumba a.k.a ulozi? Muulize manara na Okwii ndiyo mshika mikoba wenu, sasa kaondoka sijui mtampatia nani mikoba hiyo.
 
Chezeni mpira, mawazo mgando hayo achana nayo
 
Back
Top Bottom