3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Uchawi ungekuwa ndio soka Yanga msingetoka kapa msimu uliopitaNa Huyo ndiyo mshika tunguri wenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchawi ungekuwa ndio soka Yanga msingetoka kapa msimu uliopitaNa Huyo ndiyo mshika tunguri wenu.
Kati Ya Yanga na Simba hujui nyie ndiyo wataalamu wa ndumba a.k.a ulozi? Muulize manara na Okwii ndiyo mshika mikoba wenu, sasa kaondoka sijui mtampatia nani mikoba hiyo.Uchawi ungekuwa ndio soka Yanga msingetoka kapa msimu uliopita
Chezeni mpira, mawazo mgando hayo achana nayoKati Ya Yanga na Simba hujui nyie ndiyo wataalamu wa ndumba a.k.a ulozi? Muulize manara na Okwii ndiyo mshika mikoba wenu, sasa kaondoka sijui mtampatia nani mikoba hiyo.
Ni ya kweli haya?Emmanuel Okwi katimkia uarabuni... msimu mpya hatuko nae.
Bila shakaNi ya kweli haya?
Dah tumebugi sanaBila shaka
Amepata dau la juu... acha akusanye noti mkuuDah tumebugi sana
Ni kweli ila Dah, ngoja tusubiriAmepata dau la juu... acha akusanye noti mkuu
Tumesajili mkuu.. kikubwa huo usajili usitusute tuNi kweli ila Dah, ngoja tusubiri
Nahisi tumetema Big G kwa karanga ya kuonjeshwa mkuu.