Aliloanisha sijaelewa akiba ya maneno na hiyo mambo ya kuloanisha sijaona mahusiano..Tuweke akiba ya maneno kila tunaposhiriki kwenye mashindano yoyote, mpira una matokeo ya kushinda, sare na kufungwa, hivyo viongozi, wanachama ma mashabiki wa simba tuwe na kiasi wakati tunaisifu timu yetu kwa kuwa na fedha na usajili mpana. Hii itawasaidia kuendelea vizuri na maisha baada ya mashindano bila kujali aina ya matokeo kwenye mashindano.
Kuna kiongozi mmoja nilimuona amelowanisha sehemu ya mbele ya suruwali yake baada ya matokeo kati ya simba na Mashujaa, hii ilitokea kwa sababu ya maneno, na matendo yake ya kabla ya mechi kuanza.
Kuloanisha kunafuatilia na ulijiandaa kwa 167% kuwa utapata matokeo gani, na je, watu watakuonaje baada ya kutamba kupita kiasi kuwa utapata matokeo chanya.Aliloanisha sijaelewa akiba ya maneno na hiyo mambo ya kuloanisha sijaona mahusiano..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumekuelewa na ww ndio mchawi wetu, ndio maana uko kwenye mapinduzi umefurumishwa kwa AibuKwasasa Sisi ndio Sisi,tuna hela mingi,kikosi kipana,mashabiki wanaojaza Uwanja kwa kiingilio hata cha elfu30,tuna Msemaji Bora kabisa,tuna kamati ya ufundi Bora kabisa ikiongozwa na Mzee Somo. Kwa hiyo acha tutambe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka sasa Mapinduzi mna points 9 tunawaruhusu mzishike mkononi mje nazo huku jumlisheni na za TPL plus viporo.Tumekuelewa na ww ndio mchawi wetu, ndio maana uko kwenye mapinduzi umefurumishwa kwa Aibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Zahera tumekuckiaMpaka sasa Mapinduzi mna points 9 tunawaruhusu mzishike mkononi mje nazo huku jumlisheni na za TPL plus viporo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkianza kutunguliwa pale Taifa msizimie,maana mnajifanya wajuaji sana,eti haji anawadanganya mnaweza cheza na Psg, man city nanyinyi mnachekelea kama mazuzu......Huyu haji anajitafutia umaarufu wa kugombea ubunge na si kwa maslahi ya SimbaTuweke akiba ya maneno kila tunaposhiriki kwenye mashindano yoyote, mpira una matokeo ya kushinda, sare na kufungwa, hivyo viongozi, wanachama ma mashabiki wa simba tuwe na kiasi wakati tunaisifu timu yetu kwa kuwa na fedha na usajili mpana.
Hii itawasaidia kuendelea vizuri na maisha baada ya mashindano bila kujali aina ya matokeo kwenye mashindano.
Kuna kiongozi mmoja nilimuona amelowanisha sehemu ya mbele ya suruwali yake baada ya matokeo kati ya simba na Mashujaa, hii ilitokea kwa sababu ya maneno, na matendo yake ya kabla ya mechi kuanza.
😁😁😁Kwasasa Sisi ndio Sisi,tuna hela mingi,kikosi kipana,mashabiki wanaojaza Uwanja kwa kiingilio hata cha elfu30,tuna Msemaji Bora kabisa,tuna kamati ya ufundi Bora kabisa ikiongozwa na Mzee Somo. Kwa hiyo acha tutambe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mmeteseka sana eeeh? Bora we umekuwa mkweliSimba ni zamu yetu acha tutambe. Na nyie majirani ikifika zamu yenu mtatamba tu!
Mikia mnamwogopa Chief Zahera kama kama Jiwe anavyomwogopa Tundu Lissu.
Yaaaa! This is Simba brother!!Kwasasa Sisi ndio Sisi,tuna hela mingi,kikosi kipana,mashabiki wanaojaza Uwanja kwa kiingilio hata cha elfu30,tuna Msemaji Bora kabisa,tuna kamati ya ufundi Bora kabisa ikiongozwa na Mzee Somo. Kwa hiyo acha tutambe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa. Haji anatafuta umaarufu kwa nguvu kupitia mgongo wa simba ajulikane halafu apitie kwenye ubungeMkianza kutunguliwa pale Taifa msizimie,maana mnajifanya wajuaji sana,eti haji anawadanganya mnaweza cheza na Psg, man city nanyinyi mnachekelea kama mazuzu......Huyu haji anajitafutia umaarufu wa kugombea ubunge na si kwa maslahi ya Simba
Haha Mikia FC huwa wanachoongea na ukweli uwanjani ni mbingu na ardhi.Tuweke akiba ya maneno kila tunaposhiriki kwenye mashindano yoyote, mpira una matokeo ya kushinda, sare na kufungwa, hivyo viongozi, wanachama ma mashabiki wa simba tuwe na kiasi wakati tunaisifu timu yetu kwa kuwa na fedha na usajili mpana.
Hii itawasaidia kuendelea vizuri na maisha baada ya mashindano bila kujali aina ya matokeo kwenye mashindano.
Kuna kiongozi mmoja nilimuona amelowanisha sehemu ya mbele ya suruwali yake baada ya matokeo kati ya simba na Mashujaa, hii ilitokea kwa sababu ya maneno, na matendo yake ya kabla ya mechi kuanza.