kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Tuweke akiba ya maneno kila tunaposhiriki kwenye mashindano yoyote, mpira una matokeo ya kushinda, sare na kufungwa, hivyo viongozi, wanachama ma mashabiki wa simba tuwe na kiasi wakati tunaisifu timu yetu kwa kuwa na fedha na usajili mpana.
Hii itawasaidia kuendelea vizuri na maisha baada ya mashindano bila kujali aina ya matokeo kwenye mashindano.
Kuna kiongozi mmoja nilimuona amelowanisha sehemu ya mbele ya suruwali yake baada ya matokeo kati ya simba na Mashujaa, hii ilitokea kwa sababu ya maneno, na matendo yake ya kabla ya mechi kuanza.