Wana Simba SC tuwe na kiasi na kuweka akiba ya maneno tunapoisifu timu yetu

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Tuweke akiba ya maneno kila tunaposhiriki kwenye mashindano yoyote, mpira una matokeo ya kushinda, sare na kufungwa, hivyo viongozi, wanachama ma mashabiki wa simba tuwe na kiasi wakati tunaisifu timu yetu kwa kuwa na fedha na usajili mpana.

Hii itawasaidia kuendelea vizuri na maisha baada ya mashindano bila kujali aina ya matokeo kwenye mashindano.

Kuna kiongozi mmoja nilimuona amelowanisha sehemu ya mbele ya suruwali yake baada ya matokeo kati ya simba na Mashujaa, hii ilitokea kwa sababu ya maneno, na matendo yake ya kabla ya mechi kuanza.
 
Tuweke akiba ya maneno kila tunaposhiriki kwenye mashindano yoyote, mpira una matokeo ya kushinda, sare na kufungwa, hivyo viongozi, wanachama ma mashabiki wa simba tuwe na kiasi wakati tunaisifu timu yetu kwa kuwa na fedha na usajili mpana. Hii itawasaidia kuendelea vizuri na maisha baada ya mashindano bila kujali aina ya matokeo kwenye mashindano.

Kuna kiongozi mmoja nilimuona amelowanisha sehemu ya mbele ya suruwali yake baada ya matokeo kati ya simba na Mashujaa, hii ilitokea kwa sababu ya maneno, na matendo yake ya kabla ya mechi kuanza.
Aliloanisha sijaelewa akiba ya maneno na hiyo mambo ya kuloanisha sijaona mahusiano..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwasasa Sisi ndio Sisi,tuna hela mingi,kikosi kipana,mashabiki wanaojaza Uwanja kwa kiingilio hata cha elfu30,tuna Msemaji Bora kabisa,tuna kamati ya ufundi Bora kabisa ikiongozwa na Mzee Somo. Kwa hiyo acha tutambe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumekuelewa na ww ndio mchawi wetu, ndio maana uko kwenye mapinduzi umefurumishwa kwa Aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuweke akiba ya maneno kila tunaposhiriki kwenye mashindano yoyote, mpira una matokeo ya kushinda, sare na kufungwa, hivyo viongozi, wanachama ma mashabiki wa simba tuwe na kiasi wakati tunaisifu timu yetu kwa kuwa na fedha na usajili mpana.

Hii itawasaidia kuendelea vizuri na maisha baada ya mashindano bila kujali aina ya matokeo kwenye mashindano.

Kuna kiongozi mmoja nilimuona amelowanisha sehemu ya mbele ya suruwali yake baada ya matokeo kati ya simba na Mashujaa, hii ilitokea kwa sababu ya maneno, na matendo yake ya kabla ya mechi kuanza.
Mkianza kutunguliwa pale Taifa msizimie,maana mnajifanya wajuaji sana,eti haji anawadanganya mnaweza cheza na Psg, man city nanyinyi mnachekelea kama mazuzu......Huyu haji anajitafutia umaarufu wa kugombea ubunge na si kwa maslahi ya Simba
 
Simba ndio wanajua maana ya kimataifa sio wale wa 4-0 away... 3-1 Home.
 
Tuwe na bank ya kutunzia maneno yetu ya kishabiki na mahaba na timu zetu, maana kuna maisha baada ya kila mechi.
 
Mkianza kutunguliwa pale Taifa msizimie,maana mnajifanya wajuaji sana,eti haji anawadanganya mnaweza cheza na Psg, man city nanyinyi mnachekelea kama mazuzu......Huyu haji anajitafutia umaarufu wa kugombea ubunge na si kwa maslahi ya Simba
Kabisa. Haji anatafuta umaarufu kwa nguvu kupitia mgongo wa simba ajulikane halafu apitie kwenye ubunge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuweke akiba ya maneno kila tunaposhiriki kwenye mashindano yoyote, mpira una matokeo ya kushinda, sare na kufungwa, hivyo viongozi, wanachama ma mashabiki wa simba tuwe na kiasi wakati tunaisifu timu yetu kwa kuwa na fedha na usajili mpana.

Hii itawasaidia kuendelea vizuri na maisha baada ya mashindano bila kujali aina ya matokeo kwenye mashindano.

Kuna kiongozi mmoja nilimuona amelowanisha sehemu ya mbele ya suruwali yake baada ya matokeo kati ya simba na Mashujaa, hii ilitokea kwa sababu ya maneno, na matendo yake ya kabla ya mechi kuanza.
Haha Mikia FC huwa wanachoongea na ukweli uwanjani ni mbingu na ardhi.
 
Back
Top Bottom