Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Hii ipo hata kwenye Mabaa na sehemu nyingine za starehe,siku Yanga ikishinda vinywaji vitanyweka vingi na ofa zitatolewa za kufa mtu lakini Simba ikishinda hawanunui kitu ni maneno matupu tuu na storiHuwa unaangalia kipindi cha Kurasa za mwisho cha Azam tv siku za Jumamosi ambapo huwaalika wahariri mbalimbali wa mgazeti ya michezo kufanya uchambuzi?
Hao wahariri ndiyo wanaosema ya kwamba mashabiki wanaonunua magazeti kwa wingi ni wale wa Yanga! huku wenzangu wa Simba wakiishia tu kusoma vichwa vya habari. Nimeona nikujibu kwa niaba ya huyo mdau uliyemtolea mapovu.