Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Hii ipo hata kwenye Mabaa na sehemu nyingine za starehe,siku Yanga ikishinda vinywaji vitanyweka vingi na ofa zitatolewa za kufa mtu lakini Simba ikishinda hawanunui kitu ni maneno matupu tuu na storiHuwa unaangalia kipindi cha Kurasa za mwisho cha Azam tv siku za Jumamosi ambapo huwaalika wahariri mbalimbali wa mgazeti ya michezo kufanya uchambuzi?
Hao wahariri ndiyo wanaosema ya kwamba mashabiki wanaonunua magazeti kwa wingi ni wale wa Yanga! huku wenzangu wa Simba wakiishia tu kusoma vichwa vya habari. Nimeona nikujibu kwa niaba ya huyo mdau uliyemtolea mapovu.
Hii ipo hata kwenye Mabaa na sehemu nyingine za starehe,siku Yanga ikishinda vinywaji vitanyweka vingi na ofa zitatolewa za kufa mtu lakini Simba ikishinda hawanunui kitu ni maneno matupu tuu na stori
IQ ndogo..wazungu wananunua magazeti ..unaweza kushindana nao kwa technology...Rage apewe tuzo ya heshima kuwaita MbumbumbuBrother sisi simba sio watu wa magazeti hilo liko wazi kabisa.. yanga wananunua sana magazeti sanasana timu yao ikifanya vizuri..washabiki wa simba wengi akili zao ni advanced huwa wanasoma habari zaidi kupitia internet na sio magazetini na ndo maana tuna Simba app ambayo yanga hawana. ndala huwa wananunua sana gazeti simba ikifungwa au gongo wazi ikishinda lakini washabiki wa simba wengi wameidharau yanga na wala hawafuatilii habari zake kama yanga wanavyofuatilia za simba.. hata hivyo mikaratasi ya nini brother?? tembelea simba app upate habari motomoto
ila uwanjani hawaendi.Yanga ndio wanunuzi wakubwa wa magazeti...
Hili nalifahamu tangu mwaka 1991.Cleverbright, magazeti yapo kibiashara zaidi licha ya kuhabarisha,,hivyo ukiona habari za watani zetu zikiandikwa kwa mapambio zaidi maana yake mashabiki wao ndio wanunuzi zaidi kuliko sisi wanamsimbazi.
Hii pia nilishaisikia kwenye kipindi cha wahariri wa magazeti ya michezo kikirushwa na Azam Tv siku za weekend, wanasema Yanga akifungwa magazeti hayauzi lakini siku akishinda biashara huwa nono.
Habari ya Yanga kuwa bingwa tpl itauza zaidi magazetini kuliko ya Simba kuwa bingwa CAF-CL
ila uwanjani hawaendi
Sasa kama hadi iwe vizuri ndio waingie uwanjani, basi kumbe mwaka au msimu huu wote wa ligi wataingia wachache sanaNi sahihi ..ila timu yao ikiwa vizuri hujitokeza kwa wingi kuliko Simba...
Sasa kama hadi iwe vizuri ndio waingie uwanjani, basi kumbe mwaka au msimu huu wote wa ligi wataingia wachache sana