nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Yanga vs Azam ni lini hiyo, kumbe tarehe 10 mwezi wa 4 mwaka 2025, a long way to goTuache lawama wana lunyasi...
Kilichotokea jana ni tafsiri halisi ya ligi yenye ushindani...
Si hivyo tu, matokeo ya jana yanaondoa uvumi kuwa Azam hucheza kwa low intensity ili kuifaidisha Simba...
Binafsi najua hata Uto anaenda kukutana na moto wa Azam na ataangusha alama.
Nafuatilia fixture nakurudia...Yanga vs Azam ni lini hiyo
Wabeba lawama wamekua Mo Hussen na Kocha...Wanalaumu nani?
GSM
KARIA
MANGUNGU
KAYOKO
KOCHA
RAGE
MANARA
CHASAMBI
AU NANI?
Nimeiona ni tarehe 10-4-2025Nafuatilia fixture nakurudia...
Kujichua na mechi ya jana vina uhusiano ndugu mwana Jf?Ifikie wakati vijana tuache mchezo wa kujichua
Sisi tukaze tarehe 8, Uto akae...Nimeiona ni tarehe 10-4-2025
No! wana lunyasi hawalii...Kumekucha Wana kulia lia.
Sasa kwa nini umesema waache lawama.... maana malalamiko kila sehemu mara Shabalala,mara wachezaji kipindi cha pili upepo unakata,mara Fadlu kachelewa kufanya sub nk kelele kila sehemu.No! wana lunyasi hawalii...
Kinachotokea ni moja ya sifa za team kubwa, hatuamini katika kushindwa...
Kwasababu kiuhalisia mechi ya jana ilikuwa ya kwetu ila lazima tukumbushane mpira una kawaida ya kutoa surprise.
Lawama kabebeshwa Kepteni Mohamed Hussein Zimbwe! Eti umri umemtupa kiasi cha kujikuta anageuzwa kama chapati na wale viungo wawili wa pembeni wa Azam; Silla na baadaye Zidane Sereri.Wanalaumu nani?
GSM
KARIA
MANGUNGU
KAYOKO
KOCHA
RAGE
MANARA
CHASAMBI
AU NANI?
Labda ukaze masaburiSisi tukaze tarehe 8, Uto akae...
Najua Azam atafanya kitu pia mwezi wa 4.
Punguza tuuKujichua na mechi ya jana vina uhusiano ndugu mwana Jf?
Lawama ni tulizo la wasiojiamini...Sasa kwa nini umesema waache lawama.... maana malalamiko kila sehemu mara Shabalala,mara wachezaji kipindi cha pili upepo unakata,mara Fadlu kachelewa kufanya sub nk kelele kila sehemu.
Tutawakumbusha hapa hapaLabda ukaze masaburi
Ila wanao lalamika ni wenzako nyingine nimesikia jioni Ateba kanenepa,Mpanzu anamtegea Kibu.Lawama ni tulizo la wasiojiamini...
Hiyo siyo sifa ya Simba.
Wengi wanaolalamika ni Uto, wanajifanya Simba.Ila wanao lalamika ni wenzako nyingine nimesikia jioni Ateba kanenepa,Mpanzu anamtegea Kibu.