Wana simba tuache lawama...

Wana simba tuache lawama...

nyakubonga

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
5,960
Reaction score
9,978
Tuache lawama wana lunyasi...

Kilichotokea jana ni tafsiri halisi ya ligi yenye ushindani...

Si hivyo tu, matokeo ya jana yanaondoa uvumi kuwa Azam hucheza kwa low intensity ili kuifaidisha Simba...

Binafsi najua hata Uto anaenda kukutana na moto wa Azam na ataangusha alama.
 
Yanga vs Azam ni lini hiyo, kumbe tarehe 10 mwezi wa 4 mwaka 2025, a long way to go
 
Kumekucha Wana kulia lia.
No! wana lunyasi hawalii...

Kinachotokea ni moja ya sifa za team kubwa, hatuamini katika kushindwa...

Kwasababu kiuhalisia mechi ya jana ilikuwa ya kwetu ila lazima tukumbushane mpira una kawaida ya kutoa surprise.
 
Sasa kwa nini umesema waache lawama.... maana malalamiko kila sehemu mara Shabalala,mara wachezaji kipindi cha pili upepo unakata,mara Fadlu kachelewa kufanya sub nk kelele kila sehemu.
 
Lawama ni tulizo la wasiojiamini...

Hiyo siyo sifa ya Simba.
 
Back
Top Bottom