Wana Simba tusikate tamaa timu iko vitani bado

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Kuanza kuisema sema timu yetu vibaya na kuanza kushambulia kocha kuwa alichelewa kufanya sub, kwamba Zimbwe ameshazeeka hana uwezo wa kumweka benchi Nouma, mara Ngoma alichoka na ilibidi Mavambo aingie, sijui Ahoua hana uwezo wa kuwa MVP anacheza slow sana, maneno kibao baada ya sare ya leo.

Mimi nadhani kwa sasa tukianza kukosoa kwa kuponda timu yetu tutatoka kwenye mstari mapema sana, zipo changamoto nyingi ndani ya timu yetu kuanzia benchi la ufundi hadi baadhi ya wachezaji lakini kwa sasa muda tuliokuwa nao wa kuanza kutukana na kuzomea uongozi sio wakati wake kabisa.

Soma Pia: FT | Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

Tuache uongozi uendelea kupambana hadi mwisho tuone, kama kuna ukosoaji basi tukaambiane kwenye matawi yetu na sio humu kwenye mitandao ya kijamii, adui yetu anafuatilia nyendo zetu mwanzo mwisho, adui yetu hajalala, ananunua mechi huku akihakikisha anaharibu mechi zetu, kwa hiyo sisi tuna wakati mgumu sana msimu huu wa ubaya ubwela.

Adui yetu yuko huko anashangaa mbuga sio kwa bahati mbaya, yuko kwenye heka heka ya kutuangamiza tarehe 08 machi, hivyo sisi tuuungane mwenye shoka, kisu, jembe, jiwe ashike kwa ajili ya tarehe 8 machi, vinginevyo tutawakatisha tamaa wapiganaji wetu walio vitani.

Asanteni
 
Hatukati tamaa ila ntawashangaa MANYANI na MAMMBWA kujiona tayar wao ndio mabingwa baada ya sisi kupata alama 1 leo
 
Hakuna chochote timu mbovu kama kengold tu
 
Hatukati tamaa ila ntawashangaa MANYANI na MAMMBWA kujiona tayar wao ndio mabingwa baada ya sisi kupata alama 1 leo
Ubwela
Screenshot_20250224_213039.jpg
 
Simba hatuna timu,timu inawai kuridhika mapema na matokeo wakati dakika bado nyingi,halafu liateba halina hadhi ya kucheza simba kabisa
 
Kwenye mechi ya leo kocha hawezi kukosa lawama ngoma mechi ili mkataa tangu dakika ya kwanza lakini akamgangania tu.
 
Mimi ni shabiki wa Simba tusahau kuhusu ubingwa ..Timu inaongoza kwa tofauti ya goli moja afu unacheza show game..Yanga watajibebea makombe mpaka wachoke wenyewe..Injinia ni mkali sana kwa wachezaji wanaokuwa wanahujumu timu, Angalia kilichomtokea Mukoko Tonombe kwenye fainali kule Kigoma..Lakini ss wachezaji waohujumu timu tunawatetea afu unategemea nini..Timu kubeba kombe labda wakaliibe tuu..Tusijipe faraja hatuna timu ya kupambana na Yanga kwenye ubingwa..Angalia hata kimataifa tulivyokuwa tunachechemea.
 
Back
Top Bottom