Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Mbumbumbu Pro Max
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbumbumbu Pro Max
Kuwa mpoleMbumbumbu Pro Max
Yanga first half, Simba second half, ila hakukuwa na magoli matano kwahiyo usitegemee tena Simba kuruhusu goli tano Kwa kipindi hikiKwa hiyo ile mechi alistruggle Yanga peke yake? Basi sawa
YesMaybe
Yanga first half, Simba second half, ila hakukuwa na magoli matano kwahiyo usitegemee tena Simba kuruhusu goli tano Kwa kipindi hiki
Tusubiri Machi 8Kwani nani anategemea kukufunga tano? Tano ni nadra sana kutokea kwa timu ileile. Ila ukisema Yanga alistrugle dhidi ya Simba mechi iliyopita nashangaa. Na kinachonishangaza ni wenzetu kufurahia kufungwa goli moja si tano. Mnachekesha🤣🤣🤣
Mbona tabora waliwazuia na wakawafunga 3 mambugila nyinyi.Yaani Kagoma, Mpanzu, Ateba sijui Hamza akazuie msuli wa Aziz ki, Mzize kwamba Che fondoh akabane na Pacome? Nzengeli? ACHENI UTANI
Macho 8 kunahusiana nini ni hiki kinachozungumzwa hapa?Tusubiri Machi 8
Tabora sio 5imbwa usichanganye mambo.Mbona tabora waliwazuia na wakawafunga 3 mambugila nyinyi.