JUA ni Kali Sana
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 1,202
- 1,543
Ligi bado haijaisha lolote linaweza kutokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabakia kunenepeana tu.kingine michezaji ya simba ina ubinafsi sana,mtu anataka akae na mpira hadi anaupotezaLile halina hadhi hata ya kucheza ndanda
Lolote lenyewe ni kupigwa tano tenaLigi bado haijaisha lolote linaweza kutokea
Simba hakuna timu, kwa kuwategemea kina ateba eti ndio watupe ushindi,ni kujidanganyaMimi ni shabiki wa Simba tusahau kuhusu ubingwa ..Timu inaongoza kwa tofauti ya goli moja afu unacheza show game..Yanga watajibebea makombe mpaka wachoke wenyewe..Injinia ni mkali sana kwa wachezaji wanaokuwa wanahujumu timu, Angalia kilichomtokea Mukoko Tonombe kwenye fainali kule Kigoma..Lakini ss wachezaji waohujumu timu tunawatetea afu unategemea nini..Timu kubeba kombe labda wakaliibe tuu..Tusijipe faraja hatuna timu ya kupambana na Yanga kwenye ubingwa..Angalia hata kimataifa tulivyokuwa tunachechemea.
Mivivu hiyoKabakia kunenepeana tu.kingine michezaji ya simba ina ubinafsi sana,mtu anataka akae na mpira hadi anaupoteza
Bila penati hakuna ushindi sio?Refa katudhulumu penalty aliyotakiwa atupatie dakika za mwisho; atatumbua !.
Siyo yeye peke ake wanasimba wote hatujakata tamaaWewe peke yako tu ndo usiye kama tamaa
Wewe na yeye ndo hamjakata tamaaSiyo yeye peke ake wanasimba wote hatujakata tamaa
Wakati tunashinda hukuwahi kuyaandika haya leo sare tu unatapika nyongoMimi ni shabiki wa Simba tusahau kuhusu ubingwa ..Timu inaongoza kwa tofauti ya goli moja afu unacheza show game..Yanga watajibebea makombe mpaka wachoke wenyewe..Injinia ni mkali sana kwa wachezaji wanaokuwa wanahujumu timu, Angalia kilichomtokea Mukoko Tonombe kwenye fainali kule Kigoma..Lakini ss wachezaji waohujumu timu tunawatetea afu unategemea nini..Timu kubeba kombe labda wakaliibe tuu..Tusijipe faraja hatuna timu ya kupambana na Yanga kwenye ubingwa..Angalia hata kimataifa tulivyokuwa tunachechemea.
Timu yetu ipo bukavu hivyo tuwe wapole tarehe nane itskuwa kinshasa.Kuanza kuisema sema timu yetu vibaya na kuanza kushambulia kocha kuwa alichelewa kufanya sub, kwamba Zimbwe ameshazeeka hana uwezo wa kumweka benchi Nouma, mara Ngoma alichoka na ilibidi Mavambo aingie, sijui Ahoua hana uwezo wa kuwa MVP anacheza slow sana, maneno kibao baada ya sare ya leo.
Mimi nadhani kwa sasa tukianza kukosoa kwa kuponda timu yetu tutatoka kwenye mstari mapema sana, zipo changamoto nyingi ndani ya timu yetu kuanzia benchi la ufundi hadi baadhi ya wachezaji lakini kwa sasa muda tuliokuwa nao wa kuanza kutukana na kuzomea uongozi sio wakati wake kabisa.
Soma Pia: FT | Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025
Tuache uongozi uendelea kupambana hadi mwisho tuone, kama kuna ukosoaji basi tukaambiane kwenye matawi yetu na sio humu kwenye mitandao ya kijamii, adui yetu anafuatilia nyendo zetu mwanzo mwisho, adui yetu hajalala, ananunua mechi huku akihakikisha anaharibu mechi zetu, kwa hiyo sisi tuna wakati mgumu sana msimu huu wa ubaya ubwela.
Adui yetu yuko huko anashangaa mbuga sio kwa bahati mbaya, yuko kwenye heka heka ya kutuangamiza tarehe 08 machi, hivyo sisi tuuungane mwenye shoka, kisu, jembe, jiwe ashike kwa ajili ya tarehe 8 machi, vinginevyo tutawakatisha tamaa wapiganaji wetu walio vitani.
Asanteni
Hao ndio kolo.Wakati tunashinda hukuwahi kuyaandika haya leo sare tu unatapika nyongo
Tano kujirudia si rahisi kihivyo umeona hata game ya kwanza msimu huu walivyostruggleLolote lenyewe ni kupigwa tano tena
MaybeTano kujirudia si rahisi kihivyo umeona hata game ya kwanza msimu huu walivyostruggle
Kwa hiyo ile mechi alistruggle Yanga peke yake? Basi sawaTano kujirudia si rahisi kihivyo umeona hata game ya kwanza msimu huu walivyostruggle