Wana Simba tusikate tamaa timu iko vitani bado

Simba hakuna timu, kwa kuwategemea kina ateba eti ndio watupe ushindi,ni kujidanganya
 
Wakati tunashinda hukuwahi kuyaandika haya leo sare tu unatapika nyongo
 
Timu yetu ipo bukavu hivyo tuwe wapole tarehe nane itskuwa kinshasa.
 
Naona Simba na Azam wanabadilishana nafasi, wakati Singid Blacks na Coastal nao wanabadilishana nafasi. Yanga haitaki kubadilisha nafasi na wengine. Simba bado wanajenga timu

 
Hii nilikuwa clear penalty sema tuu Arajiga aliamua kuibeba Koloizdad.
 

Attachments

  • FB_IMG_17404367409773926.jpg
    369.4 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…