Wana Simba tusikate tamaa timu iko vitani bado

SIKU NINAANDIKA HAPA, SIMBA INAPASWA KUFANYA SAJILI ZA MABORESHO ZISIZOPUNGUA TANO.

TIMU BADO SANA KUFIKA WALAU NUSU WA ILE YA 2019.

WAACHANE NA.
1. Joshua Mutale.
2. Karabue Chamoe.
3 .Agustine Okejepha.
4. Dese Mukwala.
5. (Ngoma).
6 Manula.

MABORESHO YA SAJILI.
Beki wa kati NO 5.
Kiungo mkabaji No 6.
Kiungo mshambuliaji 10.
Mshambuliaji No 9.

NIMEMALIZA
 
Yanga first half, Simba second half, ila hakukuwa na magoli matano kwahiyo usitegemee tena Simba kuruhusu goli tano Kwa kipindi hiki

Kwani nani anategemea kukufunga tano? Tano ni nadra sana kutokea kwa timu ileile. Ila ukisema Yanga alistrugle dhidi ya Simba mechi iliyopita nashangaa. Na kinachonishangaza ni wenzetu kufurahia kufungwa goli moja si tano. Mnachekesha🤣🤣🤣
 
Tusubiri Machi 8
 
Yaani Kagoma, Mpanzu, Ateba sijui Hamza akazuie msuli wa Aziz ki, Mzize kwamba Che fondoh akabane na Pacome? Nzengeli? ACHENI UTANI
Mbona tabora waliwazuia na wakawafunga 3 mambugila nyinyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…