William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Viongozi lazima wawe siliasi.
Kulikuwa na mda wa kutosha kupata kocha mzuri. Na kama Mo amekataa kutoa Mpunga akitaka mumpe timu Mgunda sasa kwanini mzilie kwa kumwachia Matola. Matola kaachiwa timu mara ngapi kaishindwa. Kama wanampenda sana wampe u ceo tu.
Kadena Toka aje kama kocha wa makipa beki zinakatika, Makipa hawajui kuongea na beki, Viwango vyao vinashuka kama walivyo Azam.
Kama hawamtaki Mgunda wachukue kocha wa Asec basi. Na kuuza wachezaji muhimu mno kila mwaka timu ina consistance.
Naapa siingiii uwanjani au ntaingia kuzomea.
Kama timu ni ya Kajula akashangilie yeye. Cadena hajawahi kuwa kocha, vipi apewe mechi muhimu kiasi kile.