Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajabu sana kumfukuza mtu aliyepoteza mechi mojaNa msipokuwa makini mechi ya Asec itawamaliza kabisa.
Sijui ni nani alitoa ushauri wa kijinga wa kumuondoa kocha huku timu imebakiza wiki 2 kuelekea mechi ngumu za makundi ya klabu bingwa Afrika.
Ni muweweseko tu. Kichapo kulikua kikali kile.Na msipokuwa makini mechi ya Asec itawamaliza kabisa.
Sijui ni nani alitoa ushauri wa kijinga wa kumuondoa kocha huku timu imebakiza wiki 2 kuelekea mechi ngumu za makundi ya klabu bingwa Afrika.
Acha yafungwe tupate RAHANa msipokuwa makini mechi ya Asec itawamaliza kabisa.
Sijui ni nani alitoa ushauri wa kijinga wa kumuondoa kocha huku timu imebakiza wiki 2 kuelekea mechi ngumu za makundi ya klabu bingwa Afrika.
Weka jicho lako la nne, utabaini haya hizo 5G mlizopigwa ni ndogo.Kwa jicho latatu naona kuna siri kubwa sana ya kuihujumu simba iliyochezwa na wakina try again,mangungo,msemaji na baadhi ya wachezaji kwa malengo malengo fulani fulani.
Either ni kumkomoa Mo,au ni mapandikizi ya yanga wkaamua kufanya hivyo kwa mapenzi yao au ubinafsi na kutokuwa na uzalendo na simba sc
Sasa ilikuficha uozo wao uongozi inalazimisha kocha atayekuja kuchunga maslahi yao au wanamuofia mgunda kwasababu anaweza kuja kutoa mambo aliyojificha kuanzia kwa hao wacheza mpaka uongozi kwa ujumla..Mo anatakiwa akaze
Big Brain.!walikurupukaNa msipokuwa makini mechi ya Asec itawamaliza kabisa.
Sijui ni nani alitoa ushauri wa kijinga wa kumuondoa kocha huku timu imebakiza wiki 2 kuelekea mechi ngumu za makundi ya klabu bingwa Afrika.
Kuna wakati ac Milan wakati inaongozwa na marehemu waziri mkuu was Italy mashabiki walimwambia usiponunua mastar hatuingii uwanjani ikabidi aingie sokoni , ndio kipindi ikateka sokoni pa ulaya.
Mashabiki wa Simba hawatambui thamani yao, Kama wakitambua uongozi unaondoka mapema. Uongozi hauna uchungu na timu ndio maana wamekataa kujiuzulu baada ya kipigo cha aibu. Mashabiki wamebaki kubeba mabango ya kusifia viongozi wa siasa na kumsaidia mo Ila tukiamua tunaweza.
Bongo lazima watafute mbuzi wa kafara.... Kocha kapoteza mechi Moja tu wakamfukuza..... Kutwa walikua wanamsifia Mzee wa objective footballNa msipokuwa makini mechi ya Asec itawamaliza kabisa.
Sijui ni nani alitoa ushauri wa kijinga wa kumuondoa kocha huku timu imebakiza wiki 2 kuelekea mechi ngumu za makundi ya klabu bingwa Afrika.
Ameshafariki hapo walimwambia kwenye miaka ya 2003 ndio akasajiliwa Rui Costa, Inzagh, Nesta na mastaa wengineSilvio Berlusconi huyu masta si kafa jun mwaka huu kama sikosei
Tunywe na supu 😁Acha yafungwe tupate RAHA