William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Hoja yako ni kwamba Simba haikustahili kufungwa? Ikifungwa lazima kuwepo na Wachezaji/viongozi waliouza Mechi? Kwa Aina ya Wachezaji waliopo lilikuwa suala la Muda tu kabla ya timu kudhalilika.Kwa jicho latatu naona kuna siri kubwa sana ya kuihujumu simba iliyochezwa na wakina try again,mangungo,msemaji na baadhi ya wachezaji kwa malengo malengo fulani fulani.
Either ni kumkomoa Mo,au ni mapandikizi ya yanga wkaamua kufanya hivyo kwa mapenzi yao au ubinafsi na kutokuwa na uzalendo na simba sc
Sasa ilikuficha uozo wao uongozi inalazimisha kocha atayekuja kuchunga maslahi yao au wanamuofia mgunda kwasababu anaweza kuja kutoa mambo aliyojificha kuanzia kwa hao wacheza mpaka uongozi kwa ujumla..Mo anatakiwa akaze
Kumbe na wewe mwananchiNa msipokuwa makini mechi ya Asec itawamaliza kabisa.
Sijui ni nani alitoa ushauri wa kijinga wa kumuondoa kocha huku timu imebakiza wiki 2 kuelekea mechi ngumu za makundi ya klabu bingwa Afrika.
Wewe si umeona kuna mtu nina wivu juu yake? Jimbo lina mwenyewe hili.Kumbe na wewe mwananchi
Aisee nakuja kukuchumbia faster
Napambana wivu ugeukie kwanguWewe si umeona kuna mtu nina wivu juu yake? Jimbo lina mwenyewe hili.
kwenye hilo swala la kuzomea tutaungana mtani...Viongozi lazima wawe siliasi.
Kulikuwa na mda wa kutosha kupata kocha mzuri. Na kama Mo amekataa kutoa Mpunga akitaka mumpe timu Mgunda sasa kwanini mzilie kwa kumwachia Matola.
Matola kaachiwa timu mara ngapi kaishindwa. Kama wanampenda sana wampe u ceo tu.
kadena Toka aje kama kocha wa makipa beki zinakatika, Makipa hawajui kuongea na beki, Viwango vyao vinashuka kama walivyo Azam.
Kama hawamtaki Mgunda wachukue kocha wa Asec basi. Na kuuza wachezaji muhimu mno kila mwaka timu ina consistance.
Naapa siingiii uwanjani au ntaingia kuzomea.
Kama timu ni ya Kajula akashangilie yeye. Cadena hajawahi kuwa kocha, vipi apewe mechi muhimu kiasi kile.
Naitunza hii threadViongozi lazima wawe siliasi.

TIPIGE NA KELELEE WAONDOKE,,UKIONA KOCHA KAONDOKA BENCH LIMEBAKI ANAEKUJA AKIJICHANGANYA ANAMFWATA ALIEONDOKAViongozi lazima wawe siliasi.