Wana Simba tususie kuingia Uwanjani kama Matola na Cadena Wataiongoza Simba mechi ya Asec

Na msipokuwa makini mechi ya Asec itawamaliza kabisa.

Sijui ni nani alitoa ushauri wa kijinga wa kumuondoa kocha huku timu imebakiza wiki 2 kuelekea mechi ngumu za makundi ya klabu bingwa Afrika.
Ni muweweseko tu. Kichapo kulikua kikali kile.
Watu walikua wamejiandaa na gepu la alama 6 matokeo yake mmmh!
[emoji24][emoji2772]
 
Na msipokuwa makini mechi ya Asec itawamaliza kabisa.

Sijui ni nani alitoa ushauri wa kijinga wa kumuondoa kocha huku timu imebakiza wiki 2 kuelekea mechi ngumu za makundi ya klabu bingwa Afrika.
Acha yafungwe tupate RAHA
 
Mimi niende Uwanjani Kocha seleman Matola,amepewa timu ya wadogo inashika mkia bila aibu wanamleta huku? Wee selememani weee seele[emoji2295]
 
Weka jicho lako la nne, utabaini haya hizo 5G mlizopigwa ni ndogo.

Mliwakejeri wenzetu waliopigwa 5G kwa kuziita timu dhaifu, sasa tukubaliane walioukalia mnara wa 5G wote dhaifu.
 
Attachments

  • 20231105_233611.jpg
    42.1 KB · Views: 2
Na msipokuwa makini mechi ya Asec itawamaliza kabisa.

Sijui ni nani alitoa ushauri wa kijinga wa kumuondoa kocha huku timu imebakiza wiki 2 kuelekea mechi ngumu za makundi ya klabu bingwa Afrika.
Big Brain.!walikurupuka
 
Silvio Berlusconi huyu masta si kafa jun mwaka huu kama sikosei
 
Na msipokuwa makini mechi ya Asec itawamaliza kabisa.

Sijui ni nani alitoa ushauri wa kijinga wa kumuondoa kocha huku timu imebakiza wiki 2 kuelekea mechi ngumu za makundi ya klabu bingwa Afrika.
Bongo lazima watafute mbuzi wa kafara.... Kocha kapoteza mechi Moja tu wakamfukuza..... Kutwa walikua wanamsifia Mzee wa objective football
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…