Wana Simba tuwaombee Utopolo wamtoe El hilal

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Ninaona wana Simba wengi wakitamani hawa jamaa watolewe kwenye michuano hii mikubwa mapema.
Mimi nawaomba wapenzi wenzangu wa mnyama tumuombee mtani asonge mbele ili ubora wake authibitishe kimataifa.

Hawa jamaa wakitolewa mapema wakarudi kwenye ligi unajua jinsi msomali anavyojua kufanya figisu ili waendelee kutamalaki ligi yetu.

Tuliona mwaka jana wachezaji wetu walikamiwa ikibidi wavunjwe na vitimu vilivyopewa milioni 10 na msomali hasa walipojua mechi inayofuata siku chache ni ya klabu bingwa.

Mliona utopolo walivyofurahia kupumzika na kuingia uwanjani wakiwa na nguvu bila majeruhi.

Kama mtagundua ni kwamba,mechi za awali zilikuwa na ratiba nzuri lakini kocha wao alianza kulalamika eti yanga ina ratiba ngumu.

Najua hilo ndilo litakuwa kisingizio cha Ku struggle kwenye premier wakisaidiwa na wale waandishi wachambuzi wa michezo wanaotumika vibaya na waarabu.Hawatakumbuka ratiba ngumu ya Simba na hatukulalamika kwa sababu tunajua huo ndio ukubwa.

Mwisho nawatakia kinye FC mshinde mechi na El hilal ili muonyeshe uwezo wenu.Msije kulia lia kwani njia hiyo ndiyo njia ya wanaume
 
There is no exception for young Africans to qualify to the group stages.

Wether you like or not.[emoji12]
 
hueleweki...umeharisha
 
Hamta amini macho yenu subiri tu, nyie si mnajiona msha pita kwa hao 1°Agosto tutarudi hapa October 16
 
Walimpokea Ibenge, wakaloga, wakampa Kila Mbinu. Ibenge AKAANGUKA mala 3kwa Mkapa.

Sasa. Ni zamu Yao hao wapoleaji.
YANGA NI WAJINGA SANA.

" Pale wenye akili ni wawili tu.moja ni Mzee KIKWETE na Mzee Manala tu."
 
Wata sema ni madame CEO aliyelamba uteuzi kule CAF ndo anawahujumu
Mark my word
 
Ninaona wana Simba wengi wakitamani hawa jamaa watolewe kwenye michuano hii mikubwa mapema.
Mimi nawaomba wapenzi wenzangu wa mnyama tumuombee mtani asonge mbele ili ubora wake authibitishe kimataifa.

Hawa jamaa wakitolewa mapema wakarudi kwenye ligi unajua jinsi msomali anavyojua kufanya figisu ili waendelee kutamalaki ligi yetu.

Tuliona mwaka jana wachezaji wetu walikamiwa ikibidi wavunjwe na vitimu vilivyopewa milioni 10 na msomali hasa walipojua mechi inayofuata siku chache ni ya klabu bingwa.

Mliona utopolo walivyofurahia kupumzika na kuingia uwanjani wakiwa na nguvu bila majeruhi.

Kama mtagundua ni kwamba,mechi za awali zilikuwa na ratiba nzuri lakini kocha wao alianza kulalamika eti yanga ina ratiba ngumu.

Najua hilo ndilo litakuwa kisingizio cha Ku struggle kwenye premier wakisaidiwa na wale waandishi wachambuzi wa michezo wanaotumika vibaya na waarabu.Hawatakumbuka ratiba ngumu ya Simba na hatukulalamika kwa sababu tunajua huo ndio ukubwa.

Mwisho nawatakia kinye FC mshinde mechi na El hilal ili muonyeshe uwezo wenu.Msije kulia lia kwani njia hiyo ndiyo njia ya wanaume
kila mmoja abebe msalaba wake bhanaa!
 
Mna bahati mbaya sana mbumbumbu fc, Yanga anakwenda kufuzuhatua ya Makundi na mkijichanganya na nyinyi mbumbumbu fc mkafuzu hatua ya Makundi basi mjue tunakwenda kupangwa group Moja.
Apo Ndipo maji mtayaita mmma, tunachukua point sita na kuwapiga kama Ngoma.
 
Watatutia aibu. Watoke tu
Sisi Young Africans hatuhitaji maombi yenu. Kuna Mungu anasikiliza maombi ya mbumbumbu FC? Acheni kujipendekeza.

Suala la kuwatia liko pale pale, either magoli au aibu. Ila maombi yenu hatutaki!
 
Sisi Young Africans hatuhitaji maombi yenu. Kuna Mungu anasikiliza maombi ya mbumbumbu FC? Acheni kujipendekeza.

Suala la kuwatia liko pale pale, either magoli au aibu. Ila maombi yenu hatutaki!

Ninaona wana Simba wengi wakitamani hawa jamaa watolewe kwenye michuano hii mikubwa mapema.
Mimi nawaomba wapenzi wenzangu wa mnyama tumuombee mtani asonge mbele ili ubora wake authibitishe kimataifa.

Hawa jamaa wakitolewa mapema wakarudi kwenye ligi unajua jinsi msomali anavyojua kufanya figisu ili waendelee kutamalaki ligi yetu.

Tuliona mwaka jana wachezaji wetu walikamiwa ikibidi wavunjwe na vitimu vilivyopewa milioni 10 na msomali hasa walipojua mechi inayofuata siku chache ni ya klabu bingwa.

Mliona utopolo walivyofurahia kupumzika na kuingia uwanjani wakiwa na nguvu bila majeruhi.

Kama mtagundua ni kwamba,mechi za awali zilikuwa na ratiba nzuri lakini kocha wao alianza kulalamika eti yanga ina ratiba ngumu.

Najua hilo ndilo litakuwa kisingizio cha Ku struggle kwenye premier wakisaidiwa na wale waandishi wachambuzi wa michezo wanaotumika vibaya na waarabu.Hawatakumbuka ratiba ngumu ya Simba na hatukulalamika kwa sababu tunajua huo ndio ukubwa.

Mwisho nawatakia kinye FC mshinde mechi na El hilal ili muonyeshe uwezo wenu.Msije kulia lia kwani njia hiyo ndiyo njia ya wanaume
Watoke tu ili waendelee na kazi yao ya kupokea wageni wetu na kuwapigia simu
 
Back
Top Bottom