Ninaona wana Simba wengi wakitamani hawa jamaa watolewe kwenye michuano hii mikubwa mapema.
Mimi nawaomba wapenzi wenzangu wa mnyama tumuombee mtani asonge mbele ili ubora wake authibitishe kimataifa.
Hawa jamaa wakitolewa mapema wakarudi kwenye ligi unajua jinsi msomali anavyojua kufanya figisu ili waendelee kutamalaki ligi yetu.
Tuliona mwaka jana wachezaji wetu walikamiwa ikibidi wavunjwe na vitimu vilivyopewa milioni 10 na msomali hasa walipojua mechi inayofuata siku chache ni ya klabu bingwa.
Mliona utopolo walivyofurahia kupumzika na kuingia uwanjani wakiwa na nguvu bila majeruhi.
Kama mtagundua ni kwamba,mechi za awali zilikuwa na ratiba nzuri lakini kocha wao alianza kulalamika eti yanga ina ratiba ngumu.
Najua hilo ndilo litakuwa kisingizio cha Ku struggle kwenye premier wakisaidiwa na wale waandishi wachambuzi wa michezo wanaotumika vibaya na waarabu.Hawatakumbuka ratiba ngumu ya Simba na hatukulalamika kwa sababu tunajua huo ndio ukubwa.
Mwisho nawatakia kinye FC mshinde mechi na El hilal ili muonyeshe uwezo wenu.Msije kulia lia kwani njia hiyo ndiyo njia ya wanaume